Mawahabi acheni kupotosha_ hii ndio tafsiri sahihi ya aya hii الرحمن على العرش استوى epuka ukafiri!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 81

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 9 місяців тому +3

    Istawlahhh shafii basalim assalim innaka bahru

  • @shabanimirambo4652
    @shabanimirambo4652 9 місяців тому +2

    Nakukubali shekh langu

  • @minaziparasu9074
    @minaziparasu9074 2 місяці тому

    Mashaallah ustadh usichoke kuwaelimisha hivyo nivitu adimu wataelewa tuu ila ibaki taasubi kwao

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому

      Nani atakae muelewa huyu kafiri wa kishia labda awaelewwshe nyie mashia wenzake au masufi maana shia na sufi ni ndugu moja msoma quruani mwenyewe hana yakini na kuruani kwanza wanaamini imepotishwa na quruani wanayoamini wao ni ya pangoni itakuja mwsho Anaminya midomo kukosoa kitabu ambacho hawwkiamini asilimia mia si ukafiri huwo ww uwaeleze wahab kuruani wakati ye ni mshia tuna umoja na shia sisi makafiri hawa

  • @jumaajambiamusa8214
    @jumaajambiamusa8214 6 місяців тому

    santa maalim mm kuruan yoote naiyamin sanaaa yooote

  • @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
    @Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh 8 місяців тому +1

    Mashallwha shekhe shukran sanaa

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 9 місяців тому +1

    Twakukubali Shiekh letu,much love from Kenya

  • @abdikadirshariif5311
    @abdikadirshariif5311 9 місяців тому +2

    Masha Allah.

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 9 місяців тому +1

    Shukran mwalim barakalllah

  • @Yayouselim
    @Yayouselim 9 місяців тому +1

    Wallahi hatafuti umaarufu wallahi anawaita katika kuifahamu quran kwa usahihi

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 9 місяців тому

      Haweizi kuijua Quran kama Maswahaba Radhwiya LLAHU a'nhum. Anatengeneza malumbano apate kupoteza muda. Hawa ndo wale wakiona Waislamu wametulia wanalianzisha. Hata muonekano wake ni wa istihizai hayuko "serious".Anajua anachokifanya. Shetani anatumia.

    • @osmanmanbile9327
      @osmanmanbile9327 9 місяців тому

      We wahabiii wacha porojo sahabaa Gani kasema Allah yupi juu

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      ​@@ahmadmzoa74Comment yako inaonyesha wewe ni wahabi. Maana inadhihirisha akili yako ilivyofupi.tupe ushahidi kuwa maswahaba walitafsiri kama wanavyotafsiri mawahabi

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 8 місяців тому

      @@osmanmanbile9327 iyo ndo ilikua itikadi ya maswahaba na mtume s.a.w. kasema Allah yupo juu

    • @Alyaapi-kb6mm
      @Alyaapi-kb6mm 7 місяців тому

      @@abiabi9353mie sio wahabi wala sina elimu ila kupitia kisa cha miraaj ndio nikapata ilo wazo Allah yuko juu sio mbinguni ila ni juu ila nashkuru kwa haya mafundisho ya huyu sheikh

  • @NasamMangi
    @NasamMangi 4 місяці тому

    Mimi ningesema nenomoja kwa huyu jammaa kwa kujipa usomi nikosa

  • @tujially1361
    @tujially1361 8 місяців тому

    Soma tafsiri za wanachuoni wa kiswahaba hawo walipokea tafsiri kutoka kwa mtume swalallah waalih wasallam

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 8 місяців тому +1

    Kijana aombewe Dua. Ana shida. Anataka kutuonyesha walimwengu uwezo ulivyo juu kuliko Mufasirina waliotangulia.Analazimisha Aya ambazo ni (Muhkamaatun) kuwa (Mutashabihaat).ALLAH A'ZZA WAJALLA Atukinge na riaa na sum a'.

