Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Asante sana kwa somo zuri
Asanteni somo zuri.
Umeeleweka vizuri tu
Hamja sema njia yakuaandaa miche
Karibu sana Moses,Hii module 3 ni kwa ajili ya upandaji miti tu, Ukitaka kujifunza uanzishaji bustani search module 2.
Asanteni sana
Somo zuri sana
safi sana,somo zuri
Je Kama seheme huwa panatuwama maji kwa kipindi cha miez 3 hadi 4 kwenye bonde panafaa kupandwa mipaini au haitaki maji mengi nisadie kunijibu
Ni bora kupanda miche kabla ya mvua kuanza kunyesha au baada ya mvua kunyesha..?
Wakati mzuri ni pale tu mvua zinapoanza kunyesha.
Safi...Module ya tano wapi?
Na miezi ipi ni vizuri kuanza kupanda miche ya miti......?
karibu sana, Kwa kawaida miche ya miti inaanza kupandwa pala mvua za masika zinapoanza kunyesha yaani kuanzia miezi ya Disemba hadi Machi. Karibu pia kwenye forum ya Mitiboashara ili upate mengi, mitibiashara.or.tz/
@@pelezi84 Je kwenye tinga tinga panafaa kwa kilimo cha miti hii au
Asante sana kwa somo zuri
Asanteni somo zuri.
Umeeleweka vizuri tu
Hamja sema njia yakuaandaa miche
Karibu sana Moses,
Hii module 3 ni kwa ajili ya upandaji miti tu,
Ukitaka kujifunza uanzishaji bustani search module 2.
Asanteni sana
Somo zuri sana
safi sana,somo zuri
Je Kama seheme huwa panatuwama maji kwa kipindi cha miez 3 hadi 4 kwenye bonde panafaa kupandwa mipaini au haitaki maji mengi nisadie kunijibu
Ni bora kupanda miche kabla ya mvua kuanza kunyesha au baada ya mvua kunyesha..?
Wakati mzuri ni pale tu mvua zinapoanza kunyesha.
Safi...Module ya tano wapi?
Na miezi ipi ni vizuri kuanza kupanda miche ya miti......?
karibu sana, Kwa kawaida miche ya miti inaanza kupandwa pala mvua za masika zinapoanza kunyesha yaani kuanzia miezi ya Disemba hadi Machi.
Karibu pia kwenye forum ya Mitiboashara ili upate mengi, mitibiashara.or.tz/
@@pelezi84
Je kwenye tinga tinga panafaa kwa kilimo cha miti hii au
Je Kama seheme huwa panatuwama maji kwa kipindi cha miez 3 hadi 4 kwenye bonde panafaa kupandwa mipaini au haitaki maji mengi nisadie kunijibu