SPIKA WA BUNGE TULIA ASOMA QURAN MBELE YA MASHEIKH AWAUA MBAVU MANARA NA ZAIYLISSA UTACHEKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 35

  • @Gsamir694
    @Gsamir694 День тому +2

    Safi sana mwamba dr tulia ackson Mwenye zi mungu akuzidishie akujalie usome quran zaidi aminaa

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 годин тому

    Gregorian calender haihusiani na mungu kbsa ..... tusimshirikishe mwenyezi mungu ktk maeneo tuliyotekwa na wanadam webzetu .

  • @KarimHusseinGau
    @KarimHusseinGau 6 днів тому +1

    Upo vizuri Dadaetu

  • @SeifuJambia
    @SeifuJambia 5 днів тому +3

    Kaka haji ww naamin dini unaijua fanya Allah anavyo taka tuwe
    Kiukweli mmmm

  • @AdamAdam-r5k4f
    @AdamAdam-r5k4f 3 дні тому +4

    Hiyo sio Qur'an boss maneno hayo no hadith ya MTUME. Alisema Rasulullah " Khairul qalamu ma kal'laa wadal' laa" Ubora wa maneno yawe machache na yenye kuleta manufaa"

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 9 годин тому

    Taqbir yann sasa dada yetu .

  • @ShakilaOma
    @ShakilaOma День тому

    😊😊😊😊

  • @IssaKabelwa-zs2ct
    @IssaKabelwa-zs2ct 5 днів тому +2

    Nikukumbushe manara
    umri wako uliotumia nimwingi
    kuliko ulio baki kua makini
    itumie vizur chans iliyo baki
    ukizembea umekwenda naMAJI

  • @JABIRHAJI-t6n
    @JABIRHAJI-t6n День тому

    Subhanallah ukisema ukweli watakuja juu lkn hiyo ni batwil

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 7 днів тому +4

    Sasa zailisa mdogoangu huyo anae ongea miristo amejisiri wewe muisilam upo uchi husikii vibaya muogope mungu basi hata kidogo kila vazi lina sehem zake kaka haji hebu kua na kauli kidogo sehemu kama hizi

    • @HusnaSalum-p1q
      @HusnaSalum-p1q 6 днів тому +1

      Kutwa mawigi jiulize janaba anaogaje mtihani kweli

    • @khamisswalehe
      @khamisswalehe 5 днів тому

      kwakweli jamani

    • @fatmahemedi3252
      @fatmahemedi3252 4 дні тому

      @@khamisswalehe ila kusema ukwel yeye mwenyw anaonekana aneshikwa na aibu duh hana hata uhuruu inalilillah.....

    • @fatmahemedi3252
      @fatmahemedi3252 4 дні тому

      ameshindwa hata kufunga shungi😯?

    • @OmanOman-hj7tv
      @OmanOman-hj7tv 2 дні тому

      Wanawake wenzie hapo wamemzunguka wamevaa shungi Aibu lazima anajikaza tu​@@fatmahemedi3252

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 7 днів тому +2

    Umependez mh tulia

  • @AbasKhamis-b2x
    @AbasKhamis-b2x День тому

    Cjui nn kimemsibu huyu kaka yng Haji hebu ishi ukijua Kila mja ataulizwa juu ya kila alichokichunga dada yetu nywele zipo wazi

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 дні тому +1

    Sasa haji kavaa vizuri mke wake kaweka manywele wazi wakati mkristo mnoo dada tulia amevaa ushungi mzuri kabisaa balikiwa dada

  • @FATHIYA002
    @FATHIYA002 4 дні тому +1

    Uyo muheshimiwa spika amepeendeza kuliko zai

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 8 днів тому +3

    🥰🥰🥰

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 днів тому

    Hata iweje , kwasasa Hajji Manara ni mtanda ungwe wa kawaida,,,Msemaji wa Yanga ni Ally Kamwe na kule Simba ni Ahmed Ally

  • @stevensosipita566
    @stevensosipita566 День тому

    WANAFIKI WAKUBWA SASA HAO QURUAN IKO WAPI?KWANI UONGO HAMJUWI NI UONGO?

  • @rehemamsuya2263
    @rehemamsuya2263 4 дні тому +1

    Mi sijui quran lkn sijasikia alichosoma

  • @RashidKasidi
    @RashidKasidi 7 днів тому +3

    Kasema kiarabu sio Qur an

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 5 днів тому

      @@RashidKasidi hiyo ni quraan . Quraan ndio inaquote huo mstari . Lugha ni kiarabu lkn mstari wa quraan kitabu kisicho na shaka ndani yake . 😄😄😄

    • @AliAli-u7t4p
      @AliAli-u7t4p 4 дні тому +1

      @@loner_wolf aya gani kasoma?

  • @AliyyAli-ii1uz
    @AliyyAli-ii1uz 7 днів тому +2

    Kur an alio isoma hapo niipi

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 6 днів тому

    Wana utani na Mungu

  • @SulemanAli-s9k
    @SulemanAli-s9k 6 днів тому

    Sasa mmebda katika ibada ya kiislam vichwa wazi

  • @tumlashaibu
    @tumlashaibu 4 дні тому

    huyo twiga kifua Kiko wazi na ushungi wa kizushi unazalilisha wanawake wa kiislamu na uislamu

  • @minduchudi9121
    @minduchudi9121 День тому

    Hio sio kuraan ni maneno tu y kiarabu

  • @tumlashaibu
    @tumlashaibu 4 дні тому

    Mwenyezimungu achezewi kwa ajili sifa za kijinga

  • @FATHIYA002
    @FATHIYA002 4 дні тому

    zai Lisa apo ataa hujapen Kila vazi Lina sehemu yake nenda na wakati.