OCTOPIZZO ATOA YA MOYONI KUMHUSU KHALIGRAPH JONES/WHY THE TWO DON'T RELATE/JE WANA UGOMVI?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 802

  • @fredgomes8639
    @fredgomes8639 4 роки тому +5

    OG nimesikiza interview zake yuko so humble na he doesn't speak anything against octo but nambanane ndio ame hold grudge na OG.

  • @mwakishamw7516
    @mwakishamw7516 5 років тому +96

    OG has had a lot of success as musician,without buying a diaper,without philanthropy work,without show za majuu,i WONDER If he decides to do all that,utaambiwa watu nini??Appreciate even HIS little efforts

    • @robertbaha498
      @robertbaha498 5 років тому +1

      True bro...Khali akianza Ku do hizi vitu Watu wanajichocha nazo sijui itakuaje...hawa Watu Wana live in denial

    • @mbesherejoh4219
      @mbesherejoh4219 5 років тому +4

      Huyu jamaa ni kuma siwahi onaa Skia Octo , khali yuko nakipaji kikubwa mno yani hata ujifanye humkubali huwezi fika level yake ya kuchana, kurap juu ya beat,delivery yake,ya ww huku tz tunakuchukulia kama comedian yani wasanii wanakufananisha na mchekehsaji flani yani ww hua unaongea juu ya beat ila haujui kurap yani hujafika hata nusuya level ya talent alonayo khaligraph ,nachokiona kwako nikuwa unaumia sana na mafaniko ya khaligraph.. Useema et money money pesa ipo ww ulo nayo ama unayolipwa kwenye show na tuseme ni pesa mob??Hiv Diamond anegekuwa anajisifia hiv ingakuwaje mana Per show Diamond paid $80,000 to $100,000 hiv nae angekuwa anajigamba kama huu upuuzi unao ongea hapa ingekuwaje??we inatakiwa ufanya collae na Fid Q akufanye mbaya ndo utapata akili ila kwasasa huna unalojua zaid ya majigambo..Ukipata Muda nenda skiliza ngoma inaitwa Sumu by Fid Q,ama sihitaji marafikia by fid Q ama mwanza mwanza by Fid Q ama august 13 by Fid Q, ama ukiskia paa by Jcb ft Fid Q,ama nenda skiza Chagua Moja by Fid Q ndo utajua kuna watu wanajua kura sio ww unaongea juu ya Beat,,

    • @ashfordnokash
      @ashfordnokash 5 років тому +1

      Si afanye! You can't do much kwa crowd ya majuu when you are trying to sound like an American in every verse. Utachujwa ju ya originality. Imagine unaenda show ya Eminen anajaribu kurap na Sheng'. Puke! Haiwesmek.

    • @MrJasitho
      @MrJasitho 5 років тому +1

      bado hajafika hiyo ligi akihitimu wataogea

  • @nezzempirenezzempire5982
    @nezzempirenezzempire5982 4 роки тому +1

    Octo na OG wanabeaf noma niaje...c wapendane nd move hiphop to the next level

  • @victorosong
    @victorosong Рік тому

    Artists wa Kenya hawana presence in Africa. That's what builds Naija and Tz they make sure their presence is felt everywhere in Africa by collaborating with other artists.

  • @mcmosting238
    @mcmosting238 5 років тому +33

    Honestly Khaligraph Jones ako top . He is the real OG😍😍Octo hapo umejiangusha, just appreciate a fellow artist and work together

  • @leopoldmwesa6968
    @leopoldmwesa6968 5 років тому

    Mupendane bhana achaga hizo

  • @albertbetty1020
    @albertbetty1020 5 років тому

    i do salute diz guy 👌octo you are my best of de best.... #noma n nyie wote watiaji

  • @Titus_G
    @Titus_G 5 років тому +26

    people will call it Pride
    but I call it REAL TALK 💯💯

  • @cghmarcb91
    @cghmarcb91 5 років тому +9

    "Mii nimzee hatuez think the same na mtu hajui hata diaper ni pesa ngapi"
    Ima big fan of Khali but 👆👆the above line is a real punch💯

