Ben hatumtaki friji bovu yule mnafiki bora zuberi mkalaboko na chuma cha mjerumani wao wanajua mpira kwani wanaenda na upepo husika ila sio yule anakuja ashaandaa content za kuichafua yanga.
Chuma umesema ukweli kabsa yanga waspofuzu robo,watajuwa wamejitakiwa wao wenyewe kwani kwa sasa kwa hapa afrika timu yenye wachezaji Bora ukitowa al ahily Cairo na mamelodi au wydad yanga imo kwenye timu yenye wachezaji wa viwango vya Hali ya juu na ukija huku ukanda wa Africa mashabiki na kati hakuna timu yenye ubora kama yanga
Mutuongelee na sisi wakenya 🇰🇪
Chuma cha Mjerumani ni mchambuzi siyo mnafiki. Na mpira anaujua haswa Ligi yetu na ligi ya Africa.
Wew kweli chuma uko vzr kaka
Saf Sana ambokile
Jamaa anajua mpira
ACHA KUWADANGANYA YANGA ISHATOKA TANGU MECHI YA KWANZA. INATUMIA MDA MWINGI KUCHAGUA PA KUFIA.
Kefleni we nikolo fc??
Kichawa Sana ambokile
Uyu jamaa kumbe kichwa ety kira kitu mbinu kira kitu mbinu bc mbinu ni bora
Ibenge atafunga gori 2tena ili aongoze kundi ili mchezo wa mwisho na Tp mazembe awaachie nao awapoze gori 1 yanga wasahau Al hilal mwaka wao
mjeruman nakwamnia
MS ALGER ndio timu gani mpya? mimi najua kuna timu inaitwa MC ALGER
Ben hatumtaki friji bovu yule mnafiki bora zuberi mkalaboko na chuma cha mjerumani wao wanajua mpira kwani wanaenda na upepo husika ila sio yule anakuja ashaandaa content za kuichafua yanga.
CHUMA CHA MJELUMANI ORIGINAL ukimuona mwingine huyo ni photo copy
Acha kutukana watu unasema watu ni wajinga ww ndio mjinga usilazimishe watu watake unayosema ww acha izo
Uyu hajuw saut awe anaongea na mke wk mpira so midia
WÈWE UNA KALILI MPIRA HAUNA STORY MECHI IKICHEZWA IMEISHA ĤIYO USHA KUWA CHUMA CHA POROJO
Hajuw mpira uyu
Mm kesho km yanga ikifungwa ndo ntaamini kuwa hatuendi robo fainali lakini ht tukitoa droo ntakuwa wa mwisho kuamini kuwa hatuendi
Ndo mpira ulivo haiishi mpaka iishe
Chuma umesema ukweli kabsa yanga waspofuzu robo,watajuwa wamejitakiwa wao wenyewe kwani kwa sasa kwa hapa afrika timu yenye wachezaji Bora ukitowa al ahily Cairo na mamelodi au wydad yanga imo kwenye timu yenye wachezaji wa viwango vya Hali ya juu na ukija huku ukanda wa Africa mashabiki na kati hakuna timu yenye ubora kama yanga
😂😂😂😂endeleeeni kujidanganya
Wachezaji bora yupi nitajie ht moja we nyumbu kweli yanga ht wachezaji wen ht tabora wapo