Crown nawapata sana mnatisha sana ila namuomba boss wetu mo atuletee mpanzu tutafurahi sana na kusahau mateso tuliyopitia kibu arudishe hela tuongezee kwenye dili la mpanzu
Pia kuchambua kama Mr Ramadhani mbwaduke kwa fact za aina zile please ni kitu poa sana na kutabeba kipindi chetu Cha crown sport cuz watu watakuwa serious kujua Yale wengine hawayapitii in deep
Ndugu ukitaka vile hakuna mwenye talanta kama ile Mungu humpa kila mtu talanta yake anajua yule mwamba na hawa wanavyo fanya kuna vingine mzee wa next level haviwezi pia
Kibu D ni mchezaji mzuri ndo maana aliongezewa mkataba mpya kwani alikuwa kwenye mipango ya ubaya ubwela kwa alichokifanya hakina afya kwa mpira wa Tz na yy sidhani kama atafanikiwa kwani hajapewa baraka ila naamini usajili wa Mpanzu ukifanikiwa akika ni bonge la dili na kibu D tutamsahau mapema sana
Mungu tusaidie tumpate Mpanzu.Simba nguvu moja
Uhakika
Crown media is amazing our media now so beautiful 😍😍❤❤ for simbaaaa king is one in Tz ALY KIBA MUCH RESPECT FOR YOU
One love
Hii taarifa ikiwa kweli tutafurahi sana wana simba
👑 Crown Bomba sana nakukubali wachambuzi wa viwango ❤❤
Crown nawapata sana mnatisha sana ila namuomba boss wetu mo atuletee mpanzu tutafurahi sana na kusahau mateso tuliyopitia kibu arudishe hela tuongezee kwenye dili la mpanzu
Mpo vizuri sana nafikiri mnafunika sasa kipindi Cha michezo weken Radio yenu Azam Tv wa mikoani tuwapate
Kaka wewe ni bonge la mtangazaji sauti nzuri
Safi sana crown Kwa uchambuzi mzuri,wasafi imekosa mvuto hatuoni uchambuzi Hadi baba levo
Paul Mkai na Hance Raphael nawakubali sana nyie ni noma
Welcome mpanzu
Mpanzu karibu sana simba upige mwingi, mnyama ni timu bora sana Afrika
Pia kuchambua kama Mr Ramadhani mbwaduke kwa fact za aina zile please ni kitu poa sana na kutabeba kipindi chetu Cha crown sport cuz watu watakuwa serious kujua Yale wengine hawayapitii in deep
Hilo ni swala la kipaji,usiwafananishe na Mbwaduke,yule ni next level ana kipaji maalum.
Ndugu ukitaka vile hakuna mwenye talanta kama ile Mungu humpa kila mtu talanta yake anajua yule mwamba na hawa wanavyo fanya kuna vingine mzee wa next level haviwezi pia
Nimewaelewa sana ndugu odilomwemeziernest na ndugu sangali power
@@user-ee6gk2zn7z tuko pamoja sana ndugu wacha tule mtori nyama ziko chini
Kila mtu na taranta yake hatuwezi kufanana😂😂
Hongeren hapo kwa mjengo
Mpanzu tunamsubiri kwa hamu sanaaaa Mkai mpe salamu Geaff namkubali sana mwanangu huyo
Sangapi kesho mnachambuaaa
Mko vzr, nawafatilia vzr
Simbaaaaaaa
Mpanzu nisaini matatasana msimuhuu
Tajiri Mr MO sikia ombi letu mashabiki shusha Mpanzu tunakuomba
Habari za mpanzu ni kweli?
Nawakubali sana na pia nawafatiliaga sana tena sana
Simba nguvu mojaa mpanzu aje tuu
Mkali wa dimba ni mtu sana 🔥🔥
Joga bonito 🎉🎉🎉🎉
Kaka vp mpanzu kweli kasani Simba ebu mtujuze vizur
Mko vzr sana wachambuzi
Asante kaka Hans rafaeri nakukubl kinoma
Crown hapa ninyumbani nawakubari sana hakuna kama crownmupo juu kama yanga african
Mkali nakupata sanaaa kutoka nyamongo tarime mara
Asante kaka Kwa talifa njema
Crown man improve day after day
Atumtaki kibu arudi tena arudishe pesa tuongezee tumpe mpanzu
kaka nipo singida nakusikiliza vizur sana tuambie mpanzu vipi ameshatua msibaz tuambie kaka
Kibu D ni mchezaji mzuri ndo maana aliongezewa mkataba mpya kwani alikuwa kwenye mipango ya ubaya ubwela kwa alichokifanya hakina afya kwa mpira wa Tz na yy sidhani kama atafanikiwa kwani hajapewa baraka ila naamini usajili wa Mpanzu ukifanikiwa akika ni bonge la dili na kibu D tutamsahau mapema sana
Mungu tujalie tumpate mpanzu
Mko vizuri sana poul
Naitwa kher Ali Bora awepo mpanzu tu na golkipa kulko wote walio sajiliwa
Mpanzu is the best than koubraah welcome mpanzu
Tupo pamojaa Hadi tamati kwenye kipindiii nipo live nawapata you tube
Ni mimi Bakari Yusuph Ponda wa Mombo Tanga. Inawezekana Mpanzu akatia timu ndani ya Msimbazi kwa kuwa hakuna linaloshindikana kwa MO
Naomba Kujua Crown sports Huwa inaanza Saa ngapi Asubuh naomba Kujua Ndugu zangu
Po mkai kaka nakukubari sana kaka mimi nishabiki yako nenda gym wewe nibrand embu jibrand mkuu
Boss Mo fanikisha hili baba, moyo wangu jamani, Simba itaniua jamaa!