    • @andersonpyaban8042
      @andersonpyaban8042 4 роки тому

      story ya diaper na usanii inaingiliana wapi sasa

    • @unclefrank298
      @unclefrank298 4 роки тому

      Btw sahii sasa aongee
      These are vry diff perspectives

  • @billyspencer6364
    @billyspencer6364 5 років тому +45

    Appreciate each other's success.Octo has hard feelings...OG ni OG

  • @djjoeraph6719
    @djjoeraph6719 5 років тому

    Yeah shule mob zijengwe apate mafuns wengi. Most of your funs ni tutoto twa highschool. OG all the way till the end👌👌👌👌👌

  • @theshadow9169
    @theshadow9169 5 років тому +60

    Respect Octo..tho punguza ego brathe... OG is the real OG...accepting he is big thing isn't being weak

  • @bethmwangi8334
    @bethmwangi8334 5 років тому +17

    Mzazi si unajua kuchimba mtu na huku unajitoa l love your creativity enyewe wewe ni mzazi

    • @georgembugua1565
      @georgembugua1565 5 років тому +2

      Umesema ukweli Beth,mzazi ni mzazi na ni mlezi wa wana

    • @mwasambuerick9576
      @mwasambuerick9576 5 років тому

      I don't support that! Why ask such questions when you know they are beefing..

    • @allanlenkaa2970
      @allanlenkaa2970 5 років тому

      Si Mimi na wewe tukue wazazi

  • @Dylyre
    @Dylyre 5 років тому

    Hujawahi nominatiwa na anaringa sanaaa

  • @eugineadaki8178
    @eugineadaki8178 5 років тому

    haha .. ndula zako tofauti, waresh unakatia tofauti, goro tofauti,,,,,,,,,,,unyaboro mr. OHANGA to the world

  • @hauhitajikunijua3141
    @hauhitajikunijua3141 5 років тому +12

    Unbridled jelousy. You can feel it in his voice. Afrimma ya Khali inamuuma sana. Hata hiyo Grammy, if any Kenyan rapper will win it, it's definitely going to be Khaligraph. Octo na mauwivu zake ataionea kwa viusasa. What as ass!

    • @volkhano
      @volkhano 4 роки тому

      ua-cam.com/video/DGRX2PNss3k/v-deo.html

  • @jeffkenya571
    @jeffkenya571 2 роки тому

    The OG mast respected bro acha wivu

  • @EyazMusic
    @EyazMusic 5 років тому +17

    Watch this space soon nakam kua International pia.

    • @marvotv
      @marvotv 5 років тому +1

      Eyaz Music that’s the spirit bro

    • @EyazMusic
      @EyazMusic 5 років тому

      @@marvotv Thanks bro

    • @nawazoTV
      @nawazoTV 5 років тому +1

      Eyaz Music
      Destiny is yours 🙏

    • @EyazMusic
      @EyazMusic 5 років тому +1

      @@nawazoTV Thanks bro. God bless our destiny.

  • @Lilkafwa
    @Lilkafwa 5 років тому +104

    King Kaka is real damn true

  • @linuskemboi373
    @linuskemboi373 5 років тому +42

    Hapo kwa Khali, Octo umechoma. Fanyeni Kazi, appreaciating is not depreciating.

    • @shaffocharles6972
      @shaffocharles6972 5 років тому

      True

    • @mbesherejoh4219
      @mbesherejoh4219 5 років тому +3

      Huyu jamaa ni kuma siwahi onaa Skia Octo , khali yuko nakipaji kikubwa mno yani hata ujifanye humkubali huwezi fika level yake ya kuchana, kurap juu ya beat,delivery yake,ya ww huku tz tunakuchukulia kama comedian yani wasanii wanakufananisha na mchekehsaji flani yani ww hua unaongea juu ya beat ila haujui kurap yani hujafika hata nusuya level ya talent alonayo khaligraph ,nachokiona kwako nikuwa unaumia sana na mafaniko ya khaligraph.. Useema et money money pesa ipo ww ulo nayo ama unayolipwa kwenye show na tuseme ni pesa mob??Hiv Diamond anegekuwa anajisifia hiv ingakuwaje mana Per show Diamond paid $80,000 to $100,000 hiv nae angekuwa anajigamba kama huu upuuzi unao ongea hapa ingekuwaje??we inatakiwa ufanya collae na Fid Q akufanye mbaya ndo utapata akili ila kwasasa huna unalojua zaid ya majigambo..Ukipata Muda nenda skiliza ngoma inaitwa Sumu by Fid Q,ama sihitaji marafikia by fid Q ama mwanza mwanza by Fid Q ama august 13 by Fid Q, ama ukiskia paa by Jcb ft Fid Q,ama nenda skiza Chagua Moja by Fid Q ndo utajua kuna watu wanajua kura sio ww unaongea juu ya Beat,,

