BARAKA FIZI | KWANINI NDOA ZA SIKU HIZI HAZIDUMU?

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 27

  • @Giciro-r3d
    @Giciro-r3d 2 роки тому +4

    Munanikumbusha kwetu kbs.... mimi natoka bibokoboko

  • @binheritieralamandataraja
    @binheritieralamandataraja Рік тому

    Leo tujuwe kwamba Hali ziko mbaya sana .
    Kwani mzazi awezi kuwa mchungaji wa mtoto lakini watoto nao waweze kuji chunguza kwani nao wana lahumu wazazi kwa kutokujuwa kwao kwani nao wamekwisha kushindana.
    Dada acha kusema uwongo.

  • @franklinofficialtv2852
    @franklinofficialtv2852 2 роки тому +1

    Wadada wa siku hizi wana tabia mbaya sana kama nyoka💔💔

  • @delphinmartial07
    @delphinmartial07 Рік тому

    Top modèle

  • @williamfelly7810
    @williamfelly7810 2 роки тому +1

    Awa wadada niwarembo kweli.
    Baraka kunawa dada!!

  • @majaliwakashindi804
    @majaliwakashindi804 Рік тому

    Huyu baba ana danganya huji ni stahili
    Ya sasa kukuza nywele ni mtindo ya leo

  • @etonabintu
    @etonabintu 2 роки тому

    Muendeleze iki kipindi kwakweli nimecheka sanaaaaaaaa uyu mzee anifuraisha sanaaa

  • @claraelengabulunda6750
    @claraelengabulunda6750 2 роки тому

    Kutoka mbunyumba siyo sawa ukiona mke wako au mme umuelewi mliliye Yesu tu atambadilisha

  • @binheritieralamandataraja
    @binheritieralamandataraja Рік тому

    Aksanti Ndugu mtangazaji

  • @cecilelouis4272
    @cecilelouis4272 Рік тому

    Njabo rachidien losabo merci

  • @AnastasieZabibu
    @AnastasieZabibu Рік тому

    Tena bien

  • @Floribert5
    @Floribert5 7 місяців тому

    Watoto wasasa mzee ni android tu tribe zimechanganywa wanasema siku hizi siyo nzama zakare kwa sasa ni Mungu tu😂😂😂😂

  • @massejobbs4284
    @massejobbs4284 2 роки тому +1

    Jamani nitumie namba ya uyu dada. Vraiment elle est belle.

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 2 роки тому

      Lakini siishi congo.

    • @lumanyaenyonyi98
      @lumanyaenyonyi98 2 роки тому

      Kama unapenda number yake wasiliana na Tanganyika TV

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 2 роки тому

      @@lumanyaenyonyi98 nitumie namba yake.

    • @massejobbs4284
      @massejobbs4284 2 роки тому

      Acha dada aje kuishi seemu nzuri. Congo shida sana !!!

    • @adoumpmoussah939
      @adoumpmoussah939 2 роки тому

      Hautamariza mapaja na nyama ni ile ile
      Wabinti wote nisawa

  • @reface6780
    @reface6780 2 роки тому +1

    Shida ni kutorizika kimapenzi na tamaa za wanawake, unakuta alikuwa amezoeya kugongwa na kila mtu akiolewa anakuwa kama vile amefungwa ndo unakuta anarudiliya hali yake.

  • @ingodwetrust2905
    @ingodwetrust2905 2 роки тому +1

    Nooooo ebwana mimi naona huyu baba anaongea vibaya kwani mtu akivaa suluwali eti wamuazibu? Kweli? Apana hiyo mambo nimbaya sana nilazimu musichana avae suluwali hakuna shida kabisa mimi ata kwamila zetu za wanyamulenge ilikuwa hivo lakini mimi sikubaliane nahayo yakusema wadada waludishwe nyuma apana kuvaa suluwali siyo shida ata please muwache right ya wanawake.

  • @santoslaurent5652
    @santoslaurent5652 2 роки тому +1

    Ni wazungu ndo wametuma tumepoteza asilia yetu kisa haki ya mtoto

  • @azizabuyonde8368
    @azizabuyonde8368 2 роки тому

    Yaani bunyumba ikibomoka, kosa ni mwanamke? Mwanaume naye?

  • @etonabintu
    @etonabintu 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