H BABA AKIMUIMBIA LULU DIVA ILI AMKUBALIE KWENYE OMBI LAKE
Вставка
- Опубліковано 19 гру 2022
- #hellomrrightshow #startimes #stbongo Local Tanzanian content TV Station broadcasting Exclusively on StarTimes Decoder Ch: DTH (Dish)- 401 & DTT (Antena)- 161
- Розваги
Wakenya jamani mko wapi,,, congratulation🎉the legend 🙏
Very nice show congratulations to all the team members. I'm watching from D.R.Congo
Love this show very much.hope one dey nitakuja pata wangu.💕💕💕
H baba unajuw kuhendo bwana ❤❤❤❤❤❤
H BABA kiboko tunakupenda kijana🇷🇼
Jamani hbaba yupo serious ila lulu mhh
Tatizo nimojatu kumtukana harmonize mengine tunakukubali sana kaka
Kwani hamo unamuona nani sikama wewe tu
True point taken
H baba kaimba wimbo wa abuu mkali Tamara anadai wa kwake!!!! Hana mbinu uyo
Song plz?
Ila nyie jamani dah❤
Nice one
Kweli Kaká h baba estamos juntos irmão to Moçambique
🧐💕💕
Congratulations
Wow❤
🔥🔥🔥🔥
Daah mwamba kamfuata golden girl wake dactar mkubali mwamba muondoke wote
Lulu diva kubal uwe na ndoa
🤣🤣 hatari 🔥
❤❤❤❤❤❤❤❤
HB mbona unaweza! Acha uchawa
Hbaba😂😂
H baba anamahaba jmni🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🥰🥰
Hellow
Me nawambia huyo Dem mpaka aje aliwe mtakuja mniambie!!
jama unajua kutongoza daaaaah 🤣🤣🤣🤣 LULU DIVA tayari kasha kukubalia mzee
Nyimbo nzulisana tamara
Ha ha ha ha ha ha uuuiii atr nanusuuu
😂😂😂😂😅😅
Abuu mkali kumbe n mwandish mzur
Hio nyimbo naijuwa ilikuwa ya Abuu mkali huyo h baba kaimba kama rimix
Hahaha lulu leo kapatikana
Sa uchawa wa nn unajua hatRi
H baba tupa ndowano
Wimbo kaimba nani jamani???
Ngoma ni ya mwamba anaitwa abuu mkali ngoma inaitwa tamala
Very good tamimu
Unaujua mziki kama mm
But guys wanajua ngoma ni ya H
😂😂😂
Lulu diva hanaga mme kwani
H baba muowe lulu
Lulu alijitia dole Bila huruma 🤣🤣🤣🤣
😃😃😃😃 fala kwel husahau tu
lulu mnaendana na echi baba
Mbona waremb wamekunja uso Lulu Diva kuimbiwa
Wivu 😅
Kwanini Hbaba asiende kuoa kijijini kwao?
Mbn tunapangiana bakuoa jamani 😂😂
@@roddyfawaz8167 😄😄😄wasanii hawawezani akaoe kwao jamani
Jamani hizi corsage wanavaaga hata kuhema wanashindwa khaa pole yao
🤣🤣🤣🤣🤣minajiuliza ndomashert yaicho kipind kuvaa nguo zakubana mpka kushindwa kupumuwa sijapataga majibu✍️
Umeonaee😂😂😂mm sikuingine kidogo nilie😂😂😂😂
Luludiva imba acha huo utopolo
Hapo ndipo ninapo mkubali mwamba H.BABA na siyo kazi kisenge kazi ya Uchawa ile haikufai
H baba kwakutongoza Tanzania nzima hakuna
@@mussababere3147 😂