  • @vincentwambuambindyo4610
    @vincentwambuambindyo4610 5 років тому

    wacha marigo Octo ""noma ni"" uko na marigo utuoneshe ur okey kube walia hahaha broh am ur fan til i was young bt try & change pride can't take u anyware bt humble even to most High God Jesus Christ is good ju ya hii marigo chuga uuishe ukidhani uko majuu OG si joke ni moto sana OG forever brrrr mob acha are u young kid aaa Khali jibu hii

  • @PeterMulehi-tc8oe
    @PeterMulehi-tc8oe Рік тому +1

    Octopizo wacha bangi wewe Respect OG bana is the best rapper in Africa now

  • @josephosiel5613
    @josephosiel5613 Рік тому

    OCTOPIZZO👋🔥🔥🔥🔥🔥💯

  • @pedistone045ke-sv9fp
    @pedistone045ke-sv9fp 10 місяців тому

    OG NAMPENDA SANA

  • @RattyChulo
    @RattyChulo 2 роки тому +1

    ata mi hiphop to the world

  • @moureenchapa8886
    @moureenchapa8886 4 роки тому +1

    Gang...gang...pizzo de king nd u know it🏃🏃🏃

    • @volkhano
      @volkhano 4 роки тому

      ua-cam.com/video/DGRX2PNss3k/v-deo.html

  • @BigNiqo
    @BigNiqo 5 років тому +29

    Octo ako na 5 albums respect mazee✊🏾
    1. Chocolate City
    2. LDPC
    3. Refugeenius
    4. Next Year
    5.
    Working On His 5th 👏🏾
    Octo ako ligi yake period!!!!

    • @realone1104
      @realone1104 5 років тому +7

      Sijui hata song moja ya octo.na mnaongelea album hapa?niko nyuma kama rasa

    • @Joekiplangat
      @Joekiplangat 5 років тому +2

      😂😂😂but they ain't waves lol! doesn't make sense.. he should pull up his socks period

    • @sugarmummiesnairobi140
      @sugarmummiesnairobi140 5 років тому +3

      Did you say 5 albums 😅😅😅😅 i know only one song at *Noma Ni* tf😅

    • @RadiantTunes
      @RadiantTunes 5 років тому +1

      Ngani...upuuus

    • @BigNiqo
      @BigNiqo 5 років тому

      @@RadiantTunes si nganii ni "gani" 🛃🛃🛃 si u google

  • @fabiangiraiti3454
    @fabiangiraiti3454 4 роки тому

    Hawezi relate level hajafika

  • @trepauwriting7454
    @trepauwriting7454 5 років тому +6

    Og has gat all it takes to be the greatest. Crazy bars, nice sexy body height looks...he is just the best. OG Hoiyieeeeee!

  • @petershirima2431
    @petershirima2431 5 років тому +4

    Kama umeona huyu msee ako na wivu kama mm like

  • @benmwaniki549
    @benmwaniki549 5 років тому +4

    "Juu ya Ngori"
    OG all the way.

  • @serafimossi154
    @serafimossi154 5 років тому +32

    4:00 that the kind of spirit we need in this industry bro

    • @volkhano
      @volkhano 4 роки тому

      ua-cam.com/video/DGRX2PNss3k/v-deo.html

    • @JoyceWanjiru-gz1hf
      @JoyceWanjiru-gz1hf Рік тому

      If occto is the king na anajiamini kuinua upcoming rappers aende mikeu secondary kuna rapper mkali sana Huko hiyo chuo ampige collobo na akifanya hivo nitamtii

  • @lawrencegeorge3036
    @lawrencegeorge3036 4 роки тому

    Octopizo interview are the best

  • @Joeke91
    @Joeke91 5 років тому +1

    OG ni next level 🔥 🔥 🔥

  • @KEENG_GADEMITT
    @KEENG_GADEMITT 5 років тому +5

    octo iz so real mpende musipende .... #Gang_#Gang

  • @RobertKungu1
    @RobertKungu1 5 років тому +1

    Octopizzo, uko juu, usiambiwe. You are the best, gang!💧 gang!💧

  • @TheRepublican254
    @TheRepublican254 5 років тому +7

    No Rap Artist right now in Kenya can reach the level that Khali is in right now. Respect the OG!!! Octo yuko na ka ufala flani joh...🔉🔊🎶🎵🇰🇪🇰🇪

