NAMNA YA KUFUNGUA ACCOUNT YA TaESA | KUJISAJILI KWENYE MFUMO WA TaESA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 104

  • @utumishiportal
    @utumishiportal  7 місяців тому +1

    📂 Kwa wanaoshindwa kufanya applications, karibu tuhudumie kwa bei rahisi kabisa!
    ✅ Tumeamua kuwaelekeza bure ili mtu akishindwa atatuchangia gharama ya bando la kumsaidia application yake tu.
    ⭕ GUSA LINK HII KUWASILIANA NASI MOJA KWA MOJA WHATSAPP
    ➠wa.me/message/KPBYLKDN6LF5B1
    ⭕TAFADHALI FUATA MUUNDO WA MESEJI ULIOWEKEWA ILI KUHUDUMIWA KWA URAHISI
    ✍️KARIBU SANA

  • @lovegodwine7868
    @lovegodwine7868 Рік тому +1

    Jamani mimi nimesha activate , sasa ku chose account job seeker hamna, kuna Applicants/Expert, Artist na Employer tu.

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Sasa hivi wamebadilisha kidogo mfumo, sehem yenye applicants/expert ndio inayobeba nafasi ya job seekers

  • @HanceMgweno-jw8cn
    @HanceMgweno-jw8cn Рік тому +1

    Habar
    Nimejisajiri lakin mwisho kwenye majina 3 ya profile yangu kumeongezeka neno “NULL “ hili lina maanisha maombi yangu yame be Rejected au lina mana gani?
    Naomba kueleweshwa plz.

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +1

      Habari, inawezekana kipengele unachokisemea ni kwenye other names, kama umejaza majina matatu pekeee bila ya kuwa na nickname au other names hiyo inawezekana kuwa ndio sababu!
      Ujumbe wa application rejection unaeleweka moja kwa moja ila sio kama hivyo kuandikiwa null sehemu ya majina!

  • @ediltrudakavishe8994
    @ediltrudakavishe8994 Рік тому +1

    Kwenye kucreate account inakataa, ukishamaliza kujaza taarifa ukaclick ile sehem ya create account inakuletea sehem nyingine ya kusign in wakati hata acc haijakubali kutengenezeka

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Baada ya account kutengenezeka ndipo inakupeleka kwenye sehemu ya kusign in, vinginevyo uwe umepata error yoyote wakati unacreate account, kwan ukisign in kwa kutumia credentials ulizojaza wakati unatengeneza account unapata ujumbe gani?

  • @meddy0812
    @meddy0812 2 роки тому +3

    Mkuu habari. Je siwezi kuattach provision results(Transcript) pekee kwasasahivi huku nikiwa nasubiria cheti changu baada ya kutunukiwa Degree Rasmin?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Salama ndugu,
      Unaweza ukaatach ila kuna probability ndogo sana ya kuzingatiwa kwa sababu wataona haujakidhi vigezo vyote kwenye mfumo, na pia ukiweka transcript kwenye sehem ya cheti italeta shida baadaye kwenye kubadilisha kuweka cheti chenyewe, hadi wao wakubadilishie!

  • @samwelimvungi5862
    @samwelimvungi5862 2 роки тому +2

    samahani
    mimi Tatizo langu wametuna cv comments kuwa natakiwa "confirm my certificate" na vyote nilisha verify

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому

      Habari!
      Hapo kwenye huo ujumbe kama kuna button ya kusubmit vyeti upya viapload tena! (HIVYO VILIVYOHAKIKIWA!) Pia jitahidi vyeti vyako vilivyohakikiwa viwe coloured na mihuri ionekane vizuri!
      Karibu kama kuna maswali zaidi!

