Lissu Apigwa Maswali Makali Kuhusu Ujio wa Lowassa CHADEMA, Amtaja Dr. Slaa, 'Ndiye Aliyemleta'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 21

  • @geofreymlegimusimu
    @geofreymlegimusimu 9 годин тому +4

    lissu na mbowe wanacheza mchezo wa KINAFIKI NDANI YA CHADEMA dhidi ya WATANZANIA

  • @ThomasAssey
    @ThomasAssey 3 години тому +3

    Ukisikiliza kwa makini utagundua Lisu ni mtu aliyejaa tamaa na mihemko Hana tofauti yeyote na magufuli
    Mtakuja niambia

    • @songombingo108
      @songombingo108 2 години тому

      Akili zako zimeganda. Bado unamfikiria Magufool aliyeishaondoka? 😂😂

    • @visitDar2011
      @visitDar2011 2 години тому

      Hapana ni mkweli we unasikia vibaya

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 42 хвилини тому

    Mbowe ni Kiongozi kumbe mwenye busara. Sasa Slaa huyu jamani!

  • @OthmanKamhanda-v8i
    @OthmanKamhanda-v8i 11 годин тому +2

    Lissu tunakuombea na uwe raid wa jamhur ya Tanzania tuko tayar 2025

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa Годину тому

      Haitawezekana na Wala hawezi kuwa Rais

  • @gadielmungure9711
    @gadielmungure9711 2 години тому

    Mwenye dhambi akitubu na kumrudia mungu kulikuwa na kosa gani. Lowasa alileta nguvu chadema, mbona ccm ilimpokea lowasa na msigwa pita?

  • @JohnBosco-d3g
    @JohnBosco-d3g 6 годин тому

    Lissu unamuonea sana Dr, Slaa....
    Why!? Why?! Why?!

  • @BichongolaInvestment
    @BichongolaInvestment Годину тому

    TUNDU LISSU NA HECHE TUNAKUAMINI MNO,WAJUMBE MSITUANGUSHE

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 9 годин тому

    Hawa waandishi wa habari huwaskii kuuliza maswali magumu au ya siasa na uchumi kutoka chama tawala inaonekana kuna woga fulani.

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 2 години тому

    Lisu ni mkweli amekiri kua alikubali Lowasa kuja chadema na kwenye hilo dhambi ni ya kwake....!

  • @Shirimatunda
    @Shirimatunda 3 години тому

    Slaa ndie alimleta lowasa Chadema

  • @JohnBosco-d3g
    @JohnBosco-d3g 6 годин тому

    Lissu soma kitabu, "Nyuma ya pazia"

  • @SelijusiMalambo-f8x
    @SelijusiMalambo-f8x 3 години тому

    Ulisema luwasa ameokoka naukasema kikwete ndio mwenye makosa

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 2 години тому

    Kwa lowasa hapo mlionekana matapel wa kisiasa

  • @erickchibali575
    @erickchibali575 2 години тому

    Mshenga

  • @AbdiHadu
    @AbdiHadu 3 години тому

    Lissu chuma

  • @FrankJaphet-m5i
    @FrankJaphet-m5i 7 годин тому

    Mbowe chuma

  • @OthmanKamhanda-v8i
    @OthmanKamhanda-v8i 11 годин тому +2

    Lissu tunakuombea na uwe raid wa jamhur ya Tanzania tuko tayar 2025