Mungu haangalii kwa mwonekano wa nje Bali anaona ndani , pia hisia tano zikimtawala mtu ni rahisi kudanganywa , watu wa leo hupenda sana kudanganywa shukrani Dr Ellie vd waminian na uongozi wa chomoza
Asanteni Sana Kwa mafundisho yenu,,mana Mimi binafsi nimeanza kumfuatilia dkt Ellie mwaka 2016 kiukweli chakula chake ni kigumu Sana Ila Kwa sasa kimeniimarisha Sana,na ninashauku Sana kupata kitabu chake

TIMU CHOMOZA MUNGU AWABARIKI SANA . DR ELLY MUNGU AKULINDE SANA!!
Ubarikiwe sana dr eli pamoja na team nzima ya chomoza
Shukran sana 🙏🙏🙏 na mubarikiwe sana
Merci docta pour le message de reconfort
Ahaaa ndiyo maana nishati ndiyo umilele, mwili wa mtoto unatengenezwa na wazazi.Asante. Nilikuwa sielewagi kwanini tunasema Mungu ametuumba.
Asanteni Sana Kwa mafundisho yenu,,mana Mimi binafsi nimeanza kumfuatilia dkt Ellie mwaka 2016 kiukweli chakula chake ni kigumu Sana Ila Kwa sasa kimeniimarisha Sana,na ninashauku Sana kupata kitabu chake
Dr MUNGU amekupa sura ya UTUKUFU UMEKUWA zaidi ya TAA juu ya kiango
Mbarikiwe
Kitabu alicho kitoa Dr Ellis kinapatikana vip
Hajatoa bado wapo kwa mchakato
Hili somo nemerudia hii n mara ya 11 n sijui kwanini
Kitabu lini
Sasali some time unatukata steam, acha maji yatiririke. Ubalikiwe na wote mlioapo!!
The next subject iwe karma