  • @dennisraphael96
    @dennisraphael96 9 місяців тому +2

    Nikicreate account inaniambia ana error has occurred

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  8 місяців тому

      Huenda ni erro ya kimfumi tu! Ukiona hivyo jaribu tena mara kadhaa, itakubali hopefully

  • @SabrinaNkya
    @SabrinaNkya 5 місяців тому

    Jaman mboma nikitaka kucreate account ile sehemu ya ku click create acc after writing password, email na phone no inagoma 😢

  • @reenymosha6133
    @reenymosha6133 Рік тому +1

    Sorry me kuna details nilisahau kujaza nika submit cv na ikawa verfied already ...vip naeza nika edit ni submit cv tena?...na pia vyeti nilieka ambavyo havina muhuri nmebadilisha now nimeeka vyenye muhuri inakuaje apo kuna shida yoyote kwn?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +1

      Bila Samahani!!
      Kama account iko verified maana yake tayari ina "minimum requirements for registration" na pia kama umebadilisha vyeti haina shida yoyote!

  • @hosanageorge2223
    @hosanageorge2223 Рік тому +1

    habari, mimi nimekamilisha kila kitu lakini nikienda kwenye "submit CV" inaniletea "agree terms" nikiagree inakuja tiki then haiji chochote. Je hapo inakua tayari au kuna confirmation yoyote ya kuonesha umefanikiwa ku submit?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Kama umeshamaliza mpaka mwisho ukaweka na agreement tick, hapo umemaliza! Subiria email kutoka TaESA for further training and offers!

  • @Hobokela86
    @Hobokela86 10 місяців тому +1

    Habari.Samahani hapo kwenye Academic Qualification kuna kipengele cha Program Category je mtu aliyesomea Procurement anaweka ipi? Shukrani

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  10 місяців тому +1

      Kwenye procurement nadhani kuna related field kama hiyo procurement haipo moja kwa moja sahv! Jaribu kuangalia related fields na program yako e.g logistics maybe!!

  • @jumasalumu3534
    @jumasalumu3534 Рік тому +2

    Ukisha fanikiwa ku ki-creat account Sasa kwenye ku-log in mbn inagoma msaada plz

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +1

      Ukicreate account yako, kabla ya kulogin unatakiwa kuactivate account yako! Namna ya kuactivate tumeonesha hapo kwenye video!

    • @jumasalumu3534
      @jumasalumu3534 Рік тому +1

      @@utumishiportal nimefanya hivo ila inagoma Mkuu

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Pole sana @@jumasalumu3534! inagoma inaandikaje ndugu!

    • @jumasalumu3534
      @jumasalumu3534 Рік тому

      @@utumishiportal yani nmeactivate ikanipeleka sehem ya ku-log in Sasa issue ipo hapo

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Sawa kwahiyo ukilogin unapata ujumbe gani?! Activate your account, Incorrect password au vinginevyo?

  • @clintonmartin5009
    @clintonmartin5009 2 роки тому +2

    Maana copy ya cheti ndo huwa inapigwa muhuri lakini cheti original hakipigwi, sasa je nita attach pdf file ya copy ya cheti au pdf file ya scanned original certificate?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Utascan vyeti vyako, utaviprint (ni vyema ukiprint vikiwa coloured) kisha hivyo ndivyo vitakavyopigwa muhuri wa kamishina wa viapo!
      Baadaye utascan vyeti vyako na kuvi-upload vikiwa tayari vimeshapigwa mihuri!

    • @salimaharidy1008
      @salimaharidy1008 Рік тому

      Habar
      Mim nashindwa kuattach vyeti

  • @samirasatary645
    @samirasatary645 2 роки тому +1

    Mm nmefanikiwa kufungua account Ila pale kwenye kujaza details nkijaza mwsho kabisa kwenye kuregister inasema error

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому

      Sijakuelewa apo mwisho kwenye kuregister unasemea katika kipengele gani?!
      Kama unamaanisha kusubmit, angalia kama kuna baadhi ya taarifa ambazo ni za lazima haujajaza,
      Au pia kama kuna taarifa za optional umejaza ila hujakamilisha, mfano kama umejaza umehudhuria mafunzo fulani kisha ukawa haujaweka cheti cha hayo mafunzo inaweza ikaleta shida hiyo pia!
      Labda kama swali ni tofauti na hayo, Tafadhali tujuze!

