Nikki MBISHI: Kama MBOSSO tu anafanyiwa HIVI, Wengine itakuaje? inakatisha TAMAA. PART1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 148

  • @godfreykyando3345
    @godfreykyando3345 5 років тому +5

    Niki mbishi anaweza kilakitu ni kweri naamini nikioo cha jamii safi braza

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 5 років тому +5

    Akili kubwa 🖐🥰😘😘😘

  • @isackmhala1373
    @isackmhala1373 6 років тому +5

    Nick Mbish amin milele katika Z I L L ax @respect mbishiNick

  • @jasminyiddysulaiman9807
    @jasminyiddysulaiman9807 5 років тому +3

    Nakubalee Unju

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 років тому +7

    Interview kaliii cnaaa watuuu wanaongeaaaa vizuriii Niki mbishiii nayee ni mmojaa wapooo mzeee aseehhhhh #nikimbishi @jaymoe hawaa watu wakiwaa kwenyee interview wanaongeaaaa fact xnaa nimeipendaa wanachofanyaaaa aiseehhhhhh nikimbishi ni hatarii talented cnaaa nycc interview tanguu mwakaa huuu uanzeeeee

  • @thesontzgabinus2440
    @thesontzgabinus2440 6 років тому +5

    anajua sana nick.

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 6 років тому +5

    Niki mbishi saafii sana

  • @Osmarnkanjo
    @Osmarnkanjo 5 років тому +3

    Gonga like km unamkubal Unju mshkaj namkubal saana

  • @famegee8880
    @famegee8880 6 років тому +3

    True that 'true that nikki ,your the real version of hip hop artist since day one 'nimekua nikiishi kufata nyendo zako , stick on the way you are 'lets change the world and remain to be real 'Lil ommy tag this caption to my brother plz nikki mbishi one of my icon

  • @fanleck2922
    @fanleck2922 4 роки тому +3

    2020 nairudiaga tu hizi intavyuu za nikk

  • @julesbakita7966
    @julesbakita7966 4 роки тому +3

    je kweli kiki nimkulima?wooow nakubakaka basiwewe nirapa mkali.

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 років тому +31

    Huwezi kutaja Kati ya wasanii wa Kali hip hop bongo
    Huwezi kumuacha Nikki kabisa

    • @saidahmohamed4511
      @saidahmohamed4511 6 років тому +2

      Indeed. Nikki anatisha kiukweli

    • @yohanapetro4937
      @yohanapetro4937 5 років тому +2

      Niki mbishi unajua kujb maswali jinsi unavoulizwa saf

  • @isamiloprezdent6807
    @isamiloprezdent6807 6 років тому +5

    Noumaaaa snaaa nikki mbishi

  • @abrahamansuleiman1401
    @abrahamansuleiman1401 2 роки тому +1

    Mtu! Makini sana nikki mbishi the best hip hop tanzania miaka yote.

  • @stanslauschatata9006
    @stanslauschatata9006 6 років тому +6

    Lilommy unatalent sana kichaa wangu VOT walipoteza bonge la presenter tunakumic sana watu Wa mboka

  • @tafutampenzi1653
    @tafutampenzi1653 6 років тому +5

    Jamaa anajua kinoma

  • @francisnsungwe2313
    @francisnsungwe2313 5 років тому +4

    We jamaa ungekua mbele ungekua bonge la superstar

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 6 років тому +5

    The interviewer was doing a good job here.He deserves an applause in his efforts

  • @derickshady5590
    @derickshady5590 6 років тому +5

    namuita genius....basi tu kibongo bongo mwanangu

  • @makaliuskomba6478
    @makaliuskomba6478 6 років тому +4

    Nakubari Nikki mbishi

  • @viensthebarber6862
    @viensthebarber6862 6 років тому +9

    Honestly ilike interviews zako,,,,u always talk sensitive issues 💯💯

  • @jackmoonsoon7337
    @jackmoonsoon7337 4 роки тому +4

    Tamangumi respect Sana hlo group

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 років тому +5

    Niki mbishiii on🔥🔥🔥🔥🔝🔝🔝🔝

  • @almasially6509
    @almasially6509 6 років тому +4

    Nikki mbishi ni real mcee, km hip-hop imekupitia kushoto bx hutaelwa nn kaxema

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 років тому +6

    Wow Nikki i seh umeniguza saana Bro so inspiring 👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏

  • @catherinecharles932
    @catherinecharles932 6 років тому +7

    Namkubali huyu jamaaa jamn..

