#PART

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +3

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @BINTIwaKITANGA
    @BINTIwaKITANGA Рік тому +4

    😢😢nimejikuta naumia na nalia saaana maana mitihani ya huyu dada hayana tofauti na mimi😢nimekataliwa na baba jibyoo hivyoo sijawahi kuita baba na pia alikataa hadi kupima D.N.A 😢na anajua kama mimi mwanawe ila kuna maagano upande wa mama yangu yanasababisha hayo yote yaani nina mengi 🙌ila 🙏🏻kwa sasa nipo ughaibuni yaani baada ya kufuatilia sana maombi jamanii mimi ni muislam ila nakirii damu ya YESUU ❤❤❤❤ nyiee nyiee ❤❤leo hii namiliki nyumba?! Leo hii namiliki pikipiki?! Nimetamkiwa nisifanikiwe nimetamkiwa sitadum katika mahusiano yaani dada liliani nina mengi ila nayakataa katika jina la YESU na nafunika maisha yangu katika jina la YESU na kwa damu ya YESU

  • @devothamwinyi4288
    @devothamwinyi4288 Рік тому +7

    Dada Lilian Mwasha you are a blessing, Hakika wewe ni baraka. Nimefuatilia vipindi vyako vingi na ktk hiki nimelia sana, ila nina matumaini juu ya maisha ya Grace Kwa Sababu ni mikono salama. Tunamshukuru Mungu Kwa kukuinua Ili utumike kuinua wengine. Tutafanya jambo Kwa neema ya Mungu juu ya maisha ya Grace Kwa jina la Yesu Kristo. Amen

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 Рік тому +3

    Omba Grace kuvunja hiyo laana ya kukataliwa. Omba usichoke kama alivyoomba Ayubu bila kuchoka. Utafanikiwa mwanangu. Nakuombea Mungu azidi kukutangulia

  • @muhsinirasuli2473
    @muhsinirasuli2473 Рік тому +4

    Kweny maisha umakini unatakiwa sana kama usipojifunza tokea nyuma unaweza jikuta kila siku unajiongezea matatizo kwanza msukuru Mungu kwa mapito pili samehe omba Mungu akupe kibali cha msamaha na pia jikabizi kwa Mungu mwambie peke yangu siwezi Mungu nisimamie niongoze hapo utaona miujiza ya Mungu

  • @esperancenathali
    @esperancenathali Рік тому +26

    Nasubiri like❤ zangu nimefika wa kwanza jaminiii 😢😢😢

  • @kaimasawe1919
    @kaimasawe1919 Рік тому +4

    Roho imeniuma Sana Kama mama...Mungu anasababu kubwa na wewe samehe ili miujiza ya Mungu ifanye kazi...

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Рік тому +1

    Polen sana dada mwenyezimungu n mwingi wa rehma utavuka mitihan yako salama na utakua happy 😊 hongera sna mama lilian maneno yako yanatibu watu weng sana hapa ......

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 Рік тому +7

    Allah tu nakuomba mfungulie njia gress wetu aishi vizur aweze kulea watoto wake Amiin

  • @miss_megan
    @miss_megan Рік тому +1

    Such a tough life and touching story, hugs and love from Kenya. My prayers are with you dada grace

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +5

    Pole sana Dada kwakweli inaumiza sana , Halafu ukimpata mwanaume mwengine usimuhadisie story yako maana wanaume wanaweza kutumia maisha yako ya nyuma kuendelea kukuazibu
    Sasa inabidi ufungue kurasa mpya na pia uwasamehe wote walokukukosea kwa ajili ya afya yako
    Ningumu lakini mungu akusimamie Ameen 🙏.

  • @annetnafulaouma90
    @annetnafulaouma90 Рік тому

    Pole sana dada story Yako imenigusa sana nawe dada mwasha ubarikiwe sana kwa kazi nzuri unayofanya nakufatailia kutoka kenya

  • @redmioman4371
    @redmioman4371 Рік тому +5

    Dada Lilian mungu akubariki kipenzi story ya huyu dada inaliza mno.....nami nimepitia hiyo hali ila nashukur mungu mama angu yupo nilizaliwa na mama mlemavu tuko watoto wa watatu kwetu ....Mungu anitie nguvu niko Oman naipambania familia yang😭😭😭🙏kila binti alie pitia changamoto ktk ukuaji mungu atusaidie tusimame imara

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому +1

    Pole dada wamekutupia liroho la kukataliwa lakin Allah yupo

  • @salmajuma5313
    @salmajuma5313 Рік тому +1

    Daah pole sana dada ang mungu Yuko wallah Ipo siku yatakwisha

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي Рік тому +1

    Pole sana dada , mungu akutie nguvu Na usimame kwenye imani, mungu anaweza kubadili chochotekwa wakati autakao , mlilie mungu yeye hujibu kwa wakati , inshaallah kher 😢

