CECAFA KAGAME CUP 2018: FULL HIGLIGHTS SIMBA 2-1 APR (2/7/2018)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 77

  • @jackemanuel4697
    @jackemanuel4697 5 років тому +2

    yani hawa wachezaji wa simba sport club wanacheza kwa moyo wote na kwa kujituma Sana mungu ibariki Tanzania mungu ibariki simba sport club

  • @barakajulius5938
    @barakajulius5938 6 років тому +1

    nahic kulikuwa hakuna haja ya kumsainisha wawa kabla hatujaangalia kiwango chake,bnafc naona hafai,labda kama alikuwa anafanya kazi tofauti hapo nyuma,ni mgeni kabsa kwenye soka anaonekana,mzembe sana.Bukungu na Mwanjali ni bora kuliko huyu.Atatugharimu sana tukipata timu makini.

  • @elizabethlucas5845
    @elizabethlucas5845 6 років тому +1

    Smb damu naipenda sn smb na Mungu azid kuwapigania

  • @danielmafara7168
    @danielmafara7168 6 років тому +4

    From canada,the reds forever( my simba)

  • @mohamedseleman5261
    @mohamedseleman5261 6 років тому +1

    big team for me, hii ipo damun sababu wazee wangu wote ni shabik Wa team hii

  • @lab-lodhiagypsum3620
    @lab-lodhiagypsum3620 6 років тому

    Watapata Taabu sana Mwaka huu This is Simba Brother!!

  • @chapmanalexander5196
    @chapmanalexander5196 6 років тому +2

    Great pace in the game 👍 With this such pace exhibited here, we could get a team from CECAFA in the bigger continental tournaments.

  • @issaomary9520
    @issaomary9520 6 років тому +1

    Yani jamani hatakama mimi sio simba lakini hii penati jama kacheza vizur.

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 6 років тому +5

    Mzaamiru yaasin very wise player

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 років тому +4

    Naipenda simba niko us nawafuatilia kabisa simba wako makini watashinda leo

  • @mahengomwenyewe4204
    @mahengomwenyewe4204 3 роки тому +1

    Wawa bingwa wa kuchomesha

  • @AliceUwingabire-d9b
    @AliceUwingabire-d9b 3 місяці тому

    APR🎉❤❤❤❤

  • @amanijohson42
    @amanijohson42 4 роки тому +1

    Tanza nia

  • @dismashaule1631
    @dismashaule1631 6 років тому +5

    kazi nzur sna wanamsimbazi

  • @hajirajabu2039
    @hajirajabu2039 6 років тому

    Kagele namin utakuw muiba sana msimu ujao simba mabingwa 217&2018

  • @jaysballoh22
    @jaysballoh22 6 років тому +3

    Naipenda SIMBA Mshabiki Wa Damu

  • @patrickivan8556
    @patrickivan8556 5 років тому +1

    Dah hii haikuwa simba aiseee wachezaji unaona kabisa walikuwa hawajiwez na hawakuwekwa wale mashine hahaah lakn duh asalaleee walicheza good

  • @henrymasomi8547
    @henrymasomi8547 6 років тому +3

    simba hizi ndio jezi sasa

  • @hamisiyambi9127
    @hamisiyambi9127 6 років тому +5

    naipenda simba mpaka naumwa kichwa

  • @godylava1131
    @godylava1131 6 років тому

    Simba naipenda sana

  • @honoratinyamwihyura1172
    @honoratinyamwihyura1172 6 років тому +2

    Jezi mbaya simba badirisha

  • @issashaban5867
    @issashaban5867 3 роки тому

    Simba na yqnga simbawqna

  • @charlesgndende5358
    @charlesgndende5358 6 років тому

    APR wako juu zaidi

  • @olaislukumay571
    @olaislukumay571 6 років тому +5

    This is simba

  • @kingjay5582
    @kingjay5582 6 років тому +1

    Beki bado sana kuelewana hasa wawa anakubal sana kugeuzwa

  • @bobo1644
    @bobo1644 6 років тому +1

    Our referees are always not good
    APR dominated simba sc and also their first half penalty was discarded after tackle on Apr striker lague

  • @jackemanuel4697
    @jackemanuel4697 5 років тому

    uyu kipa wetu ally Salim yupo vizuri

  • @abouyusrayasrisaadomar6620
    @abouyusrayasrisaadomar6620 6 років тому +3

    Yap kazi nzuli

  • @ramrashid7859
    @ramrashid7859 6 років тому +3

    golikipa Ally Salum........ kaka mkubwa Aishi Salum........ A.S

  • @ezrahtossi7793
    @ezrahtossi7793 6 років тому +1

    nice

  • @sheikhjumaa5224
    @sheikhjumaa5224 6 років тому +1

    Simba amuwezi

  • @georgeshija911
    @georgeshija911 6 років тому +1

    salamba naona anaimarika naanza kuhisi kitu kwake

  • @barnabamollel6741
    @barnabamollel6741 6 років тому +1

    simba damu damu

  • @alexmaiko8136
    @alexmaiko8136 4 роки тому +1

    Palikosekana chama2

  • @jeromesapi4933
    @jeromesapi4933 6 років тому +4

    Bado wachezaji awaja elewana vzuri kama ile ya john bocco yaani individual sana little bit a team work