  • @catherinemuya3806
    @catherinemuya3806 Рік тому +1

    Na ninapojisajili nilazima kukamilisha 100%????
    Maana mimi sina experience yoyote ya kazi na sijapita JKT na hivivyote vilionekana kama ni Optional
    Ila inaonekana bado nina 80%nifanyeje na nikisubmitt sio ujumbe oote

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +2

      Haina ualazima wa kufika 100%, hizo option details unaweza ukaacha na haina Tatizo katika kukamilisha zoezi la usajili!
      Kuhusu kuona ujumbe baada ya kusubmit, hiyo ni changamoto ya kimfumo ila tayar kama umeshakamilisha na ukabofya button ya kusubmit inakuwa tayar!

  • @msamially3120
    @msamially3120 Рік тому

    Sorry mm nikijaribu kucreate account naambiwa problem occurred while saving account

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Kama hujakosea email na password, itakuwa ni system tu imesheki kidogo, jaribu baada ya muda, ikikusumbua tena tufahamishe .

  • @catherinemuya3806
    @catherinemuya3806 Рік тому +1

    NA KUNA HIZI REGISTRATION FORM NAZIONA ONLINE JE ZINATUHUSU KIVYOVYOTE?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Hizo zinatumika ukifika kituoni manually, ila kama unafanyia online ni mbadala wa hizo form! Unless otherwise upate maelekezo kutoka TaESA kuwa unatakiwa kujaza hiyo form, na hiyo itafanyika baada ya wewe kujisajili online na kuhudhuria training (maybe)

  • @saphiamtoni6194
    @saphiamtoni6194 7 місяців тому +1

    Habari, ni lazima uwe na namba ya nida ukitaka kujisajiri TAESA

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  6 місяців тому

      Ndio, namba ya nida ndio inayoleta personal details zako!

  • @LilianD.Chipindula-no6hx
    @LilianD.Chipindula-no6hx Рік тому +1

    Habari
    Mimi shida yangu ipo katika sehemu ya kujaza taarifa za chuo na kozi niliosoma, inaonekana chuo kipo ila kozi haipo so nashindwa kusave nafanyaje apo?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +1

      Salama ndugu!
      Pole kwa changamoto, kuna baadhi ya course huwa zinawekwa katika field moja inayohusiana nayo! kwa mfano unaweza ukakuta course kadhaa zimewekwa kwenye broad field ya 'social science' au mfano mwingine wa field inayohusiana na course husika
      Je, umeangalia katika related fields?;
      Kama hutojali pia unaweza ukashare ni course ipi inayotolewa vyuo vipi ili tuweze kuangalia na sisi!

    • @AngelMwakibuja
      @AngelMwakibuja 9 місяців тому

      Samahan Kuna course kama development planning and management inatolewa SUA morogoro ..

  • @jacklinecharles7711
    @jacklinecharles7711 5 місяців тому

    Habari ,mbona verification ya nida inasumbua najibu inakataa

  • @marymariki-m5w
    @marymariki-m5w 7 місяців тому +1

    Pia kuna sehem ya kuweka picha inasumbua kwenye dashboard

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  7 місяців тому

      Sijaelewa unaongelea mfumo upi ndugu! Maana naona umecomment video tofauti tofuati ila swali ni moja!
      Angalia video ya "Namna ya kujisajili kwenye mfumo wa ajira portal " tumeonesha namna ya kuweka size ya picha iwe 150×120 px

    • @marymariki-m5w
      @marymariki-m5w 7 місяців тому

      Asante ​@@utumishiportal

  • @dizzderexious377
    @dizzderexious377 10 місяців тому +1

    Samahani naomba kuuliza vyeti lazima vipigwe muhuri na mwanasheria..?

  • @marymariki-m5w
    @marymariki-m5w 16 днів тому

    Nawekaje chet cha taaluma maana kwenye kuchagua inasumbua

  • @jacqulinevarry9474
    @jacqulinevarry9474 2 роки тому

    Yaani me napata shida hapo kwenye kucreate account,naweka email naambiwa "email is required " kwann na ndo email yangu ninayoitumia hadi sasa?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Pole kwa changamoto, hapo kunaweza kuwa na shida mbili,
      01. Cha kwanza ni kukosea email (ambayo sio rahisi kwa kuwa unaijua na unaitumia)
      02. Kwenye kuandika email yako inawezekana keyboard yako inaleta suggestion ya email yako ukiwa unaandika na kisha unaiclick... Hapo utapata error ya invalid email kwa kuwa kunakuwa na space inaongezeka baada ya (.com) yaani kunakuwa na abcd@gmail.com(nafasi)
      Kwahiyo kama utatumia suggestion hakikisha unafuta hiyo space mwishoni, au iandike email yako yote mwenyewe!

