Mchome ni mnyama toka kitambo namfahamu sana shida walimfukuza kwenye tawi lake sababu alikataa kutoa mchango wa kwenda kuroga kwa mganga ili simba ishinde mechi dhid ya Al ahly!.
Sema kweli mchome wala wasikusumbue walishazoea kusema msimu huu ubingwa wetu,, lakini mwisho wa siku ooh viongoz wabovu,,acha kuropoka gb64 mchome hajawah kutukana mchome yuko sahihi katika kuijenga tim yake
Mm sio sjabiki wa timu yoyote ila kuna wakati mchome na gb huwa mnasema ukweli sasa msigombane wote mnataka mafanikio si busara kuanza kuchafuana na kutukanana broo usijishushie heshima ongea kuhusu simba Acha ya maisha ya mtu
Mchome is a Yanga fan in a Simba jersey but he can't change our hearts! We love our Simba and we believe we will overcome Yanga anytime beginning from this season going forward! Ubaya Ubwela
ukweli lazma tuongeee umwtoka kwenu mbwinde uko umekuja mjini unatia kelele tu we si ulikua unauza mchicha kwenye baiskeli wadanganye ao waisiokujua ww akua mwali ,afu kipindi kile tunaenda while we c ulikua wachunga mbuzi ,
Kwel huyu dishi limeyumba ety ww ndo umesababisha VAR ije bongo Kwa kipi ulichonacho😂 kumbe magufuli alikuwa na jicho la pekee kuondoa virus kama hizi 😂😂😂😂
UNAWEZAJE KUMZUIA GSM ASIZIDHAMINI TIMU ? HUU SI UNAFIKI ? HUYU GB 64 KWANI GSM ANAMILIKI TIMU GANI ? YANGA INADHAMINIWA NA GSM SAWA TIMU ZINGINE HATA ALITAKA AWADHAMINI MKAKATAA .. MBONA NBC WANADHAMINI TIMU ZOTE ZA LIGI IKIWEMO MPAKA TFF...KWNN NA NYINYI SIMBA MSIJIONDOE UDHAMINI WA MO ?
We GB Ni fyata sana mzee wangu tatizo auerewek saiv unadai wewe ni simba lakin team ikifanya vibaya unakifanya amnazo bola mchome amestiki na hoja zake znaereweka na kuhusu simu niljua ni mbwembwe zake2 kumbe nikweri ku frash cm kama ulikuwa IPHONE lazma ife izo hua azi frashiwi mzee acha ushamba mbwaa wew
We kenge Mshamba sana, ndo mana uliibiwa simu. Katafute pesa acha kujipendekeza. Kingereza siyo akili fala wewe. Kuanzia Leo I won't watch any news yenye fuvu lako. Jitu Zima akili sifuriii. Kasome Sheria za football siyo una kenua meno tuu
Utopolo povu linakutoka unaumia Nini?Achana na elimu ya darasani Wapo watu wengi tu wenye uwezo mkubwa na hawakupata hivyo vyeti unatukana watu ww Kwa ujinga wako.
Kweli utopolo wa mo dewji hamna akili, bora hata ujinga kuliko uwe mpumbavu kama wewe au huyo gb...sasa kama una uwezo vyeti unafoji vya nini!?🤔 nyie ndo wenye vyeti feki ndo maana povu limekutoka🖐🤣🤣🤣🤣@@Yuleyule-u6c
Tunao mkubali mchome gonga like apa
Kwa jins anavyoeleza inaonekana wanafirwa na mtu mmoja
Hongera sana kijana tutakurinda kisheria
Mchome ni mnyama toka kitambo namfahamu sana shida walimfukuza kwenye tawi lake sababu alikataa kutoa mchango wa kwenda kuroga kwa mganga ili simba ishinde mechi dhid ya Al ahly!.
