WAZIRI NDALICHAKO ATINGA TAESA, AFUNGUKA - "TUNATAKA AJIRA ZENYE STAHA NJE YA NCHI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025
  • Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Profesa Joyce Ndalichako amesema Serikali imefungua rasmi mfumo wa Ajira nje ya nchi, ambapo ametaka Waajiri na Mawakala wanaotengeneza fursa hizo nje ya nchi Kuzingatia Kazi zenye Staha ili kulinda Utu wa Mtanzania.
    Profesa Ndalichako ametoa angalizo hilo leo Jijini Dar es Salaam alipotembelea kitengo cha Huduma za Ajira (TAESA) akiwa ameambatana na Naibu waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi.
    WAZIRI NDALICHAKO ATINGA TAESA, AFUNGUKA - "TUNATAKA AJIRA ZENYE STAHA NJE YA NCHI"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 1

  • @josephatleonardbanz
    @josephatleonardbanz 11 місяців тому

    mheshimiwa ni mnatoa maagizo kama hyo na nyinyi kama serikar mnatoa agizo kama hlo maana yke inatakiw agizo lifatwe lkn changamoto iliopo kw wtoa izo fursa wnaitaji ela ili upatiwe kaz au ajira je' nyinyi kama serkali ndvyo mlivyoagiza?