  • @fanleck2922
    @fanleck2922 4 роки тому +4

    Nikk mbishi... Anasimama kama kaka wa hipHop baada ya baba Fid na uncle prof J kaka mkubwa Langa na Hashim Dg.. hivi sasa Tamaduni Music ndo nyumbn kwa hiphop

  • @leolaswai2762
    @leolaswai2762 5 років тому +4

    zile picha ambazo machizi wamevua kabisa suruali zao, najaribu kutafakari hayo machizi, noma sana.

  • @kyataonline5262
    @kyataonline5262 6 років тому +6

    kweli sasa Nikki! kilimo! sanaa unailewa kumbe ndio maana hukurupuki ... kweli sana wanaokuelewa ndio watu wako!

  • @athumaniabdallah2668
    @athumaniabdallah2668 6 років тому +4

    unju we noma

  • @marijanimutemi8993
    @marijanimutemi8993 6 років тому +5

    De king in EAst Africaaaa in Hip Hop

  • @GoodluckMathias
    @GoodluckMathias 6 років тому +16

    Unju bin Unuq (pia: Unju bin Unuku, Unzi Bin Ununuk) ni jina la jitu katika masimulizi ya wakazi wa pwani ya Tanzania. Hadithi zake zasimuliwa kuanzia Bagamoyo hadi Kilwa.
    Historia yake inapatikana katika makumbusho ya Kaole huko Bagamoyo.

  • @ytmaster9853
    @ytmaster9853 6 років тому +20

    Oyih broo Omy pamoja sana Nick kichwa sana Gonga like kusapoti kipindi kizuri na dj bora Africa
    3 6 6 ™
    sapoti nyimbo zangu zooteeee Real conscious kwa kudownload nyimbo zangu zooteeee bofya hapa mdundo.com/a/27133

  • @gabylovestech
    @gabylovestech 6 років тому +5

    Nikki Namkubali sana. .ni conscious mcee sana

  • @domydocta.
    @domydocta. 6 років тому +6

    Kizazi na kibabe sana .. Lilommy unaweza

  • @saintdope3813
    @saintdope3813 5 років тому +3

    Bonge LA show lil ommy

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 6 років тому +5

    I salute you ma nigga one..game niyako bongo waache wabane mwisho watakuelewa tu na waachie upenye inshaAllah

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 років тому +6

    Unju MAKAVERY, the bad memory👊👊

  • @kibisekibise2799
    @kibisekibise2799 6 років тому +6

    Unajua adi kero

  • @fabianibrahim2900
    @fabianibrahim2900 6 років тому +8

    Nikki uko makin saana na umejbu vzr saana

  • @odamanbarnaba6582
    @odamanbarnaba6582 6 років тому +7

    Daah Yani km watu wote wakiipitia hii interview watajifunza vingi sana na wataijua Hip hop ni nn

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 6 років тому +3

    Nikki mbishi nikki mbishi

  • @husseinkatakwebah5034
    @husseinkatakwebah5034 6 років тому +4

    Big up Nikki Mbish

  • @diegosenior4116
    @diegosenior4116 6 років тому +6

    Niki upo active bro nakubalii

  • @sillosanka8933
    @sillosanka8933 6 років тому +4

    Kali sana

  • @happyalfred8520
    @happyalfred8520 6 років тому +3

    kubali sana mbishi

  • @dalizotz9802
    @dalizotz9802 6 років тому +2

    Bgup sana Nikki mbish much appreciation to you

  • @renatusthobias7396
    @renatusthobias7396 6 років тому +3

    More lyfe u as a motivational speaker bro naamn wakifata nyayo zako na amn watafika mbal(Naona usimba na uchui hakna ubinadamu siri ya kondom hamuijui mtaijua mkiacha ngono

