RUBANI NEEMA SWAI ATOBOA SIRI ya MAFANIKIO YAKE, AWEKA REKODI HII TANGU TANZANIA IPATE UHURU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • RUBANI NEEMA SWAI ATOBOA SIRI ya MAFANIKIO YAKE, AWEKA REKODI HII TANGU TANZANIA IPATE UHURU...
    Tangu Juni 3, 2023, jina la mwanamke Neema Swai limekuwa maarufu mno nchini Tanzania na kwenye uga wa usafirishaji wa ndege.
    Hii ni baada ya kuweka rekodi ya kufanikiwa kuishusha nchini Tanzania ndege mpya ya mizigo ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) aina ya BOEING 767-300F AIR TANZANIA CARGO kutoka Marekani na kupokelewa jijini Dar es Salaam na Rais Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine wa juu wa Serikali.
    Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba tani 54 imekuwa gumzo kwa kuwa kiongozi wa kuileta nchini ni Kapteni Neema Swai ambaye ni mwanamke aliyeweka rekodi ya tangu Tanzania ipate uhuru Desemba 9, 1961 ya kuirusha ndege hiyo kutoka Seattle nchini Marekani kuja Tanzania...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

КОМЕНТАРІ • 8

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

  • @wewehussein1085
    @wewehussein1085 Рік тому

    Dada yetu tuna mupongeza zaidi na mungu aendele kumubariki

  • @user-yk3yr2yt6o
    @user-yk3yr2yt6o Рік тому

    Ubarkiwe sana Neema

  • @carrenbenson2111
    @carrenbenson2111 Рік тому

    Nimefurahi Sana, Tena sana

  • @DONALDMTOWE-u9g
    @DONALDMTOWE-u9g Рік тому

    Unauzoefu wa kuendesha ndege kubwa kwa muda Ganii?, naunamiaka mingapi?.hakuna rubani mwenye umri wako anaeruhusi kuurusha ndege kubwa kamahiyo, kunauzoefi wa ndege kubwa na ndogo,tamzania hatuna ndege kubwa, na kama ni kweli marubani watatu wanini?.wewe sema ulikua unaelekezwa.

    • @kimandafukitefu2999
      @kimandafukitefu2999 Рік тому

      14yrs nenda kwny channel ya clouds fm kuna mahojiano yake na amesoma kwa miezi 9 tu

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      @@kimandafukitefu2999 asante,

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Рік тому

      Lakini pia kabla ujauliza maswali mengi sikiliza kwa makini au fatilia mahojiano yake ata kwenye channel zingine