  • @harmoniquekapoor4665
    @harmoniquekapoor4665 5 років тому

    Ao sio bro octopizzo 💪💪💪

  • @Cecivigmin
    @Cecivigmin 5 років тому +12

    Octopizo hana heshima.Nitachukua OG OG nimekaa kwa shoulders

  • @محمدل-ل1ص
    @محمدل-ل1ص 5 років тому

    Apo chacha Octo namba 8 baiby 😎
    Mafans ndio trophy kwako
    Nakupenda bure owada....#oliel#babanani

  • @shabanbuchu2130
    @shabanbuchu2130 5 років тому +53

    I think people haven't understood him.the guy is positive

  • @conyciousmaina1530
    @conyciousmaina1530 5 років тому +2

    i can't stop watching THE MAN, octo the king and you know it

  • @allanlenkaa2970
    @allanlenkaa2970 5 років тому +8

    punguza ujinga fala sana..OG ni OG...We endelea kutegea trophies halafu utupe

  • @Charles7heceo
    @Charles7heceo 5 років тому

    Respect the og @khaligraphjones... Utajua n mazishi😂😂

  • @wanjiruisaac9869
    @wanjiruisaac9869 5 років тому +2

    Octo, my fav human being on earth😍😍

  • @dailydose5392
    @dailydose5392 5 років тому +40

    Khaligraph is the O.G

  • @wamu7878
    @wamu7878 5 років тому +3

    Kwa kutambua kaka, big up to him

  • @jucyflaps
    @jucyflaps 5 років тому +14

    Octo hana maringo he commented at my ig dancing to my song

  • @lincreign5840
    @lincreign5840 5 років тому +1

    Remember this guy come to sydney and people did'nt show up myself had to search about his songs because i really don't know him but if ni OG anakam mazishi ni ile ile

    • @RemmySinns
      @RemmySinns 5 років тому

      Jifunze English kwanza...your grammer is irritating 😐😐😐

    • @lincreign5840
      @lincreign5840 5 років тому

      @@RemmySinns you really think so? you piece of shit, why don't you and I have little battle of English and see who knows it better. Am not here to entertain some m**f with my grammar come on bro it's almost 2020

  • @phelixmaddox
    @phelixmaddox 5 років тому +2

    octo you are the real hip hop artist we love you considering what you bring back to the society.

  • @livingstonemasinkonte4919
    @livingstonemasinkonte4919 4 роки тому

    Nomaa

  • @joeygatimu4883
    @joeygatimu4883 5 років тому +5

    This why we'll never reach where Nigerians are,those guys embrace each other for real!

  • @24hrstzmoviestrailer4
    @24hrstzmoviestrailer4 5 років тому +30

    We octo bongo tunalijua jina2 we Ni internation gani khali Ana fans wengi east Africa kukuzidi (we Ni model)

    • @vinemshuga814
      @vinemshuga814 5 років тому

      Alpiga picha na mzungu akafikiria yeye ni Mr international lol

    • @kevinmwarangu9389
      @kevinmwarangu9389 5 років тому

      Kaka kuwa mbole bunguza wazimu kichwani story ya Kenya inakuwashia nini fala hii

    • @felixochieng9882
      @felixochieng9882 5 років тому

      We haumtambui

    • @kiariik
      @kiariik 5 років тому

      24HRSTZ MOVIES TRAILER 😂😂😂

    • @samutykuntathebantu8402
      @samutykuntathebantu8402 5 років тому

      hebu mwambie huyu kuku octo

  • @officialmrtigerbudguy171
    @officialmrtigerbudguy171 4 роки тому +4

    Mimi nimemtambua #khaligraph kwanza badae ndio nakajua na Octopizo yupo , ila khaligraph ndio OG nakubali kazi zake pia yupo mtu wa wawatu sana sisi watanzania tunapenda nyimbo zake kila collabo akipewa huku anaumiza mbaya sana
    collabo number one Country boy ft khaligrahp
    2. Rayvanny ft khaligraph
    3 Harmoniz ft khaligraph
    4 young killar ft khaligraph
    5 chin bize ft khaligraph
    6 Rostam ft khaligraph
    7 Ommy dimpoz remix kata ft khaligraph
    na Producer mkali Kenya ni Magicx Enga anafanya poa sana
    msanii wa kwanza kuwa na mafansi kibao Tz ni Khaligraph
    number too ni Willy poul
    number 3 ni Otile brown
    number 4 ni Masauti Kenyan boy
    number 5 saut solo
    Octo atumjui huku aje apige show watakuja watu wachache sana , na khaligraph anaweza piga show pekeake akaza uwanja pia kupewa sapoti na Alikiba wala Daimond

