Polisi Dar wamkamata aliyejeruhi na kutishia kwa Bastola huku akinaswa kwenye kamera za CCTV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 19

  • @mikestuner9206
    @mikestuner9206 5 годин тому +6

    Nayeye wamtishie tu na kumjeruhi mambo yaishe 😅😅

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 4 години тому +1

    Daah" RIP Jpm"

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 3 години тому

    Mbaya zaidi wanagombania wanawake, halafu unaweza shangaa wote wana wake zao nyumbani 😮 all in all, Derick ni mshenzi sana.

  • @MunirAbdullah-sy8ks
    @MunirAbdullah-sy8ks 4 години тому +1

    Uyu jamaa ashukur tu hiiii cctv camera bila ivyo ilikua imeisha hivi tunaenda wap?watanzania tuzidi kupendana maaana bila ivyo isharudi ile unanijua mimi nani?Allah bless tanzania

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 години тому +1

    Wale wanao poteza watu hawafanikiwa kuwanasa

  • @DaudiMinzi-n4l
    @DaudiMinzi-n4l 4 години тому

    Jinga sana hili jamaa

  • @informertv1990
    @informertv1990 5 годин тому +1

    Duuuh

  • @ramamabrok2523
    @ramamabrok2523 4 години тому

    Tanzania 🇹🇿 yangu raha sana 😭😭

  • @kherisalum6304
    @kherisalum6304 4 години тому

    Hy jamaa mshamba sana

  • @drhenry4362
    @drhenry4362 5 годин тому +6

    Kama unaamini sky hana mpinzani kwenye usomaji likea ziwe za kutosha sana

  • @Zenny89
    @Zenny89 2 години тому

    Sasa!!! Kama wewe ni msichana na unajua Mwanaume wako mwehuuu..kwanini unaongea na wanaume wengine?

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 години тому

    Matumisi mabaya ya silaha, tunaiomba Police Tz mfikisheni mtuhumiwa mahakamani

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 4 години тому

    Jamaa wa sauti ya bass tunaomba story ya playboi carti The 99 different voices

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 години тому

    MASUDY AMEWASIHI WANA SNS WENZANGU TUEPUKE LUGHA MBAYA NA UDINI. KUTOKA 254

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 4 години тому

    Unamwaga dumu yamtu kisa mwanamke huu ni ualifu wa hali ya juu

  • @kagoyemwambal9061
    @kagoyemwambal9061 4 години тому

    SS waongo hatuna mambo ya kutoleana bastor..kama mwanaume anajiamin si apigan..nn kutoka bastor..muaga yy..

  • @donatusbenjamin3660
    @donatusbenjamin3660 4 години тому

    Watoto wa masaki haha

  • @DewGroupTech
    @DewGroupTech 4 години тому

    Tunaomba story ya lil durk

  • @YumnaBurhan-q6h
    @YumnaBurhan-q6h 5 годин тому

    Mmmhhhh