@@stanslausmteme8455 uongo wako huo mbona wewe hunatofauti na mchome wote nyie mamluki tu
Mnyama wa maviiiiiiiii labda bwabwa hilo mchome
Alafu uyu jamaa kama anaichukia yanga alikua akatae walipoenda kumtoa ndani
Huyu nae km mwehu hivi halina shukurani ata kidogo simpendi huyu na waandishi wanvopenda kulihoji
Sema kweli mchome wala wasikusumbue walishazoea kusema msimu huu ubingwa wetu,, lakini mwisho wa siku ooh viongoz wabovu,,acha kuropoka gb64 mchome hajawah kutukana mchome yuko sahihi katika kuijenga tim yake
We ni wakiume au sio mwenzetu👉
@@danielpeter8085 akir ndogo inaongoza akir kubwa
Wewe na mchome wako wote mwendawazimu vichaa
Mm sio sjabiki wa timu yoyote ila kuna wakati mchome na gb huwa mnasema ukweli sasa msigombane wote mnataka mafanikio si busara kuanza kuchafuana na kutukanana broo usijishushie heshima ongea kuhusu simba Acha ya maisha ya mtu
Big up Gb 64
Uko sahihi kwa mawazo yako ila kuacha kazi kusimamia miradhi
Unaachaje kazi kwa ajili ya miradhi kama sio uongo!! Ulifukuzwa kazi ww ukidhani hela ya miradhi itatossha😂😂😂
Magufuli akili kubwa sanaaaa tungekuwa na watu wengi wehu sababu wamefundishwa na huyu jamaaaa😂😂😂😂😂
Gb humuwezi mchome unapiga kelele tu hapo
Bangee iache bro
Mpereke Mahakamani na crip zote tunazo na Kuna wanasheria 2 tayari
I don't have that angry😂😂😂😂
Mungu amsamehe mchome
Mchome is a Yanga fan in a Simba jersey but he can't change our hearts! We love our Simba and we believe we will overcome Yanga anytime beginning from this season going forward! Ubaya Ubwela
Gb64 big up bro
NAONA mmewaacha viongozi sasa ni zamu ya MCHOME HAHAHAAAAAAAA...!
NA SHOGA MCHOME TUTADILI NAYE NYUE VYURA
Mchome ebu jitahidi kufuata mambo yako ila kwa timu yetu hapa hatutakubali
ukweli lazma tuongeee umwtoka kwenu mbwinde uko umekuja mjini unatia kelele tu we si ulikua unauza mchicha kwenye baiskeli wadanganye ao waisiokujua ww akua mwali ,afu kipindi kile tunaenda while we c ulikua wachunga mbuzi ,
mchome syo mshabik wa simba binafs nahis kuna watu wanqmtumia kuichafua simba ila siku moja atakipata
Mwambie na Azam aache kuzamini timu nyingine bc, ligi haijaanza ligi ikianza ndio mtamuelewa Mchome alivyokuwa anasema
🔥🔥🔥🔥🔥🔥👏👏👏👏👏👏
WANAO MSHUGHULIKIA MCHOME WANAJULIKANA TU KWA YEYOTE ANAYE FATILIA VIZURI TU.
Tuko pamoja tuko tayari kwa Chocho tumemchoka ana kesi 12
Leo umenifungua akili kumbe salamba Niutopolo ndo mana alikuwa anafulahia sakata la kibu anaiponda simba et hawajamtimizia mahitaji yake
Huyo mchome anasumbuliwa na ujinga wake
Kwahiyo goal la yanga vAR haikuwepo😅😅
Gb 64 Punguza makasiliko huu mchezo hauitaji hasira😂😂😂😂😂
mwanaume anakaa kimya😊😊😊😊😊😊mbna unasema!!!!!