    • @PeterMulehi-tc8oe
      @PeterMulehi-tc8oe Рік тому

      Kweli kabisa mwambie Octopizo awache Bangi nyingi ndio zinamchanganya Ajui tofauti ya usiku na Asubuhi😂😂

  • @peterkoech9641
    @peterkoech9641 5 років тому

    I like the attitude.

  • @hamisibenard5659
    @hamisibenard5659 5 років тому +27

    Huyu tulimuacha uko kwa #ngori. Tunapenda rap na sio watu huongea kwa ngoma. Kizungu ni mingi na mizishi ni ile ile#RespecttheOg's#

    • @shemmurono35
      @shemmurono35 5 років тому

      0ct0 ni mzzii

    • @kiariik
      @kiariik 5 років тому

      Shem Murono octo ni mzii kwa modeling

  • @briandaudi3983
    @briandaudi3983 5 років тому

    The fact is that the industry is huge to accommodate these two guys ,kwa hio Octo aache wivu

  • @emmanuelquido530
    @emmanuelquido530 5 років тому

    #kama uko na ngori kuja na mbogi na theng...buda RESPECT THE O.G ...ama name kalocation akuje katambe....iyeeeeee

  • @benardodhiambo5307
    @benardodhiambo5307 5 років тому +44

    Octopizo know from me that being with kids doesn't make you more superior than Oyole... style up

    • @martinrahj8526
      @martinrahj8526 5 років тому

      Kabisaa....instead of kusupport wengine bado wanajiekaaa juuu hio ni kugonganishaa watuu..and thats why wasafii guyz wakikujaa uku tutajaaa show yao yu

  • @KEENGSTV
    @KEENGSTV 5 років тому +1

    Legend🔥🔥

  • @leemuchiri5675
    @leemuchiri5675 5 років тому

    Wah the King ashanena #octopizzodoubleGG

  • @lindahmweche1772
    @lindahmweche1772 5 років тому +3

    Aki uyumsee ati cheki picha IG.. . Pizzoh de king n u know it..☘

  • @misswamboh9585
    @misswamboh9585 5 років тому +24

    OG all the way na king hapo Octo wanaume hawaekangi grudge na minywele na earings kama dem hakuna swag hapo nkt Alafu nilikubeba ufala siku ulidai Hautambui God kwa ten over ten..buree

    • @marvotv
      @marvotv 5 років тому

      Wamboh Penainah gay ass niggah

    • @mbesherejoh4219
      @mbesherejoh4219 5 років тому +4

      Huyu jamaa ni kuma siwahi onaa Skia Octo , khali yuko nakipaji kikubwa mno yani hata ujifanye humkubali huwezi fika level yake ya kuchana, kurap juu ya beat,delivery yake,ya ww huku tz tunakuchukulia kama comedian yani wasanii wanakufananisha na mchekehsaji flani yani ww hua unaongea juu ya beat ila haujui kurap yani hujafika hata nusuya level ya talent alonayo khaligraph ,nachokiona kwako nikuwa unaumia sana na mafaniko ya khaligraph.. Useema et money money pesa ipo ww ulo nayo ama unayolipwa kwenye show na tuseme ni pesa mob??Hiv Diamond anegekuwa anajisifia hiv ingakuwaje mana Per show Diamond paid $80,000 to $100,000 hiv nae angekuwa anajigamba kama huu upuuzi unao ongea hapa ingekuwaje??we inatakiwa ufanya collae na Fid Q akufanye mbaya ndo utapata akili ila kwasasa huna unalojua zaid ya majigambo..Ukipata Muda nenda skiliza ngoma inaitwa Sumu by Fid Q,ama sihitaji marafikia by fid Q ama mwanza mwanza by Fid Q ama august 13 by Fid Q, ama ukiskia paa by Jcb ft Fid Q,ama nenda skiza Chagua Moja by Fid Q ndo utajua kuna watu wanajua kura sio ww unaongea juu ya Beat,,

    • @purplegbeatshitslab
      @purplegbeatshitslab 5 років тому

      kweli mamii

  • @ivanmagari8192
    @ivanmagari8192 4 роки тому +1

    Octopizo msenge

  • @simonlameck6359
    @simonlameck6359 5 років тому +41

    Mara ooh na fans 😅 mara ooh Grammy, pizzo learn to take an L, bruh it won't hurt.

