Ndugu yangu, I get you very well. Hilo ulisemalo ni kweli 100%, ina vunja moyo sana. Watu wetu si elewi akili zao zili umbwa je! Asante kwa kututia moyo, but it's hard man!
Pole sana kaka kwa tukio hilo. Kwetu kweli ni hatari kabisa watu wetu kweli wajuwe kuwa Mungu wa babembe yuko nawaona na uvujanji wao moyo wanao husababisha kwa wana mageuzi ya kimaendeleo ya Fizi, wawe ange hasira ya Bwana isiwake juu yao hao waharibuo mizabibu.
Ndugu yangu, I get you very well. Hilo ulisemalo ni kweli 100%, ina vunja moyo sana. Watu wetu si elewi akili zao zili umbwa je! Asante kwa kututia moyo, but it's hard man!
Pole sana Mkumbwa, ndo kawainda ya sisi wa Africa iyo uwa atupendaki mtuu wa kuleta mahendeleho! Kisha sisi wa uko Marecani
Kazi hipo
Pole sana kaka kwa tukio hilo.
Kwetu kweli ni hatari kabisa watu wetu kweli wajuwe kuwa Mungu wa babembe yuko nawaona na uvujanji wao moyo wanao husababisha kwa wana mageuzi ya kimaendeleo ya Fizi, wawe ange hasira ya Bwana isiwake juu yao hao waharibuo mizabibu.