  • @sunrisekitchen1
    @sunrisekitchen1 Рік тому

    Lilian be blessed kwa kurudisha utukufu kwa Mungu

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому +1

    Pole sana mimi haya maisha nilivopotia changa moto hivi wala sisemi japo mimi nilikuwa begakwa bega ma mama angu

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +2

    Lilian mwasha woman of God kabis super woman unaongozwa na roho nakuombea kadr mungu atakavyokuongoz najua utakuw mama kwa uyu dada pleas kuwa mama ake najua unamoy mzur

  • @CarolineNdegeya-mr6vo
    @CarolineNdegeya-mr6vo Рік тому

    Pole Sana my dia umeptia mengi sna duuuh Mungu akupe ujasiri

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 Рік тому

    Dada mwasha naipenda sana program yako🙏dada grece pole sana kwa mitiani mungu Atakubariki Ameen 🤲🇹🇿🇬🇷

  • @specygama5671
    @specygama5671 Рік тому +2

    hii story ya huyu dada imeniliza sana

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 Рік тому

    Pole sana Gres maaa muombe sana mungu Hakika Ipo siku mungu hatakufungulia kila palipo na huzito maaa

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 Рік тому +4

    Kuna kitu hap nimejifunza Roho ya kukataliwa 😢

  • @ashooraashoora1180
    @ashooraashoora1180 Рік тому

    Pole sanaaa Allah akuzisiahie subraa afyaa njema na akufarij nafsi yako

  • @khadijaabdulaziz8297
    @khadijaabdulaziz8297 Рік тому

    Dada mdogo nafkiria hivi kutokana na mitihani ulio pitia kwanza mpende mungu na lapili muombe msamaha mungu wako maisha yatabadilika haraka sana namaanisha mungu mola wa ulimwengu

  • @classichits8452
    @classichits8452 Рік тому +1

    Dada lily MUNGU akutuze san❤❤❤❤❤ huyo dada ameniliza sana lakin tunayaweza mambo yate katika yeye atutiaye nguvu

    • @wemapanga1547
      @wemapanga1547 Рік тому

      Yaan Kuna maisha yanaumiza, ila msemaji wa mwisho ni Mungu mwenyewe

  • @LinethDominick-nh1vh
    @LinethDominick-nh1vh Рік тому +1

    Natamani nipate na mimi maelekezo ya kuongea na anga pamoja na udogo mama lily

  • @mariajoseph9735
    @mariajoseph9735 Рік тому +1

    Mmmh jamani pole Mungu yu pamoja nawe

  • @nururaymond5
    @nururaymond5 Рік тому +2

    Maisha haya duuu, Duniani Kuna mapitooooo🙌

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Рік тому +1

    Jaman imechelewa

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Рік тому +2

    Mungu awabariki sana

    • @rosejeremy9484
      @rosejeremy9484 Рік тому

      Nimelia sana basi tu Mungu atusimamia basi Kuna watu wanapitiq mapito jamani

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Рік тому +1

    pole sana dada

  • @rehemaothman2475
    @rehemaothman2475 Рік тому

    Nilikua na subiri muendelezo pole sana mrembo

  • @mikeizak7793
    @mikeizak7793 Рік тому +5

    she needs spiritual deliverance

    • @nicolenabintu2509
      @nicolenabintu2509 Рік тому

      for sure , Did you hear how she said that she’s lazy to pray , she probably need delivarnce 😭🙏🏿

  • @annagesura8375
    @annagesura8375 Рік тому +2

    Aiseeeeee dada umejuwa kuniliza

  • @plumbingtanzaniaplumber7570
    @plumbingtanzaniaplumber7570 11 місяців тому

    We pambana utafanikiwa utapata mume cha msingi uwe mnyenyekevu na mume achana na imani poyofu

  • @estermgalla4586
    @estermgalla4586 Рік тому

    Imeliza hii story 😢😢

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 Рік тому

    Pole sana

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 Рік тому

    pole sana dada GRACE

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 Рік тому

    Mapito uliyopitia usikate tamaa nimepitia ila nimejifunza kitu namshukuru mungu asante piga goti mtaje mungu zana ila ipo siku yako

  • @happykisarika1337
    @happykisarika1337 Рік тому

    Dada yaaani nashukur umeongelea hiyo point , cz ilinitesa sana jaman ndiyo inayomtesa huyo dada roho ya kukataliwa , yaani hata ufanye Kizer kipi badoo

  • @lizzynkifu4179
    @lizzynkifu4179 Рік тому

    Roho ya kukataliwa ni mbaya mno wengine hufikia hatua had ya kujiua

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 Рік тому

    Amina

  • @eliwitnessjoseph4350
    @eliwitnessjoseph4350 Рік тому

    MUNGU ndio suluhisho lake , anaewapenda wasio pendwa na watu. Liliani MUNGU , akutumie kwa viwango kwaajili ya utukufu wa MUNGU.

