DUUH !! SHANGWE LA WANASIMBA HOROYA HATOKI KWA MKAPA | SEMAJI LA CAF AVUNJA REKODI
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2024
- DUUH !! SHANGWE LA WANASIMBA HOROYA HATOKI KWA MKAPA | SEMAJI LA CAF AVUNJA REKODI
.
🎥 Jisajili kwetu kwenye UA-cam: @SimbaFanTV
📸 Tufuate kwenye Instagram: / simba_fan_tv
🖥 Tembelea tovuti yetu: @SimbaFanTV
🔴 SimbaFanTV ndio mtandao mkubwa zaidi wa mashabiki wa soka Tanzania! Kwa upendeleo kuelekea Klabu ya Soka ya Simba Sports Club, sisi ndio mahali ambapo maoni ya shabiki ambayo hayajadhibitiwa yanaweza kusikilizwa kabla, wakati na baada ya filimbi kupulizwa. Jiunge nasi na utufuate kwa muhtasari wa kandanda, mechi mubashara, mawazo ya mashabiki, podikasti na zaidi. Hapa ndipo sauti ya shabiki inasikika!
🙋 Je, una pendekezo la maudhui ambayo ungependa kuona kwenye SIMBA FAN TV?
➡️
⚠️ KANUSHO: Kandanda ni mchezo mzuri na mashabiki wana shauku. Lugha ya rangi wakati mwingine hutumiwa, na maoni yenye utata yanatolewa. Maudhui mara nyingi hutiririshwa moja kwa moja, na huwa hatuwezi kuhariri au kuhakiki nyenzo mapema. BUSARA YA MTAZAMAJI INASHAURIWA. Mawazo, maoni na maoni yaliyotolewa ni ya wachangiaji na si lazima yawe au kuakisi yale ya SimbaFanTV.
#SimbaFanTV #SimbaSportsClub #Soka
simba nguvu moja tuko pamoja huko Mungu bariki simbaaa hoyeeeeee
Simba nguvu Moja
We must win !!!!
God bless this Simba for the next weekl
Of course 🤗
Simba nguvu moja naipenda simba
Simba nguvu moja, tuko pamoja Nchi nzima. Watu wa rahaaaaaa!
Mnyamaaaaa.....
Ghriiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
Simba juuuuuu
SIMBA NGUVU MOJA. FELIX Lais kivuyo toka Arusha
Mwenyez mungu awatie nguvu timu yang ushidi upo tena wakutosha
Simba nguvu moja
Nguvu moja 🥰 ♥ ❤
🦁🦁🦁🦁🦁 amii
@@SimbaVideosHD ⁰⁰⁰⁰⁰⁰
Naitakia ushindi timu yang ya simba
SEMAJI LA CAF NA MASHABIKI ASANTENI SANA MUNGU NI MWEMA TUTASHINDA.
Duuh
Tunaomba muangalie na uwanja Kuna vitu viko uwanjani vimechimbiwa wachezaji wetu wakiingia uwanjani wanakuwa wazito sana
Bocco atatupia 2 zake!
wachezaji muone washabiki wanavyopambana nanyi mupambane kwa ajili yao kila la heri!!..
NA WENZETU WAMEIGA HUKO.
Walisema hawawez kupta mtaa had mtaa kwa vle timu yao wanajua wajibu wao ila nashangaa saiv wanahangaika na wao mdomo unaponza jmn tueke hakiba ya maneno
Siku zote mkubwa ni mkubwa tu. Ally kamwe mwiko umemchoma nyuma kaiga ya Simbaaaaaaaa
mama punguza kutafuna
SEMAJI LA CAF NA MASHABIKI ASANTENI SANA MUNGU NI MWEMA TUTASHINDA.
Vispika oyeee safi sana wakidaiwa wanasema hujma sasa siyo fei mnasemaje Bado hujma au mulipe madani ya watu