  • @tujially1361
    @tujially1361 8 місяців тому

    Subhana llah,mche Allah katika usomeshaji wako hauko sawa

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali7192 8 місяців тому

    KITABU CHA MASHIA NYEI KINAITWA TAFSIIRI LGHAYAASHII KWENYE KITABU HICHO MUNAWATUKANA MASWAHABA

  • @JumbeKimari
    @JumbeKimari 8 місяців тому

    Mmmm

  • @saidimkwinzu9106
    @saidimkwinzu9106 8 місяців тому +2

    Mtume Swalla llaahu alayhi wasallama Alimuuliza kijakazi mmoja swali hili👇👇
    ALLAH yuko wapi?yule kijakazi akajibu Allah yuko mbinguni
    Mtume Swalla llaahu alayhi wasallama akasema muachieni huru huyu mtumwa hakika yeye ni mu,umini. Hadith ipo sahihi muslam namba 537.
    Na imam maliki Aliuliza ivi
    Allah yuko mbinguni Amekaa je ni vipi Amekaa?akasema kukaa kwake hakujilikanwi na namna alivyokaa haijulikani wala huwez kuiletea mfano na kuamin iyo Aya ni lazma na kuuliza kwamba Allah amekaa vipi hiyo ni bidaa hawakuwahi kuuliza maswahaba.
    Kisha akaamrisha yule mtu atolewe masjid.
    Sasa kuamin sifa za Allah ni lazma na kutafta namna alivokaa hiyo ni akili yako na haitakiwi utafte kazi yako ni kuamin na kukubal na Aya zipo nyingi tu ambazo Allah anasema Amekaa juu ya arshi sasa wewe kutafta namna amekaa vipi hiyo haifai ni kutafta fitna na zambi

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 6 місяців тому

      Hakuna aya inayosema km Allah amekaa kitako juu ya arshi, na km ipo nitolee,,,,,,,, km ni aya hiyo hapo imetumia neno... ISTAWAA... Na sio... JAALISA... wala KAAIDA...

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 місяців тому

      @@OmarShela-p2z
      استوى
      Maana yake ni nin?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 6 місяців тому

      @@OmarShela-p2z na aliyekuambia Allah amekaa kitako ni nan?? Wapi kumetajwa kitako hapo ustafte fitna ya kutafsir unavyojua wewe

    • @OmarShela-p2z
      @OmarShela-p2z 6 місяців тому

      @@saidimkwinzu9106... Wajibu wako ni kuuliza na ukishauliza subiri ujibiwe usianze kulalamika,,,, hayo yamo tele kwenye vitabu vya kiwahabi, tatizo lenu hamusomi vitabu vyenu vya kiwahabi na kuna hayo pia kuna zaidi ya hayo ambayo sijakutajia,,,,, sasa niambie nkutajie vitabu ukasome

  • @ibrahimabdillah5729
    @ibrahimabdillah5729 8 місяців тому

    Huyu Jamaa ni ovyo sana na Mpumbavu

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 2 місяці тому

    Huyu kafiri wa kishia ana anaminya midomo kuwakosoa watu ambao wameiamini kuruani kwa asilimia mia huyu mshia ni muongo sana munaifanyia kuruani takiya kuwadanganya wwtu wakati muna xeema amuiamini sasa unakosoa kitabu ambacho hukiamini mnasikitissha sana shiaa

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 8 місяців тому

    Assalam Alykum Warahmatullah Wabarakatuh
    Zike zama amabazo alizizungumzia kwamba watakuja Watu wanaotokana na sisi yaan waislam watawalingania watu kuwapeleka motoni ndio huyu kijana maaana anakwenda kinyume kabisa na Quran na mafundisho ya Mtume sala na salam ziwe juu yake

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Hi comment ukiisoma tu utajua aliyeandika ni wahabi. Uandishi wakiwahabi unaonyesha walivyo na akili fupi

  • @JumbeKimari
    @JumbeKimari 8 місяців тому

    Mm

  • @RamadhaniJuma-s1z
    @RamadhaniJuma-s1z 8 місяців тому

    السلام عليكم ورحمة الله وبركاته

  • @RamadhaniJuma-s1z
    @RamadhaniJuma-s1z 8 місяців тому

    لست مؤصلا بالعلم هداك الله

  • @thabitisaidi6334
    @thabitisaidi6334 6 місяців тому

    Shia Acha kuptosha watu mupuuzi ndo maan wngine wanakuita mbwa unabwtwa bwata

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 8 місяців тому

    Hii Ahlu bid'aa Linazungumza Nini hapa

  • @AliShee-mb2gh
    @AliShee-mb2gh 8 місяців тому

    nabii Adam عليه السلام aliumbiwa wapi?