  • @bernadetakomba366
    @bernadetakomba366 Рік тому

    Nimejikuta naliya nakumbuka mbali

  • @marine88sis6
    @marine88sis6 Рік тому +1

    Stori ya huyu dada haitofautiani sana na stori yamaisha yangu japo Mimi wazazi wote wamefariki nikiwa mdogo
    Namshukuru Mwenyezi MUNGU Leo nipo Kwa waarabu huku najifanyia vikazi vyangu nasomesha mwanangu shule nzuri

    • @victoriajohn4047
      @victoriajohn4047 Рік тому +1

      Ooooh Mom samahani mnafikafikaje huko Jamani aya maisha ya kudhalilika Yana chosha Bora kujitafutia

    • @marine88sis6
      @marine88sis6 Рік тому

      @@victoriajohn4047 mimi ninaagent wangu toka 2014 nipo Huku namshukuru Mwenyezi MUNGU kwakweli kaniheshimisha

    • @joymohat5848
      @joymohat5848 Рік тому +1

      Warubini tumehificha wengi dadangu kutafutia watoto wetu.mungu ni mkubwa maisha yanasonga

    • @marianapatrick5993
      @marianapatrick5993 Рік тому +1

      Barikiwa sana dada angu❤

    • @neemanathan1427
      @neemanathan1427 Рік тому

      @@marine88sis6 Naomba unisaidie kama naweza pata connection namimi mamy,nakuomba

  • @joycemageta4876
    @joycemageta4876 Рік тому

    Daah 😢😢😢😢😢😢😢

  • @fatufatu5754
    @fatufatu5754 Рік тому +2

    Jmn nayapitia anayopitia huyo dadaa

  • @bernadetakomba366
    @bernadetakomba366 Рік тому

    Unavyo na Dada huyu nimaisha yangu

  • @baysuraoman7910
    @baysuraoman7910 Рік тому

    Yani mm nalia tu

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Рік тому +3

    Weka namba yako

  • @silverman6930
    @silverman6930 Рік тому +12

    We can help dada and your two kids I’m so sorry.. how can we help you , it’s so sad 😭 🙏🇬🇧

  • @ashaathuman609
    @ashaathuman609 Рік тому

    My

  • @zeyounhabibty8587
    @zeyounhabibty8587 Рік тому

  • @aishaz1
    @aishaz1 Рік тому

    Nikwel dada unaogea ukwel huyu dada hayuko sawa

  • @msaysha5886
    @msaysha5886 Рік тому

    Huyo ulitaka kuongea nae hata kama huja mtaja jina ni Frola nitetee

  • @yasinomary2147
    @yasinomary2147 Рік тому +2

    Iringa ipi upo gres

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому +1

    Sasa uso unazibwa ili iweje?si mtu mzima huyu aliyeamua kushea story yake ama???lakini pia part one uso hamkuziba

  • @gracealbin8247
    @gracealbin8247 Рік тому +1

    😭😭😭

  • @esterfelix3212
    @esterfelix3212 Рік тому

    Roho yakukataliwa hy

  • @carolineoyugi7771
    @carolineoyugi7771 Рік тому +1

    Nyie Lillian ni prophet???

  • @OMANOman-qc1lm
    @OMANOman-qc1lm Рік тому +2

    sorry kwa maisha ulio pitia usinge za nje bila ndoa ya mume alafu maisha ulio pitia usingefikia kwenye mapenzi ungesonga mbele maisha yako mengine kabisa sio umepitia maisha mungu alafu unaingiza Habar za wanaume really apo ndo umekosea kabisa

    • @aminajuma1156
      @aminajuma1156 Рік тому

      Daa jamaani hakika mungu ni mwema dada umeniliza sana dada pole mungu ni muweza wa yote amiina

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому +3

    Huyu dada sijui mwasha she too.much pretend km anaact hv kwa mtu sio halisi

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому

    Sasa uso unazibwa ili iweje?si mtu mzima huyu aliyeamua kushea story yake ama???lakini pia part one uso hamkuziba

  • @aishatest4451
    @aishatest4451 Рік тому

    😢😢😢😢