We Fala tu mjinga mjinga GB 0 .. mchome usimpe kiki GB fala achana nae
Kwel huyu dishi limeyumba ety ww ndo umesababisha VAR ije bongo Kwa kipi ulichonacho😂 kumbe magufuli alikuwa na jicho la pekee kuondoa virus kama hizi 😂😂😂😂
Kumbeeee kunaaa sehemm munaperekanagaaaa kwamabwanaaa zenuuuu
Wakati unaenda huko ujue na fail lako lipo la kukosoa
Mwanzo nilikuwa namfuatilia huyu mwamba lakini sasa nampunguza kaishiwa fact
Kaka gb 64 mtt mdogo na naamini anatumika na utopolo
Nyie watu wazima ongeeni. Mitandao haitawasaidia. Mnawapa watu faida.
Tatizo liko wapi.mbona nanyi mnaisema Sana yanga
😂😂😂😂 njaa hizi ni mbaya Sana
Jamaa nakubal san
Sasa kama hawa Emirates kuna uefa wanakutana kwaio pale pia josa wazamn wanakutana
Apana Japan Mchome anasema kweli kuusu simba
Sasa ww yanga na mchome si wote hamna utashindwaje kutetea ujinga
Ww ni mwlm gan asie jielewa. Mwalim hewa ulifukuzwa na Magu. Mchome var mapoovu ni jicho la 3. We duduka tu.
Wewe na mchome wako wote mwendawazimu vichaa
Mchome anatumika kuichafua Simba. Hajawahi kusema jambo lolote jema kuhusu simba. Anavaa t-shirt ya Simba ili kuficha mapenzi yake !
Ujasoma ualimu usidanganye ulienda flash course
Wee huwezi nunua simu? Mbona unapewa pewa Tu vitu? Yanga ndio wamekutoa jela Leo unamshambulia mchome
Kweli ukitaka kuonekana mbaya sema kweli,,, mchome sema ukweli kaka usijar hawa watu kama gb64 wapo kibao
Mabwabwa mnateteana na limchome lako
Mna mpira gan huo unaouzungumzia kwel ww mara mia hata king'amuz ana akili😄😄😄😄😄😄
Uyo Kuma ni Yanga
Sasa timu imefungwa goli 7-2 mchome kusema simba ni mbovu kosa lake liko wapi???...samson bangula kawapiga goli mmesimama kama mti asiseme??
We muongo sana bwege ACHA kujiblandi huna lolote wewe ndo ulimuanza mchome
Hapo uko sawa nenda mahakamani
Wewe ovyo gb unajipya
Dawa yake ni kufila tuu shoga huyo Hana kazi
UNAWEZAJE KUMZUIA GSM ASIZIDHAMINI TIMU ? HUU SI UNAFIKI ? HUYU GB 64 KWANI GSM ANAMILIKI TIMU GANI ? YANGA INADHAMINIWA NA GSM SAWA TIMU ZINGINE HATA ALITAKA AWADHAMINI MKAKATAA .. MBONA NBC WANADHAMINI TIMU ZOTE ZA LIGI IKIWEMO MPAKA TFF...KWNN NA NYINYI SIMBA MSIJIONDOE UDHAMINI WA MO ?
Mchome hana akili huyo
Issue ya mdhamini kudhamini timu zadi ya timu moja, ni suala binafsi. Sidhani TFF Wana uwezp
Hakuna mntu nisiompenda kama mchome brother chizi sana mchome
Mchome pumbavu sana
Mmeshaka mashonga sasa vijana fanyeni kazi acheni upuuzi
Big up GB 64
inauma pole
Sio rahisi kushiriki mapokezi yasio kuhusu Mnafiki
We GB Ni fyata sana mzee wangu tatizo auerewek saiv unadai wewe ni simba lakin team ikifanya vibaya unakifanya amnazo bola mchome amestiki na hoja zake znaereweka na kuhusu simu niljua ni mbwembwe zake2 kumbe nikweri ku frash cm kama ulikuwa IPHONE lazma ife izo hua azi frashiwi mzee acha ushamba mbwaa wew
unaonekana umekasirika kusikia Mchome............................................................................... naishia hapa du!!!!
