Jinsi ya Kutengeneza Ice Cream laini za Biashara

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Hizi hazina cmc lakini ni laini na tamu sana zinafaa kwa biashara. Kitu cha muhimu ni kuzingatia vipimo na leo nimetumia kijiko cha kulia chakula kupimia kila kitu.
    Darasa la Ice cream za Biashara online (Telegram)ni sh 45,000/- kwa miezi 2
    Kitabu cha Kutengeneza Ice cream za Biashara Nyumbani bila mashine
    Hard copy (kilicho chapishwa) sh 35,000/
    Soft copy (cha kwenye simu) sh 25,000/-
    Kulipia👇
    Lipa Namba: 56709571
    Jina: LILYANAPIKA
    Mtandao: M-PESA
    Kisha tuma screenshot ya muamala wako WhatsApp 0718553999
    Mahitaji
    Sukari vijiko 16
    Maziwa ya unga vijiko 7
    Maji Lita 2.
    Maziwa matamu (Condensed milk) vijiko 20
    Corn flour vijiko 8
    Chumvi kidogo sana
    Ladha tofauti
    Rangi za chakula

КОМЕНТАРІ • 2

  • @LailaSule
    @LailaSule 37 хвилин тому

    Km una conifrawa

  • @aminamzey9395
    @aminamzey9395 13 днів тому

    Hivi hiyo corn flour ni hii sembe ya kawaida au