  • @fidelmwambenja5686
    @fidelmwambenja5686 6 років тому +4

    Mmetisha sn

  • @mwajumamaula5763
    @mwajumamaula5763 6 років тому +6

    Hahahahahahahahahahaha dah we mbajooo aiseeee noma watu wanaikimbiaaa hiphop maneno kuntu mnatumia (misamiati migumu)

  • @jamalmbishi9074
    @jamalmbishi9074 6 років тому +5

    Safiii sanaa nikki mbishii

  • @kareemnjaidi2191
    @kareemnjaidi2191 5 років тому +2

    Dr baba mariki

  • @shadib7282
    @shadib7282 6 років тому +4

    Daaaaaaaah ad xo p ilah m nko nyum yak

  • @japhetjuma2177
    @japhetjuma2177 6 років тому +3

    Nakubal BABA Marco...Uzdishiwe

  • @humphreymorise
    @humphreymorise 6 років тому +6

    katika shooting kwanini ustumie camera mbili brother

  • @jamalmbishi9074
    @jamalmbishi9074 6 років тому +6

    Interview nzurii sanaa sijaonapoo

  • @abdullahamadmwinyi8233
    @abdullahamadmwinyi8233 6 років тому +3

    Niki ww noma respect sana

  • @drmubarakhassan8010
    @drmubarakhassan8010 6 років тому +4

    tamadunimuzik where hiphoptz lives.

  • @amanimoses6389
    @amanimoses6389 6 років тому +3

    Uandishi wake nikk mbish uko vizur kweli we mbishi

  • @mwafrikabarz4507
    @mwafrikabarz4507 6 років тому +4

    Unju bin UNUQ, ana madini mengi sana, so! Anahitaji guard ya ubongo

  • @athumaniabdallah2668
    @athumaniabdallah2668 6 років тому +3

    sauti ya jogooo

  • @poeric2442
    @poeric2442 6 років тому +4

    The title to this video is misleading

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 6 років тому +13

    Aki anajibu maswali kulingana na swali alilouliza aki, uki juu kaka

  • @nassoromaduhira8480
    @nassoromaduhira8480 6 років тому +5

    Unju bin uniq on fire

  • @japhetbaraka587
    @japhetbaraka587 6 років тому +4

    bravo nicki

  • @shafiimkeremi7819
    @shafiimkeremi7819 6 років тому +5

    Nikki Kaza Uko Vyma Sana

  • @Dr.zaidi4
    @Dr.zaidi4 4 роки тому +2

    Too many sounds on the background.Disrupting the interview

  • @sakowamakavu5711
    @sakowamakavu5711 6 років тому +7

    Watu na akili zao!

  • @emarkimaro7297
    @emarkimaro7297 6 років тому +10

    Akili kubwa..imekutn na akil kubw...nimeipnda.

  • @dramatic2558
    @dramatic2558 6 років тому +5

    0:10 STILL BADO INAFANYA VIZURI!

  • @niyogushimasuperjohn5001
    @niyogushimasuperjohn5001 6 років тому +4

    Sasa Ommy mbona unauliza sana Lyrics bro!!!??leo hakuna maswali!?

  • @surveyoraloyce7408
    @surveyoraloyce7408 6 років тому +4

    Sikiliza utaratibu wa kupitia ili uweze kupata hati ya kiwanja chako
    Click link hapo chini
    ua-cam.com/video/To0AmeF0rhc/v-deo.html

  • @Afrobeatsound255
    @Afrobeatsound255 6 років тому +3

    NIKKI MBISHI

  • @aishamohamedi6199
    @aishamohamedi6199 6 років тому +3

    Nik mbishiiiiii

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 6 років тому +5

    Darasa bila elimu mambo bampa 2 bampa

  • @youngsilver8578
    @youngsilver8578 6 років тому +7

    we jamaa nakuapriciate xn mzaz

  • @richlaterjunior384
    @richlaterjunior384 6 років тому +5

    This one,is the only one Nikki...

