Nasikia Raha - Heavenly singers tanzania
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Heavenly singers ni kwaya inayopatikana Dar es salaam Ukonga Banana, chini ya mchungaji Anthony J. Mkama. Nyimbo hii inabeba kichwa cha albamu inayoitwa Nasikia Raha.
wasiliana nao kwa huduma:
0712 409032/ 0767 409032
Tunashukuru kwa kufikia subscribers 4000, Mungu awabariki wote endelea kusubscribe
Mutuwekee Kimbia Dhambi please. Mubarikiwe sana
Wana heavenly singers mnabariki moyo wangu sana
Heavenly Singers Tanzania huyo mdada alie imba huu wimba aisee saf xan nigebahatika kuonana nae nigempa zawad mbalikiwe wote kwa ujumla
Mko vzr
Nakuona frank unanibariki sana na kwaya nzima
Who is watching from kenya 🇰🇪 ❤
🔥
Lazima niyasimulie wema wake mkuu
Ak huu wimbo hunibariki sna,kwnza frank na naomy mko poa
This choir always blesses me. Mungu awabariki na mrudi Kenya
Hakika ni raha kuwa ndani ya bwana ni raha
That was nice ..naksia raha...kumsifu MUngu ni raha..fro kenya
I love you guys do very much. I feel presence of God when you sing...May the Lord bless you forever💞💞💞
Hakika ni lazima nimsifu anayekaa mahali pa sifa, Mungu amenitendeya mengi makuu mbarikiwe sana ninawapenda
Amina
Mko vizurii ndugu zanguu
Lo! Hakika hiki kikundi kimejua kuimba na kuchezea Mngu. Mngu awapeleke nchi za mbali ili waone mnavyomchezea kwa furaha ili wajifunze kwenu. Kuimba kwenu na kucheza ni huduma inayoangazia makuu na uwezo wa Mngu. Nimebarikiwa. Mngu awainue enyi watumishi wake.
Yesu awazidishie zaidi na zaidi mubarikiwe Sana watumishi was bwana
Hongera sana wana wa ufalme mbarikiwe by luciana iraq bagdard
Yaani nimefurah sanaaaaa nasikia rahaa sanaa
💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃😘ni raha kwa baba wimbo unaonitia raha zaidi na furaha moyoni barikiwa zaidi may God lift your ministry 😍😘😘😘
Amen
MUNGU awaliki sana
Wonderful i like the way u dance for God
Mnaimba vzuri,hongeleni sana
Mko vizur.Mungu awainue zaidi
Please, when you sing, explain for us. We love worshiping with people and their languages and please, explanation will be great for us 🙏🏾🙏🏾💃
Ngoja niyasimulie-let me tell (narrate) about, Matendo yake Mngu-The works of God
Lazima niyasimulie-I must tell (narrate) about the goodness of the Lord
They are explaining in the song about what the Lord has done for them and testifying of His goodness and wonders.
Feel blessed ,you too God grant you more grace
Kwa kweli mmenibarikiii sanaaa ,
Nyinyi hodari! Karibuni Kenya
Thanks 🎉
The best singers . Jenifer López , we need you consider a new video with these tanzanian group Naskia Raha chorus .
LA ARMONIA DEL GRUPO ES EXCELENTE Y EL FONDO MUSICAL MUY PROFESIONAL . DIOS LOS BENDIGA
Nasikira raha kwa kwelii
Ni Raha kuokoka
Duh noumaaa yan
Kabisa kilawakati anatenda amin balikiwa san
Much love from UAE
Ni raha kwa kweli
Hakika mimi nimefrahi sana jmn naombeni niimbe na nyie jmn
nasikia rahaaaa...kumuabudu
Jamani sio kwa step hizo
Hakika kuokoka ni raha
barikiwa sana vijana
Mbarikiweeee
Mungu azidi kuinua huduma yenu
kuokoka ni raha kweli
Mnachetuka sana punguzeni kucheza kwingi kunapoteza uwepo
ndio wanavyocheza karibu banana church utawaona EAGT
barikiwa sana watumishi
tuko pamoja EAGT KWA MUYAUD MWEUSI
Nawapendaaa
Well done guys
BARIKIWENI
kuwa nayesu nira jaman
nawakubali Sana hawa jamaa
mubarikiwe sana
a rusha
Amina nimebarikiwa na wimbo huu
Elizabeth Mwandu
Amen
Nitapaje wimbo yenu ya "kwa kila jambo?"nimejaribu kutafuta na siipati
Huy n abraham kutoka kongwaaa
Viuno tupunguze wandugu
bwana amenitendey mengi
MUNGU awabaliki
jaman kwaya hii n noumaa
mungu akuinuwe zaid
amina
kuimba raha sana
umeona e
nyimbo zenyu zinanitia moyo,,nitazipataje?
wasiliana nasi kwa whatsapp namba 0752644418
Heavenly Singers Tanzania sawa
Heavenly Singers Tanzania hampatikani WhatsApp
Øø
Pw
Hakika mimi nimefrahi sana jmn naombeni niimbe na nyie jmn
Ni Raha kuokoka
May the Almighty God bless u abundantly and in crease knowledge in you. I feel touched
Very very nice song ad motivative may lord bless watumishi wake