  • @therose2569
    @therose2569 5 років тому

    This guy Ana kiburi sana...mscheeeeeeew

  • @sallybalaka1837
    @sallybalaka1837 5 років тому

    Nice..

  • @jeffiannderi8065
    @jeffiannderi8065 5 років тому

    Highlights af🙆‍♂️bars on bars🙌

  • @mxqdee
    @mxqdee 5 років тому +74

    Y'all talking about Octopizzo's pride, kumbukeni Khaligraph insulted Octopizzo's wife and child, you can't drag women to men's fight

    • @shaffocharles6972
      @shaffocharles6972 5 років тому +2

      Straight beef....rn khali passed a vote for truce the nigga is still fucked up

    • @andrewndambuki2207
      @andrewndambuki2207 5 років тому +3

      That's the nature of HipHop ..

    • @johnmwania5043
      @johnmwania5043 5 років тому +1

      All i know is that there was only one man in that fight and it's khaligraph.

    • @babzillah8443
      @babzillah8443 5 років тому +7

      This is hiphop buda ur whole clan is part of the beef if it has to be ....Rudi ukaskie Wasafi uko ivyo!

    • @mxqdee
      @mxqdee 5 років тому +3

      @@babzillah8443 ntaskiza wasafi tu bora Octo is on top of Khaligraph 😂✊

  • @thee_ghettoboyochi1169
    @thee_ghettoboyochi1169 5 років тому

    Octooo.napenda iyo roo

  • @davidchacheezy8920
    @davidchacheezy8920 5 років тому

    Octo all the way og kitu gani

  • @erickatola3719
    @erickatola3719 5 років тому

    Octo,,,mie n mkayole but nakutambua mob,,,unatambua fans

  • @erycjosie1958
    @erycjosie1958 5 років тому +38

    me ni fan wa octo namba moja lakini punguza maringo bruh.... accepting that khaligraph is good in the game doesnt make you look weak... punguza Ego

    • @eugineangira2670
      @eugineangira2670 5 років тому

      Eryc umebonga poa sana huyo boy arekebike kwa sana bure OG atabaki kuwa OG tu

    • @kevinlabaru6698
      @kevinlabaru6698 5 років тому

      khaligf juu tuu sana buda

    • @leemuchiri5675
      @leemuchiri5675 5 років тому

      Aaaiii octo ananena
      Ego inabidi wakati mwingine
      He's the real OG apa
      Si kama wale wanajichocha bure

    • @smokeytakashi7164
      @smokeytakashi7164 5 років тому

      Asee asee eeeeh

    • @oscarfrankline8435
      @oscarfrankline8435 5 років тому

      We si fun bazi😂😂😂

  • @mycomayeku7843
    @mycomayeku7843 5 років тому +2

    Kwenda uko octo... appreciate wenzako

  • @alicekucheve322
    @alicekucheve322 Рік тому +1

    Si amesema 'mafans' akiambiwa khali ako na mafaans? Ati 'ajibambe'😂😂😂WIVUUU mi mbaya kuliko uchawi

  • @juliasjames1062
    @juliasjames1062 5 років тому

    From 255 nawakubali Octo na king kaka,

    • @volkhano
      @volkhano 4 роки тому

      ua-cam.com/video/DGRX2PNss3k/v-deo.html

  • @ramadhanabdul624
    @ramadhanabdul624 5 років тому

    Octo is full of Kiburi Hata Kibra This day hapana tambulika @Linus kemboi you are write....

  • @beatkidd
    @beatkidd 5 років тому +1

    Octoppizo💥💥💥💥💥

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 5 років тому +3

    Octo Ni kiburi mob kawaida ya watu wa hiyo side wanatoka....bure Nyash the king!!!