Ww umetisha sana
Tunakubali kaka
Hii radio ndo ninayo ipenda
Uyu mchambuzi hansi ana kujakwakasi kwel na mkubari kwel
Kaz nzur crown media
Nafasi ya kibu naomba viongozi mtuleeni salmon msuva
HANCE RAFAEL UPO KWA UHAKIKA HATA HABARI ZAKO.
Paul mkai nakukubali sana
Hapa ni nyumban asee
Crown sport jogs bonito 1hr iko na views moja than 4k wasafi 2k duh kweli immeimprove
Zima zote acha crown 2 ...
Nyie makaka hapo hapo nyie ninyie mpo poa sanaaaaa papidaaaaaaaaa
Kwani dirisha lausajili halijafungwa
Uyo Hans yupo Kwa kudanganya Uma na ni mnafki ajiangalie kuna kuna jela na gest
Kipindi changu pendwa kabisa. Crown vichwa tupu. Pamoja sana.
😊 hapa ni nyumbani
Moo wape watakacho utupatie mpanzu
Chama cha mapunduzi ya sport tz
Hii infor ikiwa sure italiwa unyama lunyasi
Ukiona simba anahaha kuasajili aliowashinda ni dhahiri walioko ashaona hawatoshi
Ndo jibu ata si tatizo
Mkai ka enjoy mwenyewe😊
Joga bonito= hutamkwa joga bonitu ikiwa na maana ya" mchezo mzuri"🎉🎉😅
Yohana Mazengo Kutoka dodoma chamwino nauliza vp kuhusu ally kamwe kuondoka yanga?
Joba boni mko 🔥🔥🔥🔥
Mfalme wa dimba wewe ni msahihi sana hujatoa uongo
He we goo❤❤
Kila siku nazmaga zote naacha crown tuuuu
Nawakubali sn claun
Mbona kamavlee wachezaj 12 was kigeni walshafikaaa
Mnatisha crown
Oy mnashain sana crown media
Crown 👑 hapa ni nyumbani
Jamani kwani mpanzu siwalisema haji na dirisha la usajili limefungwa
Kumekucha kumekuchaa Elia Mpanzu Mtu na Nusu
mnatisha sana ❤
WATANGAZAJI HAKIKA MKO VIZURI SANA YAANI HATA PINI IKIDONDOKA HAPO TUTAISIKIA. Hakika mumetulia HONGERENI SANA.
Weh jamaa nakukubali ile mbya
Como assim jogar bonito alguém pode me explicar pra eu entender melhor.....
Machozi yatafutwa 2024
Then juma Ayo ajifunze kuongea points Ili alete ladha kwenye pindi letu kama afanyavyo Paul mkai,Jeff Lea na mastermind hans
🔥🔥🔥
Welcome mpanzu ubaya ubwela
Crown tajir wenu Nani
Tajiri Yao ni alikiba
Salim kikeki na Alli kiba
We auna akili
Nimehama kule niko huku ufalmebi😅😇
Unajusana hansi
Kama kwer unaongea ukwer tutamusahau chama
Huyu hans ni muongo muongo sana😅
Hivi mnacho kiongea Kiko sahihi? au ndoo mnafanya mna uende tu maana hili swala la mpanzu limeongelewa sana na halifiki
Yaani mchezaji mmoja tu ndo kila kitu kibadilike hivyo amekuwa messi
Watuachie Fredd wetu
Tajili mo ajawai kufeli akitaka lakejambo
Mpanzu tunamsubiria kwa hamu kubwa
Ukiona nafuatilia chombo Cha habari ujue Kuna watu najua wanafaa kimataifa.
Safiii
Kwahakika msije kubadilika mkaanza kuwa machawa
Wewe unajua unachokifanya unatangaza michezo hasa shika hapo hapo.