FID Q : Bongo Flava Imepotea/Wenzetu Wanapenda Vya Kwao/Promota Wengi TZ hawana Bajeti....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 жов 2024
  • FID Q : Bongo Flava Imepotea/Wenzetu Wanapenda Vya Kwao/Promota Wengi TZ hawana Bajeti....

КОМЕНТАРІ • 33

  • @abubakarsalim6103
    @abubakarsalim6103 Рік тому +1

    Respect the OG🇰🇪All the way. Fid Q is great but it is end of his Era.

  • @bittersweet1683
    @bittersweet1683 Рік тому +1

    Fid Q is the King in Africa he has a powerful msg not for average

  • @jumaanassib-oo3il
    @jumaanassib-oo3il Рік тому +2

    Daaah! Father nimekuelewa sanaaa lkn wazo moja tu kwanini msiwe na weka seminar ya DJ's pamoja na Mapromota kuhusu kucheza mziki wa Bongo kwa kiasi kikubwa na pia hawa Mapromota hawawezi kuandaa show pasi na Government permit kwaiyo kwanini tusiwe na sheria maalumu na kanuni ya kuupa mziki wetu heshima na kukua zaidi .Serikali pamoja na Wadau ndio wanaweza kutushibisha radha ya mziki wa Bongo

  • @pmanpjjp
    @pmanpjjp Рік тому

    Mi naamini awakutani na vitu vizuri wanavyoovipenda may be best zenye mood au maproducer wanao amasisha game

  • @riccomkali-eq8qr
    @riccomkali-eq8qr Рік тому +2

    Fid q for life cruza kwaruza toka Kenya

  • @beenismailofficialali2024
    @beenismailofficialali2024 Рік тому +1

    that's true bro i like that 💯 fid q your the only one

  • @pena_tz
    @pena_tz Рік тому +1

    wasanii wa bongo hamuwapendi wananchi kabisa, halafu mnataka tusikilize local music na kudai uzalendo. na nyie badilikeni kidogo

  • @simbafadhili
    @simbafadhili Рік тому

    jay melody ngoma zake zote ni moja tu. same menu inachosha

  • @Wiliyamu
    @Wiliyamu Рік тому

    PIGA makofi everytime he says "UMENIELEWA VUZURI"

  • @yassirgk3954
    @yassirgk3954 Рік тому

    sogy no one like u presenter mwenye skills za maswali yenye akili sio wasafi nusu kipindi chote wanamtaja diamond tu wanaboa

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Mm ndio nilikupaaa kitambaa chakukufuta jashooo unakumbuka Sana’a ajaliii na babu kinkokoo akiwa natoka kwenye shooo yakooo wahuni 3 na madem wao walifali palepale

  • @chidomar4958
    @chidomar4958 Рік тому +2

    Mmh fid q simu king’ora😂

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Рік тому

    Sogg dogg sasa hivi yupo station gan

  • @chappagold
    @chappagold Рік тому +2

    Mjini fm 🔥🔥🔥🔥

  • @riccomkali-eq8qr
    @riccomkali-eq8qr Рік тому +1

    Fid q for life

  • @directorballo9598
    @directorballo9598 Рік тому

    Mpigapicha mshamba sana uyo kupitapita mbele ya camera Mwana mwanakijiji

  • @mbarakasaidi8243
    @mbarakasaidi8243 Рік тому

    Maprokoter wabongo wanazinguwa Bahu tale salamu wote makuma

  • @maigajohn5828
    @maigajohn5828 Рік тому

    Sogg dog ni kilaka wa bongo fleva na Tasnia ya hbar na bongo fleva

  • @cypriannyamwamu
    @cypriannyamwamu Рік тому

    Lakini mbona Watanzania huwa hawapendi wakenya kabisaa?
    Ni chuki au wivu?

  • @dj26number2
    @dj26number2 Рік тому +1

    Mapromota wengi wanao andaa show kama izo wengi sio wabongo ndio maana wasanii wetu wanakua wasindikizaji🙃

  • @chinarailway4988
    @chinarailway4988 Рік тому +1

    FID Q 🔥🔥🔥🔥

  • @jumaamohamed2815
    @jumaamohamed2815 Рік тому +1

    Fid Q mwanza Mwanza

  • @abdulmasoud1921
    @abdulmasoud1921 Рік тому +1

    Ivi uyo aliempatia Babu tale udoctor wa heshima kwanini asimpe uprofesa huyu king FID Q?

  • @platinummarcus1341
    @platinummarcus1341 Рік тому

    Kwasababu msikilizaji wa rap yeyote yahitaji atleast unyake kitu flani. Nyimbo asilimia 80 ikiwa kiswahili atanyaka nn.

  • @Wiliyamu
    @Wiliyamu Рік тому

    MAKES SENSE WHY THIS GUY UWA DOES NOT DO MAHOJIANO MARA KWA MARA.....MZEE WA BUSARA SANA ..WHEN YOU TAKE TIME TO LISTEN

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 Рік тому

    Fid akili kubwa Sana we jamaa

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 Рік тому

    Haina sauti live Why ?

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 Рік тому

    Na yy si ana rap na rap wenyewe ni wamarekani na zaidi weusi

  • @khamisyaa6927
    @khamisyaa6927 Рік тому

    Fidq professor wa chuo kikuu cha ghetto

  • @abelhardware6445
    @abelhardware6445 Рік тому

    Fd q ndio habari ya mjini jamani kama nikujivunia wasani wa hpp

  • @sanaanimaisha4072
    @sanaanimaisha4072 Рік тому

    Huyu ni Fid Q, moja kati ya watu makini sana.