ISHARA 6 UNA CHUNGUZWA KWENYE KIOO CHA KICHAWI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 18

  • @hellenmwenda4971
    @hellenmwenda4971 2 місяці тому +4

    Napitia hio hali yakuchukiwa bila sababu katika jina la yesu kioo cha uchawi kinacho nimilika kivunjike kwa jina la yesu kristo

  • @prisilagregory2484
    @prisilagregory2484 28 днів тому

    Ee mwenyezi kwa jina la Yesu kristo navunja vioo vyote vya wachawi vinavyochunguza maisha yangu,wasiweze kuona maisha yangu,unifunike kwa shuka la damu ya Yesu kristo Amina.

  • @user-sc7sn1tb9c
    @user-sc7sn1tb9c 2 місяці тому +2

    Amen

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 2 місяці тому +2

    Mtumishi wa mungu naomba uniombee,naamini kupitia unabii huu Mimi nimepona,shetani atakaa aanionee kwa kipo Chao Tena au kupewa ubaya Tena Leo ni mwisho,,na wema wangu unaenda kurudi na wazazi wangu wanaoenda kpona na ndugu zangu wanaoenda kupenda

  • @BenedictaKileo-ff9go
    @BenedictaKileo-ff9go 2 місяці тому

    Amen 🙏

  • @elizabethguga7396
    @elizabethguga7396 Місяць тому

    Ameen ameen🙏

  • @BeatriceMulama-vr8xp
    @BeatriceMulama-vr8xp 2 місяці тому +1

    Asante pastor kwa mada.

  • @LeticiaShoka-me2wq
    @LeticiaShoka-me2wq 2 місяці тому +1

    Amina

  • @Christabell781
    @Christabell781 2 місяці тому

    Shalom, hiyo hali ipo rev.

  • @telvinbrian11
    @telvinbrian11 2 місяці тому +1

    Mtumishi wa Mungu nisaidie kwa maombi kwa maana ishara zote sita uliyonena ndio hali ninayopitia kwa sasa

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 2 місяці тому +1

    Halleluya

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 місяці тому

    Amen nimesaidika baba barikiwaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AdamHamis-sg6zz
    @AdamHamis-sg6zz 2 місяці тому

    Nimeota tumebeba maiti tunaenda kuzika hatua chache tunakutana na kundi lingine nao wanaenda kuzika yaani wamembeba maiti wao wanaenda kuzika tunakotoka ss, wakati huo sisi tunaenda kuzika wanakotoka wao, Tukapishana namna hiyo then baada ya mda najikuta tumebaki watu wawili tuu tuliobeba maiti wenzetu wote wapo mbele, ghafla maiti ikanza kuchuruzisha maji flan iv machafu, ikabidi tuibebe kwastyle flani iv ili uchafu usitupate , then hatua chache nashangaa maiti imekua nyepesi sana kuhamaki maiti haipo tumebaki na sanda tuu yenye damudamu, ikabidi tuludi kuitafta maiti imedondikea wapi tukaitafuta mpaka tuipata lakini inaliwa na mbwa mwenye sura mbaya mweusi flani iv kijivu sio kijivu , nikamfukuza yulembwa akatoka , akaicha maiti imebaki haina nyama vizuri kiasi kwamba sehemu nyingine mifupa inaonekana nilipochunguza vizuri iyo maiti nikagundua inauhai Kuna baadhi ya mishipa ya damu inadunda, mwenzangu akawa anajaliku kuiweka kwenye sanda asiweze mi nikaona kinyaa kuishika na mikono mitupu ikabidi nitoke nikachukue gloves 🧤 nikatoka kwenda dukani kwangu kuchukua gloves 🧤.
    Na ndoto ikaishia hapo.
    Mchungaji naomba unisaidie kutafsir ndoto hii.

  • @SosisRoti
    @SosisRoti 2 місяці тому

    Mtumishi niombee nipate kz niyulie maana kila kazi nikipata hata mwexi haushi ina potea mutumishi niombee plz nakuomba

  • @nicodemustesha1493
    @nicodemustesha1493 2 місяці тому

    Mtumishi mimi ndio napitia hiyo hali naomba maombi yako

  • @user-bw8hc1us7z
    @user-bw8hc1us7z 2 місяці тому

    Amen

  • @user-ff2qe4fp2m
    @user-ff2qe4fp2m 2 місяці тому +1

    Amen

  • @ShyBeats-dk4du
    @ShyBeats-dk4du 2 місяці тому +1

    Amen