    • @amryabdallasaid2077
      @amryabdallasaid2077 6 років тому +1

      Big up sana Mbish. We nooma sana broo. Unajua kuongea hukurupuki.

  • @lapyahappines5451
    @lapyahappines5451 6 років тому +2

    Mmmmh mwenywee baba caroline

  • @joesimba
    @joesimba 6 років тому +2

    3:17 amnaga mtu wa ivo

  • @edsonnchimbi3595
    @edsonnchimbi3595 6 років тому +2

    Lyrics tu unauliza hapa umezingua

  • @wigomcstv3662
    @wigomcstv3662 6 років тому +5

    Seen 6_march_2_18

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 років тому +3

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @paulokiwango21
    @paulokiwango21 6 років тому +2

    ivi nikki freestyle aliiachia wap,cjmskiaga akipga tena freestyl

    • @AteniOnesmo
      @AteniOnesmo 4 дні тому

      Ukizoea hyo ki2 hatakuimba au kuchana huwez

  • @frankchristopher5734
    @frankchristopher5734 6 років тому +6

    Baba Malcolm's

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 6 років тому +1

    Nick mcheshiii ila nikama amenyeta

  • @budacisse1125
    @budacisse1125 6 років тому +7

    Bila kumbukumbu unikumbuki xx ckiliza mamluki mi ndo yule unju bin unukiii

  • @edsonnchimbi3595
    @edsonnchimbi3595 6 років тому +2

    Mzee kwa hiyo maswali mengine huna kabisa

  • @abdulmalick6911
    @abdulmalick6911 6 років тому +3

    nikki best mc

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 6 років тому +4

    wazee wa kuigiza hao kiki nyingi sana

  • @ramadhankisila452
    @ramadhankisila452 6 років тому +7

    Lilyom Leo umeniboa kichiz interview nzima ni lyrics tu inamaana ulkuwa huna maswal ya ziada?

  • @januaryxtephen894
    @januaryxtephen894 6 років тому +3

    $awa mbishi

  • @yahyanaka6039
    @yahyanaka6039 6 років тому +2

    kamba itabaki kamba iwe kudu au manila

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 6 років тому +1

    sw.wikipedia.org/wiki/Unju_bin_Unuq Ingia hapo umsome UNJU BIN UNUUQ

  • @hilalyrajab7618
    @hilalyrajab7618 6 років тому +2

    Unju bin unuk
    Mc anaejtambua

  • @ortizvitaliz4778
    @ortizvitaliz4778 6 років тому +2

    Zohan

  • @badboy2577
    @badboy2577 6 років тому +11

    Nikki lete mziki unavimba sana wakati hata soko la East Africa bado hujatambulika.Kaza buti usikae tu ukawatazama wenzako wanafanya nini ndo utoe wimbo.unafaa utoe wimbo ili watu wakusikilize.Mziki mkali ni Presentation kali,Message,Instrumental,Video kali za ukweli n.k.

    • @geoffreyhustle4475
      @geoffreyhustle4475 6 років тому +3

      RAJUM PICTURES huna akili wewe

    • @ben_digital
      @ben_digital 6 років тому +1

      Upo sahihi... Atune kdg styl yake iwe ya kisasa

    • @nwntz
      @nwntz 6 років тому +1

      sure man

    • @sehemunzuri
      @sehemunzuri 6 років тому

      Kenny Jones hana kabisa.. Anaijua nimekumiss uyu?

    • @salehcharles4835
      @salehcharles4835 6 років тому

      RAJUM PICTURES unaongea nn wewe

  • @cosmasdonasiani8105
    @cosmasdonasiani8105 6 років тому +3

    Unju bin unuki

  • @peresmagasi5330
    @peresmagasi5330 6 років тому +1

    👊👊👊nick

  • @MSHUA1985
    @MSHUA1985 6 років тому +2

    BIG UP NIKKI MBISHI A.K.A UNJU BIN UNUKI

  • @songo4real224
    @songo4real224 6 років тому +1

    niki mbishi wewe ni naouma kwa hiphop ,,,mashauzi naniletea na bauzi mbele imedisa ***teh teh teh umetisha