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 8 місяців тому

    Muogope Allah taalaa, hii ni dini ya Allaah usizungumze tuu na kupotosha ummah, hakika wabeba
    Jukumu zito

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Wewe ni wahabi tu.nenda na akili zako fupi.kama unajiamini jibu hoja za sheikh

  • @nasirdinmohammed8741
    @nasirdinmohammed8741 9 місяців тому +4

    Shekh awo الراسخون في العلم ndio walotupa nafsiri ya maana ya izo Aya kama vile imam Qurtub kwenye tafsir yake imam baihaki kwenye kitab chake الأسماء والصفات imam ibnu kathir kwenye tafsiri yake na wengine wote ambao umma unashuhudia juu ya uimam wao wametafsiri kuwa Allah mwingi WA rehema amelingana juu ya arshi yake tukufu Vipi basi useme hao walotafsiri hivo ni mawahabi wakt hao wametangulia kwa Karne nyingi na haimakiniki kuwa Allah kwenye kujieleza nafsi yake na sifa zake alete ibara ambazo ni mutashabihati haimakiniki bila Shaka Aya anazozungumzia wasfu wake ataleta kwa ibara za wazi kabisa huelewa kila mtu isipokuwa Yule ambae shetani ameichezea nafsi yake .

    • @suleymanmohd3418
      @suleymanmohd3418 8 місяців тому +1

      Hapana sio kweli hayo maneno yako.
      Imam Qurtub, imam ibnu kathir, imam jalalayn wote hao hawajapita hiyo mipito unayo isemea wewe.
      Wote hao wame tafsiri hiyo Aya ya الرحمن على العرش استوى maana yake ni kuwa له ما في السموات والأرض ،
      Na hata Ibnu Abbas kaitafsiri hivyo hiyo Aya
      Kuwa "Mwenyezi Mungu anatawalia vyote vilivyopo mbinguni na ardhini.
      Usitolee maelezo jambo kwa jinsi unavyo taka wewe,, wapo wengi pia wanasoma na kutafuta elimu.
      Hiyo ndio tafsiri ya hiyo Aya imma ukitaka utafsiri neno kwa neno kama wale watoto wa nursery wanao anza utachukua hiyo maana unayo taka wewe, ila ukiingia kwenye تفسير في العلم القرآن hakuna aliye toa tafsiri ya kuwa Mungu yupo juu kwenye Arshi kalingana sawa.

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 8 місяців тому

      @@suleymanmohd3418 ndugu naona huna kitabu ulichofunguwa na umeamuwa ujibu Tu lakini ungerudi ukasoma yaliyondikwa kwenye tafsir ya imam Qurtub na imam ibnu Kathit uvlxngkuja na porojo hilo na kama unaushahidi WA Maadai yako hayo naomba utuletee navitabu vnapatikana walillah lhamdu

    • @KombHaji-dr5pd
      @KombHaji-dr5pd 8 місяців тому

      acha uwongo usiwazulie hao maimam staw bimaana istaul neno stw linamana 10 kwa kiswahili

    • @nasirdinmohammed8741
      @nasirdinmohammed8741 8 місяців тому

      @@KombHaji-dr5pd wew Acha porojo tupu hebu Lete izo tafsir moja Tu ya ibn kathir au imam Qurtub aliposema اسْتَوَى kwa maana ya استول Lete ushahidi wako ukiwa ni mkweli WA Maadai yako

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому +1

      Siyo kweli unatakiwa umche Allah ukisema kitu. Hao masheikh uliowataja hakuna aliye tafsiri hivyo. Mawahabi hawaelewi.tumefundishwa tusitafsiri ayat mutashabihat moja kwa moja tunatakiwa tuziambatanishe na ayat Muhkamat ndo tuelewe maana iliyokusudiwa.sasa Mawahabi twambieni tafsiri yenu mumeambatanisha na aya gani muhkamati. Na je Mawahabi mnavyotafsiri mnavyo taka nyunyi hamuoni tafsiri yenu inapingana na aya nyengine muhkamat?

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 8 місяців тому

    Rudi tena kwenye tafsiri za mabingwa wa tafsiri duniani ukaangalie wametafsiri vp??

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Wewe ni wahabi tu ndo maana unalialia badala yakujibu hoja

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 8 місяців тому

    Tuletee tafsiri ya ibnu abbaas ambae ni bingwa wa tafsiri duniani, yeye ametafsiri vp ibnu abbaas kwenye aya hiyo

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 9 місяців тому

    Maalim Shafii nnakuusia kumcha MOLA Wako MTUKUFU. Usihadaike na sifa wanazokusifia watu wasiojua kitu. Hivi unaelewa hicho unachokifanya. Shetani ni mjuzi sana tambua anakutumia kwa maslahi yake .Unacheza mchezo wa hatari saana.

    • @mchagagaspar6649
      @mchagagaspar6649 9 місяців тому

      HUYU Ahmadmzoa74 ,wewe ndie unafaa utekeleze vema,Ustadh Shafi yupo sawa 100% ,tatizo vitau vilichomwa nakudumbukizwa Ma Baharini

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 9 місяців тому

      @@mchagagaspar6649 Unaweza kuniambia Aya za (Istawaa)zipo ngapi ktk Quran Tukufu?

