Wao simba ndiyo wanalima mrefu sana kuifuta rekodi ya yanga ya kutinga fainali shirikisho nitawaheshimu angalao wa simba kwenye shirikisho wafike nusu faina kidogo nitakuwa wanaisogelea rekodi ya yanga kushika nafasi ya pili
Wewe nimtoto wa2000 et kama hujui kua yanga anamzidi simba makombeya ligikuutu panini record zngne simbayukojuu mwaka 1993 Simba amecheza final sasa unatwambia record zamwaka juz Simba anaitafuta final yapil shirikisho wewe wawapjamaa
Sasa bro Justin,hapo umeongea mpira.Binafsi nashangaa makolo wanaposema sisi tunamaliza calculator wakati sisi tunachotakiwa ni kushinda tu mechi zetu bila kujalisha nani kapata nani
Justine Jessy bro
JUSTIN KESSY Nakuelewa Sana mkuu UNACHAMBUA MPIRA harisi sio utim utim
Huyu jamaa wa Yanga damu
Unajua soka nkiwashangaa watu wansema et max saiz hana namba
Wao simba ndiyo wanalima mrefu sana kuifuta rekodi ya yanga ya kutinga fainali shirikisho nitawaheshimu angalao wa simba kwenye shirikisho wafike nusu faina kidogo nitakuwa wanaisogelea rekodi ya yanga kushika nafasi ya pili
Kwn simba hajafika final kk iyo shirikishooo
Lini? au unazungumzia Abiola cup
@@selemanmcharazo😂😂😂Mwambye uyo NGULUWE
Wewe nimtoto wa2000 et kama hujui kua yanga anamzidi simba makombeya ligikuutu panini record zngne simbayukojuu mwaka 1993 Simba amecheza final sasa unatwambia record zamwaka juz Simba anaitafuta final yapil shirikisho wewe wawapjamaa
@@selemanmcharazo kwani azam federation cup na CRDB cup nimakombe tofaut au wadhamini ndowana badirika Kobe nililelile
Na kuelewa broo sio kama jokofu
Mjuba anajua like ziusije hapa🎉🎉😊
simba kumbe mnahistoria mnatuficha hahaha
Sasa bro Justin,hapo umeongea mpira.Binafsi nashangaa makolo wanaposema sisi tunamaliza calculator wakati sisi tunachotakiwa ni kushinda tu mechi zetu bila kujalisha nani kapata nani
Wehu wale wanaongea kishabiki tu sio kwamba hawaelewi
Wewe unatoka wapi nchi gani?
Kaka Kessy nimekupata wewe ni mchambuzi kuelewa wa soka.hawa wengine ni wababaishaji na wanazi wa timu fulani
Jamaa anasema kweli kabisa , wewe ni MZALENDO