Duh mchome kumbe punga chocolate 🍫
GB chizi
Mpumbavusimba walishindwa kukutoa mahabusu leounaropoka chiziii,hunaakili wewe😂😂
Mchome ni mjinga sana na ANATUMIKA
😅😅😅😂😂😂 ila SANDA mnamatatizo sana
Mchome ni mshamba tu
Kumbe cm amekupa uwe na shukurani
Kumbe Gb64 chizi mchome mwamba ww
Mchome mtoto wa madereva walio kuwa wakienda Makanya kuchukuwa gipsam,mawe ya kute genezea cement,sijuwi kama anamjuwa baba ake,achane na Simba
Wewe umeogopa baada yakutiwa ndani
Ww unakiingereza una broken!! Ww c mwalimu wa UPE 😂😂😂😂 ACHA uongoooo ww SANDA fc
Lyon na PSG mdhamini ni mmoja aache uongo
Hakuna mshabiki wa simba anayeweza kuisema vibaya simba kiasi kama mchome
Mchome ni mjinga sana hata kama umempatu mtu sio umseme mjinga sana
Mm siweziiii kuipondaaa yangaa yangu kwa kiasiii hichoooo kwakweliiii
Mchome anatafuta kiki ,ananjaa,mjinga.
We kenge Mshamba sana, ndo mana uliibiwa simu. Katafute pesa acha kujipendekeza. Kingereza siyo akili fala wewe. Kuanzia Leo I won't watch any news yenye fuvu lako.
Jitu Zima akili sifuriii. Kasome Sheria za football siyo una kenua meno tuu
Sasa shida mchome yanga imefanyaje which is which?
Mh uyu jamaa kweli ndio maaan alitumbuliwa akili Hana
Wewe kuma ndio mana hauna akili
Acha kudanganya hukumbuki kama ulishasema mwenyewe kuwa ulitumbuliwa na magufuri? Kwanini leo unakanusha na kusema uliacha mwenyewe acha ulopolopo
Usiengee sana buda
😂😂😂😂Hii Nchi bhnaaa Rahaa Sana
kumbeww unapenda kupelekwa polic
Magu aliona mbali kutimua wenye vyeti feki...mjomba huna akili asee😅
Huyu ni zero brain. Alipata Kaz Kwa chuplichupli Magu akamuotea
Utopolo povu linakutoka unaumia Nini?Achana na elimu ya darasani Wapo watu wengi tu wenye uwezo mkubwa na hawakupata hivyo vyeti unatukana watu ww Kwa ujinga wako.
utopolo wa mo dewji kweli mbumbumbu vyeti feki sio povu ni mtu kudanganya ana elimu flani kumbe hana hiyo elimu alifoji vyeti🖐@@Yuleyule-u6c
Kweli utopolo wa mo dewji hamna akili, bora hata ujinga kuliko uwe mpumbavu kama wewe au huyo gb...sasa kama una uwezo vyeti unafoji vya nini!?🤔 nyie ndo wenye vyeti feki ndo maana povu limekutoka🖐🤣🤣🤣🤣@@Yuleyule-u6c
Zero brain halafu muongo na ni msahaulifu kinoma yaani hana kumbukumbu kabisaaa🤣🤣🤣@@tunuwilla
Mchome achomekewe miti ili akili imkae sawa ,mpumbavu yule
Ivi Kwa Nini mchome ana itukana simba kwanini msimkamate Lina nimumiza kweli ilo lipumbavu
Huyu mshamba Sana wajitia aibu kuongea mdhamini sasa na Azam nae ? SANDA wewe Bora unyamaze umefukuzwa uwalinu
Kaka Akili nyingi sana gb 64
Mchome kwel anaizodoa Simba kuriko kukosoa
Kwahiyo na simba imezaminiwa na muzamini wa yanga kwasababu wewe timu yayo ilitoa Poitier 6 pamoja na magoli 7 jifikilie mzee kabula yakuaza kuogea
YANGA WENGI NI VILAZA
Mtu mwenye akili hawezi kujisifia hata siku 1
Mbona boss wenu kaisifia jezy ya Yanga? 😅
Kaka hii elimu imetugusa wengi hasa wanasimba