WEWE SIO MKRISTU WEWE NI MFALME

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024
  • Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwaajili ya huduma hii;
    M-PESA: +255 760 200 300
    TIGO PESA: +255 773 150 150
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
    AU KUPITIA BANK ACCOUNT
    CRDB: 015 232 628 6200
    NMB: 2461 0015 434
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI AUGUSTINE BILOMO TENGWA
    UMOJA WA MAOMBI NA TOBA YA KITAIFA
    WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
    +255 769 515 808, +255 629 304 931
    #HudumayaUamshoNaMatengenezoYaKanisa #Mwl.Tengwa #MaombinaUshauri #0629304931
    RUDI_MWANZONI _ MWL. TENGWA

КОМЕНТАРІ • 14

  • @useatv1374
    @useatv1374 Місяць тому +2

    ni kweli iliyo kweli

  • @EveriusDeogratias-q1p
    @EveriusDeogratias-q1p Місяць тому +1

    Amen, wafalme

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 Місяць тому +1

    🎉 haleluya Haleluya haleluya

  • @danielambonisye6261
    @danielambonisye6261 Місяць тому

    Duu hapo pazuri sana nabarikiwa sana na mubarikiwe sana

  • @ZubedaVicent
    @ZubedaVicent Місяць тому +1

    BWANA YESU asifiwe, Mungu awabariki wateule wa Mungu wapakwa mafuta ya ROHO mtakatifu, hakika injili hii ni kwaajili ya waliokusudiwa na Mungu mwenyewe ndio watakao ielewa injili hii

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 Місяць тому +1

    Ni kweli sisi ni wafalme

  • @EveriusDeogratias-q1p
    @EveriusDeogratias-q1p Місяць тому +1

    Hakika sisi ni wafalme wa ufalme wa Mungu wetu.

  • @innocentmkisi9118
    @innocentmkisi9118 Місяць тому +1

    Sisi ni Wafalme hakika watumishi.🙏

  • @WssWss-w3p
    @WssWss-w3p Місяць тому +1

    Naamini hivyo kwakuwa alie ndani yngu yeye ni mfalme wawa falme na mamlaka zote Amina.

  • @andrewnday9127
    @andrewnday9127 Місяць тому

    Bwana Yesu asifiwe wafalme wa Ufalme ulie juu . Kukataa mpaka na maandiko ya Neno , ni matokeo ya mifumo na sumu ya mkuu wa ulimwengu huu. Haya mambo 2 yamekwisha funga na kukamata ufahamu .Ee MUNGU ua milele yote geuza BWANA mioyo ya watu; Uifanye kuwa ya nyama ili ikubali kula chakula chako cha uzima na uzima ukajae ndani yao badala ya mauti. Amen Amen.

  • @estersamwel721
    @estersamwel721 Місяць тому

    Ndiyo sisi ni wafalme

  • @ااا-ح9م
    @ااا-ح9م Місяць тому

    Joan kazdo,,Amina na barikiwa sana,nawafatilia kutoka Saudi,hii ni kweli tutopamoja lnjili ya mungu iendelee milele

    • @tengwatv
      @tengwatv  Місяць тому

      @@ااا-ح9م MUNGU AKUTENDEE MEMA MTU WA MUGU

  • @estersamwel721
    @estersamwel721 Місяць тому +1

    Hivi hawa wanao kataa kuwa wafalme , naomba watuambie, BWANA wa mabwana, Mfalme wa wafalme, hao mabwana na wafalme nikina nani?????