Sasa chanja mbuga maana kama mapene ya kusafirisha mizigo unayo ya kutosha kulianzisha, kanda ya ziwa ni soko lako nono! Halafu nenda kwa wakerewe utakuta mapiano kitambo sana ipo, kisha changanya na pini za kikahama na za wanyasa utaona mzigo kamili upo bongo bila kusahau kumchanganya na gombe sugu ya mzaramo na kule unyamwezini tabora...
Hapo sawa achana na taarabu na uchawa fanya mziki
🇳🇦🇳🇦🇳🇦🇳🇦🔥🔥🔥🔥🔥 mwambaaa huoooo babababa
Bonge lagoma
Intro... ni balaaa nimeipenda eeeeechii babaaaa
Sikuping kaka nakukubali
😂😂😂mbona sasa tabia za jeeeshiiiiii 😂😂😂na alimkata hadharanii😂😂
Achia ngoma
Alo feli kafeli ata afanyeje konde ni konde haezi fanana na mchumba kma h mama
Hilo goma ni danger tuletee uwanyooshe wote
Atahajui kukohoa
Umetisha sana 😅😅
achia dude hilo h.baba 🔥🔥🔥🔥
Hii kali 🔥🔥🔥
Wamueshimu konde bilaivo anapotea 😅mamae, intro ameua lkn.motooo
MPENZI BUBU NIMECHEKA LEO😂😂
Ya
Wacha kuiga harmonize
🤭
Jeshi ndio bendera huko kwenu....ikiwa inapandishwa juu lazma yote musimame....
Kukuku ...kamnyangany hiyo harmonize siyo yake ngoma Kali coming soon
This Hmama can never succeed without harmonize name,anajua kwenda mjini lazima ajifanye konde
Alo feli kafeli ata afanyeje konde ni konde haezi fanana na mchumba kma h mama
❤❤❤😂😂😂
Uyo mnafiki boya huyo
Ili urudi mjini lazima umtumie harmonize
Mtaendelea kumcopy jeshiiii ata mfee
H.mama😂😂😂😂
Sasa chanja mbuga maana kama mapene ya kusafirisha mizigo unayo ya kutosha kulianzisha, kanda ya ziwa ni soko lako nono!
Halafu nenda kwa wakerewe utakuta mapiano kitambo sana ipo, kisha changanya na pini za kikahama na za wanyasa utaona mzigo kamili upo bongo bila kusahau kumchanganya na gombe sugu ya mzaramo na kule unyamwezini tabora...