  • @AnnaManawa
    @AnnaManawa 5 місяців тому

    Sorry morning
    Mm nimefika hadi apo kuactivate account na kujaza taarifa za mwanzo na account tyr ipo
    Sasa nikitaka kuendelea mbele inasema Nida already Exist naomba unisaidie please 🥹

  • @maikoyona-cm5xu
    @maikoyona-cm5xu 9 місяців тому +1

    Hi mkuu browser mbon zinagoma kufunguka

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  8 місяців тому +1

      Huenda ilikuwa changamoto tu ya kimfumo, jaribu kurudia pia check browser yako unaweza pia ku-clear caches

    • @maikoyona-cm5xu
      @maikoyona-cm5xu 8 місяців тому

      Oh Okay thanks

  • @bakarikingo2746
    @bakarikingo2746 4 місяці тому

    Remuneration sio malipo kak? Na Operation za JKT si km OP. SAMIA SULUHU

  • @nikiwejimson8527
    @nikiwejimson8527 Рік тому

    Asante ubarikiwe nmefanikiwa ku create account bado kufill info ndo napambana nako

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Amiin na Hongera, ukikwama mahali popote uliza hapa ndugu!

  • @hafidhelias5883
    @hafidhelias5883 Рік тому

    nimekosa sehem pakuweka index number (avn) number nifanyaje ?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Sijakuelewa ndugu, avn kwenye kipengele kipi?

    • @hafidhelias5883
      @hafidhelias5883 Рік тому +1

      @@utumishiportal kwenye academic qualification nilisubmit cv then waka reject application nakunitel niweke index no yngu au regisration no yangu i mean avn no au nactevet no

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      @@hafidhelias5883 hiyo imetokea baada tu ya Kujisajili au ulishawahi kuattend training za TaESA?

    • @hafidhelias5883
      @hafidhelias5883 Рік тому

      @@utumishiportal hapana sijawahi attend

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      @@hafidhelias5883 kwenye mfumo kuna sehemu ambayo imeandikwa registration number wakati wa kujisajili na pia taarifa za kidato cha nne na cha sita kama zipo! Kote umejaza?

  • @samsonielias-f8s
    @samsonielias-f8s 11 місяців тому +1

    Jaman me mbona sioni sehemu ya kusubmeet

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  11 місяців тому

      Iuna muda huwa inasumbua ila ukishamaliza application moja kwa moja mfumo wao unakurecognize kwahiyo watakutumia email kukujulisha next step au kama kuna shida mahali!

  • @ibadajustine1062
    @ibadajustine1062 Рік тому

    Recommendations letter apo ,hzo barua zinapatkana wap

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Recommendation letter inapatikana kutoka kwa watu wenye authority flani kwako kwa mfano lecture, supervisor wa SEHEM ulikowahi kufanya kazi, mentor wako wa chuoni nakadhalika!

  • @jennyelias424
    @jennyelias424 Рік тому +1

    sorry me changamoto yangu ni kuambatanisha vyeti natumia simu inakataa

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому

      Angalia, vyeti vinatakiwa kwanza viwe kwenye format ya pdf, na pia viwe na size ndogo isisyozidi 512kbs, kwahiyo kama cheti kina ukubwa zaidi ya 512kbs jaribu kuki-compress kwanza kisha upload!

  • @ernestmoronda8620
    @ernestmoronda8620 27 днів тому

    Kwan huwez kutuma cv moja kwa moja

  • @evalynejulius9321
    @evalynejulius9321 4 дні тому

    Sorry course yang sion

  • @marymariki-m5w
    @marymariki-m5w 7 місяців тому +1

    Katika kuverfy namba ya nida najibu maswal na bado inakataa sijui shda iko wap

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  7 місяців тому

      Kuverify namba ya nida wapi?