  • @thomasgodwin3975
    @thomasgodwin3975 6 років тому +1

    ally shomali cyo type ya simba anazngua tu asepe. pia shabalala anaitj mda cyo kumpanga mechi muhim

  • @petermim
    @petermim 6 років тому

    Beki za simba bado hazijawa na communication poa# maybe watazoeana kadili Siku zinaenda

  • @juhudsambo2306
    @juhudsambo2306 6 років тому

    Watapata shida xaaana japo wawa mmmmmmmh miyeyusho tunaojua beki hatukubali kiivo yani!!!!

  • @shijalugiko4053
    @shijalugiko4053 6 років тому +1

    Simba hii kiboko

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 6 років тому

    Jamni mbona simuoni Okwii

  • @lucaschiuyo9010
    @lucaschiuyo9010 6 років тому +2

    Tunatest tu,,,, Mitambo

  • @aidanlibe5718
    @aidanlibe5718 6 років тому +2

    simba mla wa2 uyo

  • @edsonkawamala6328
    @edsonkawamala6328 6 років тому +1

    WAWA HAFAI,UWEZO MDOGO SASA HIVI.

  • @nassibchatta651
    @nassibchatta651 6 років тому +1

    Uyo WAWA hamna kitu

  • @benardmasanja4886
    @benardmasanja4886 4 роки тому

    Kwann wasiyaendeleze

  • @georgeshija911
    @georgeshija911 6 років тому

    wawa kama hata badirika uwezo wake mdogo

  • @daudicharles2272
    @daudicharles2272 6 років тому +2

    slmbavsrayon

  • @tomaamireni1017
    @tomaamireni1017 6 років тому +5

    Highligh ndefu sana wengine hatuna muda wa dk 20,kwanini msiweke mara mbili ndefu na fupi kuonesha zile sehemu muhimu tu, kama dk 5 au 6,na ingine kuweka hata game nzima?

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 6 років тому

      Tomaa Mireni hukulazimishwa broo kama huna muda acha

    • @tomaamireni1017
      @tomaamireni1017 6 років тому

      shadrack Tito nimetoa pendekezo tu,sijalazmisha maoni yangu yafatwe,MB za kupima kwa kijiko dk 20 utaweza kumudu?

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 6 років тому

      Tomaa Mireni ningekua siwez nisinge angalia kama huwez usiwasemee wenzio we hujioni Uko wrong post kulalamika iko moja tu yako sasa kwann ujifanye huna muda kumbe tatizo MB jiunge jb 10 kama Uko bize siunatafuta Pesa starehe gharama dogo

    • @shadracktito6293
      @shadracktito6293 6 років тому

      Jipange dogo nini dakika ishirini watu tunaangalia full movies UA-cam kama we huwez vunga

    • @tomaamireni1017
      @tomaamireni1017 6 років тому

      shadrack Tito hahaaaaaaa haya bhana

  • @mnzavachris5423
    @mnzavachris5423 6 років тому +3

    kwa hiyo tumekubaliana refa ndo hatokei kule nchi mashindano yanapofanyika..

  • @aloycengewe1361
    @aloycengewe1361 6 років тому

    vyu masvd hajvi kvpanga mabeki kabisaaaaaa

  • @mwilamusonda5423
    @mwilamusonda5423 6 років тому +1

    Wawa wa benjitu kimeo

  • @MariamEmmanuelkachwele
    @MariamEmmanuelkachwele 5 місяців тому

    Kichuya mjarifu

  • @thomasgodwin3975
    @thomasgodwin3975 6 років тому

    hii NDO jezi sasa

  • @gadiamwakasagule9530
    @gadiamwakasagule9530 6 років тому

    Simba ya majabu

  • @elizabethpascal744
    @elizabethpascal744 2 роки тому

    Kongale

  • @kavisheemanoela4648
    @kavisheemanoela4648 6 років тому

    Pendaaa xn tm yng

  • @mwilarubigili7459
    @mwilarubigili7459 4 роки тому

    Exges
    Exgex

  • @honoratinyamwihyura1172
    @honoratinyamwihyura1172 6 років тому +1

    Jezi mbaya simba badirisha

  • @henrymasomi8547
    @henrymasomi8547 6 років тому +3

    simba hizi ndio jezi sasa

  • @aberybutungo1673
    @aberybutungo1673 4 роки тому

    Mikiani fc haooo