mabrouk adam khamis samhn san sheikh hafidh wew ndio kiongoz mkubwa wa ahlul madina ivi kwan huwez kutowa mashir bila mziki maan uwo ni mziki mnaofanya nyny na sio vzr
Utamskia mtu anacomment eti hii ni ahirki sjui zambi lakini anaangalia na kiskiliza kwn umelazmishwa uskiliz c ukfungua UA-cam uende kw account ya mawaidha kwnn unkuja kw ahlulmadn, mnazipend nanasklz.
Mumekosa la kufanya kazi za mamazenu kufanya nyinyi, au wamemtumeni kuwasaidia? Na rangi za midomo na herine na bangiri mumesahau na mukosa imani na kukurubia unaafiki
Edu single kutok najizl muhsinina nungwi ndio wa kwnz kuiyona hii nipewe mauwa yangu
Upewe mauwa ww ndo ulosoma au mtunzi
MashaAllah ahlul madina twafrahi saana kwa kuregea kuimba tena ....sheikh hafidh bado twahitaji qaswida zako....mungu awajaze barka inshaAllah
mabrouk adam khamis samhn san sheikh hafidh wew ndio kiongoz mkubwa wa ahlul madina ivi kwan huwez kutowa mashir bila mziki maan uwo ni mziki mnaofanya nyny na sio vzr
Allah awafanyie wepesi katika swali lako
Ss unadhani kama haujawekwa uwo mdundo nan ata sklza ww ayo mambo tangu 90 ilkua hamna vifaaa vingekuwepo nawao wangefnya kma hivi 😂😂
Hongereni sanaa ni qasda nzuriii sanaa ahlul madina mnajuaa sanaa
Uyu jamaa yupo vizuri apewe heshima yake sheh hafidh
Masha allahu ahlul madina❤❤❤
Kazi Nzur sana kutoka kwa Babu Yangu Sheikh Hafidh
Iddy mubarak Ahlulumadina
🎉❤
Masha allah ahlul madina we are together
Ni mzur mnoo maana inamafundish ndani yake mmepania Mashallah ❤wengine ilikua hatujui Aya ulo yaongea humu shehe hafidh hongera👏
Mashallah ,nishaelewa sasa vzr,hii ni elimu kwani wengune hawaelewi,allah atawalioa kheri duniani na akhera,kazi nzuri mashallah
😅
Mashaallah hatimae mmerudi kweny ubora wenu
Hujawah kutuangush shekh hafidh❤❤❤❤
Mashaallah ustadh hafidh
Bismillah machallah Allahoumma barik ❤❤❤❤
Kazi nzuri...mashallah
Bismillah machallah Allahoumma barik ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Masha Allah, mko vizuri sana
Nakukubali sana kaka hafidh na compony yak hongereni
Masha allah❤ kaz nzur
Kaz kaz mashaallah 💥
Mashaallah naamin hamna kaz mbov
Hongeren kwa kuchangia katika kuutangaza uwanja mpya wa Amani.
😂😂😂😂😂😂
Jaman mnankosha mashaallah🎉
Hongera sana fundi hakika kazini kwako kuna kazi ila kaka kitu kimeenda shule
🎉Safi sna Alhul Madina
Walipotea sana finally they back
Mashaallah
Masha Allah ipo vizur
Ww unajua. Pokea salut yako hiyo
Eid Mubarak sheikh hafidh ❤❤❤
Mashaall ahlul madina we are together hamna baya
Ipo vzr qaswaida
Pambe mashaallahu ❤
A.alykum hongereni kwa kasda ya iddi ila sare ya mwaka huu ndevu kwa wingi😂😂
Kila mtu atangaze dini anavyoweza sio kumsema viibaya mwenzako njia anayotangaza dini huo no ujahiliya mbona mengi yanafanyika Lin hamsemi
Kazi mbovu mlotoa mara hiii ukweli tuseme
Hahahaha
Vidio yake siyo mzuri sana mazingira mliochaguwa kwa kasida ya edi
Mbona wasema ivyo
❤❤❤ nice mko poa
Mashallah
Hii sio kali mmefanya utoto sana
❤❤❤❤❤❤
Unabayaaaa
Hawa ndo wa hizi kazi
Unyama wakuuu
Bismillah mashallah,kaswida nzuri ila hapo mwanzo sijafahamu imekusudiwa vp?
Mm mwenzako
Nc❤❤
🎉🎉
Utamskia mtu anacomment eti hii ni ahirki sjui zambi lakini anaangalia na kiskiliza kwn umelazmishwa uskiliz c ukfungua UA-cam uende kw account ya mawaidha kwnn unkuja kw ahlulmadn, mnazipend nanasklz.
Nice
Nc
🔥
wanaume wazima kaziyao kutingisha miili tu wanawak wafanyej nao .
achen bidaa
Wanawake watingishe kiuno
Acha mambo yako
Nakubal kz
Sheikh Bayaat A.K.A Mrisho mpoto.unasema tu wala hutak kujisumbua kupandisha sauti juu na kuishusha.
Hemu tuma yako Ata moja ya kupandisha sauti
Wacha tusafishe masikio sasa
#komboenitasniaqasidaznz#
Mumekosa la kufanya kazi za mamazenu kufanya nyinyi, au wamemtumeni kuwasaidia? Na rangi za midomo na herine na bangiri mumesahau na mukosa imani na kukurubia unaafiki
Umeona
Mupovizur
Asnt
Bismillah machallah Allahoumma barik ❤❤❤❤🎉🎉🎉
Mashallah
Nice