  • @captainwebb3377
    @captainwebb3377 5 років тому +1

    OG 🔥🔥 🔥🔥 🔥

  • @mwasambuerick9576
    @mwasambuerick9576 5 років тому +17

    With this kind of silly interview questions, the beef btn these two artists will never end.. Dont blame octo blame the presenter 4 asking such questions

    • @thagtv9359
      @thagtv9359 5 років тому

      Trueeeee

    • @deocleciousotieno9210
      @deocleciousotieno9210 4 роки тому

      mwasambu erick true

    • @joeneehans
      @joeneehans 4 роки тому

      Nooooo. acha khali aulizwe same questions usikie vile anajibu, with respect no attitude, sio kama hii ng'ombe apa, nkt..

  • @clementodina3039
    @clementodina3039 5 років тому +1

    Shots fired🔥🔥😂😂

  • @epichephotography347
    @epichephotography347 5 років тому

    namba nane....125rongai
    ...big up sana

  • @brianstelix8982
    @brianstelix8982 5 років тому +1

    Og thumbs up. Octo achakuchoma coz unaibonga too personal. Though nawapenda wote.

  • @ndundetommasz9158
    @ndundetommasz9158 5 років тому +1

    Wewe nitofauti,tunakupenda tofauti,mapenzi yetu kwako nitofauti................we love you bro,likes za octto please

  • @kentjoz5337
    @kentjoz5337 5 років тому +1

    This is the nude truth as long as octo maintains this, then his hate for kaligraph will never cease because OG will fly higher into the skies while he watches and chocks from the smoke from his mighty rocket

  • @chiddiechiddie208
    @chiddiechiddie208 5 років тому

    Pizzo de King!!👑👑

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 років тому

    Huyu jamaa anajiskia sana Namuambia mziki sio hivo... Natoka Tz namuelewa sana Khaligraph

  • @GB-LIVE
    @GB-LIVE 5 років тому

    Octo manze umentesa since rainaa big up

  • @Josethekenyan
    @Josethekenyan 5 років тому +1

    pride will let this man down. kubali kama mtu ako poa

  • @PeterMulehi-tc8oe
    @PeterMulehi-tc8oe Рік тому +1

    Jelous iyo kwa Octopizooo awache iyo Ugomvi bana sai yeye bado ni Mtoto kwa OG for real Bangi ndio yamuharibu kichwa hadi Awezi

  • @scarmsaniiaggrey1646
    @scarmsaniiaggrey1646 5 років тому +11

    One thing khaligraph may be going against all this "rappers" ni juu anasupport upcoming wengi, so they feel threatened!

  • @wiliamkiarie8329
    @wiliamkiarie8329 5 років тому +3

    😂😂He compares music to instagram pictures. OG ni OG!!

    • @tony_gordon
      @tony_gordon 2 роки тому

      😂😂😂😂😂😂Kabisa

  • @starlight_channel
    @starlight_channel 5 років тому +56

    Mi ni fan wa kila msee anafanya muziki mzuri lakini Octo he's like jealous,at least he should consider Khaligraph ju ata after Babylon ilitokea OG alipost kwa Insta..I think Octo needs to change his perspective towards OG.Support each other acheni beef za ufala.We are past that.

    • @Spiritman125
      @Spiritman125 5 років тому +2

      Naaah he's outgrown him si maringo

    • @shuajoblake1166
      @shuajoblake1166 5 років тому +1

      ALipost wapi ....UnatuPma

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 5 років тому

      Shuajo Blake alipost buda sema haukuona msee

    • @shuajoblake1166
      @shuajoblake1166 5 років тому

      @@shabbyofficial_ tuma screenshot wacha chocha mi nawafollow wote

    • @shabbyofficial_
      @shabbyofficial_ 5 років тому

      Shuajo Blake we ka haukuona chill msee

  • @7sneves
    @7sneves 5 років тому +1

    Biggie na Pac wako na ngoma pamoja Octo.. It's something you should know

  • @kikijames4576
    @kikijames4576 5 років тому +31

    Huyu octo... Ni maringo na ufala mingi si angoje si mafans tumtambue ako na wivu kwa king khali..

  • @eugineangira2670
    @eugineangira2670 5 років тому

    Juu ya history nimekuchoka Octo....OG ni OG👌✌✊

  • @CreativeClique-l7i
    @CreativeClique-l7i 5 років тому +24

    Octo hawezi fika ligi ya O.G. Hata na uchawi!

  • @horizonfamily4311
    @horizonfamily4311 5 років тому

    this guy. he is real to himself unlike others who pretend to like OG but they talk shit behind him

  • @RoggyRe
    @RoggyRe 5 років тому

    Octo unadunga mtu maneno bana,cheza chini #i_support_local_talent keep it International