    • @marymariki-m5w
      @marymariki-m5w 7 місяців тому

      Ni kwenye mfumo wa taesa kujaza kwenye personal details haikubali ku register​@@utumishiportal

    • @marymariki-m5w
      @marymariki-m5w 7 місяців тому

      Nikiweka namba ya nida nikiverfy inaleta maswali matano then mwishon haifai ku register

  • @clintonmartin5009
    @clintonmartin5009 2 роки тому +4

    Habari
    Je? ni lazima vyeti vithibitishwe na mwanasheria au mtu anaweza tu ku scan vyeti vyake kisha akavi attach.

  • @jumasalumu3534
    @jumasalumu3534 Рік тому +1

    Jaman ku-submit mbn inagoma

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  Рік тому +1

      Pole kwa changamoto!
      Kuna muda huwa mfumo unashindwa kurudisha feedback kuwa tayar umeshasubmit! Ila kama umeshajaza details zote vizuri ukabofya hiyo sehem ya kusubmit inatosha, itakaa sawa mfumo ukiwa settled !
      Pia unaweza ukarudia baada ya muda kuconfirm!

    • @jumasalumu3534
      @jumasalumu3534 Рік тому

      @@utumishiportal sawa mkuu

  • @ayubusiwakwi1713
    @ayubusiwakwi1713 2 роки тому +1

    Ndug hapo mwishon napafa shida niki submit cv inaleta hilo Note:
    Afu kuna vipengele viwili sasa inagima kusubumiti naomb niwekee namba ako niwez kutatua hii changamoto

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Kusubmit naona kwa siku hizi za karibuni imekuwa shida kidogo, ila kuna muda inakubali!
      Kuhusu hivyo vipengele, sijaelewa ni vipi vimegoma! Kwa mawasiliano tumia email kwenye website yetu kwenye CONTACT US page! Jaza form kisha tuma, au kwenye about ya channel hii kuna sehem ya EMAIL US!

    • @ayubusiwakwi1713
      @ayubusiwakwi1713 2 роки тому

      @@utumishiportal nisaidie mawasiliano yako nikutafute private

    • @julianamahodanga8749
      @julianamahodanga8749 Рік тому

      Sorry me nashindwa kuingia kwenye account Yangu Kwa sababu nilichelewa kuingia kwenye email kuactivate my account , naomba msaada tafadhali

  • @misswilliam9796
    @misswilliam9796 2 роки тому +1

    Diploma hapo unachagua ipi

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому

      Kuna kipengele cha diploma moja kwa moja kwenye mfumo, hujakiona?! Au ulikua unaulizia kujua kwanza kabla hujaanza!

  • @lucyhamad3042
    @lucyhamad3042 2 роки тому +2

    Mimi nimeshindwa kusubmit

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Oohh, pole sana, kuna muda huo mfumo hauleti option ya kusubmit, jaribu baada ya muda au tumia kifaa kingine!

    • @musabismarck
      @musabismarck 2 роки тому

      @@utumishiportal namimi nimeshindwa kusubmit kila nikijaribu je naweza tuma form ya intership bila kusubmit ?

    • @SaidRajab-vr6fi
      @SaidRajab-vr6fi Рік тому

      Habari,, mkuu ukisha agree terms hapo inakuletea ujumbe wowote kuona kama tayari umesubmmit CV? Au utajuaje kama CV imeshapokelewa?

    • @veronicaedward5308
      @veronicaedward5308 10 місяців тому

      Asante sana kaka ubarikiwe kwa moyo wako mzuriii

  • @junejulie4264
    @junejulie4264 2 роки тому +2

    Sorry na kma ujaenda Jkt inakuaje?

    • @utumishiportal
      @utumishiportal  2 роки тому +1

      Bika Samahani!
      Kama hujaenda JKT hiyo sehemu haujazi kitu wala haina shida, hiyo ni optional!

    • @junejulie4264
      @junejulie4264 2 роки тому

      @@utumishiportal thank you, lakin mbna nkijarbu pale Kwenye program inagoma?