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 9 місяців тому

      @@mchagagaspar6649 Aya Ambazo zimebainishwa waziwazi (Muhkamaatun).Huyu jamaa ni mtu wa shubha.Zipo nyenzo ngapi ngapi za kufasiri Quran Tukufu. Ili niamini maalim yupo 100% kwa madai yako?Halafu mwanadamu ambae si Mtume unawezaje kumpa 100%??? Hayo ni mapungufu makubwa. Kaa vikao vya kielimu.

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Wewe ni wahabi tu huna ishu yoyote

    • @ahmadmzoa74
      @ahmadmzoa74 8 місяців тому

      @@abiabi9353 Na wewe ni mshia tatizo hamna.

  • @ismailkiza
    @ismailkiza 9 місяців тому

    Huyu anaringania ktk batili kwasababu hizo ayaa hajatutajia qaul yeyote ktk masahaba wala qaul ktk wanachuon wa tafsir

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Amakweli mawahabi ni mbumbumbu. Hivyo hapo hamjasikia akitaja hadith ya mtume

    • @ismailkiza
      @ismailkiza 8 місяців тому

      @@abiabi9353 hadith ipi alotaja ambao inaseama kuw allah yuko popote kama umepita madras soma tafsir ya ibn kadhiir au imam qurtubi au tafsir imam twabar ili uwone wao wameifasir vipi hiyo aya

  • @abuumunyrelbatwaawy7490
    @abuumunyrelbatwaawy7490 8 місяців тому

    Tatizo ww umetumia kiarabu chako hukutumia mwenendo wa wema walio tangulia wametafsiri vp

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Amakweli mawahabi ni mbumbumbu. Kwahiyo hapo hamkusikia akisoma hadith ya mtume.na hichokitabu nichamufasirun wa Karne ya 4.je katika salafi saleh?

  • @RamadhaniJuma-s1z
    @RamadhaniJuma-s1z 8 місяців тому

    Hiyo tafsiri imepinda hebu rejea tena vizuri kielimu kwa sababu hayo unayoyazungumza ni dhidi yako.

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 8 місяців тому

    Swali dogo tu hivi Mtume sala na salam ziwe juu yake alipewa sala na mola wake wapi kama sio mbinguni? Mche Allah ndugu zangu atakae mfuata huyo Jahil pasi amepotea

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 8 місяців тому

      Wapi mtume kasema alipokwenda mbinguni alimuona Mungu?

  • @khamisjuma8813
    @khamisjuma8813 9 місяців тому

    Kwani wewe pasta, padri au askofu? Maana ilo tambara ulilovaa shingoni lina misalaba, kisha unatafsiri aya. Subiri tarehe 26 usherehekee Chrismas

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 9 місяців тому

      Hizo ndizo adabu za mawahabi wenye kuabudu miungu mitatu ya rububia wote hawana adabu ni wakurupukaji na wenye matusi na wauwaji wacha tuwanyooshe ndugu zenu mayahudi kule palestine alafu turudi kwenu..

    • @khamisjuma8813
      @khamisjuma8813 9 місяців тому

      @@KhamisiOmar-v3h kwani hilo tambara Lake hulioni kama lina misalaba? Au mumehalalisha misalaba?

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 9 місяців тому

      @@khamisjuma8813 sio kosa lako sbb wewe ni makengeza cwezi kukucheka sbb kama hujafa hujaumbika pole kwa msiba ilio upata.watu wote wasione msalaba wwe ndio unauna ama ulitandikwa na msalaba nini.?

    • @khamisjuma8813
      @khamisjuma8813 9 місяців тому

      @@KhamisiOmar-v3h dah! Usufi kweli shida! Yaani hata iyo misalaba pia huioni! Pole sn, na ndo mana mimi nikaachana na usufi kwa uongo wao bila ya dalili na kunyamazia makosa kama haya. Wewe, ukubali tu, eti kwa kuwa sheikh kanena hamna kosa.

    • @KhamisiOmar-v3h
      @KhamisiOmar-v3h 9 місяців тому

      @@khamisjuma8813 uliruka asali ukaingia kwa mavi ya mawahabi wauwaji wanao jifanya wameokoka kama wakisto eti unasema ulikuwa mchawi na sasa umeokoka kuwa muwahabi nani atajua kuwa umeacha uchawi watu hujitakasa kwa allah sio kwa wanadamu baki na hio imani yako ya miungu mitatu ambayo haiko kwa qur ani walla mtume hakuifundisha na kusema wakiristo mashoga wachawi wasanii waizi wazinifu ni bora kuliko watu wa maulid.