JAS {PENZI NDOTONI} PART 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 60

  • @halimanafoo2468
    @halimanafoo2468 Місяць тому +8

    Mbona unachelewa sana mpenzi

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja Місяць тому +8

    Tuwaishie chamwisho, bado tupo apa dada💝🙆

  • @Rais__772daughters
    @Rais__772daughters Місяць тому +6

    Ila wanaume jamani daah😢😢

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +3

      @@Rais__772daughters sio wanaume ni wazazi ambo hawana akili kabisa jamani yaani wanawaza mali tu hawawazi watoto wao wa shenzi kabisa wazasi kama hawa😮😮😮😮

    • @Rais__772daughters
      @Rais__772daughters Місяць тому +4

      @zenaathumani8144 kwani felix si mtu mzima?hawezi kuamua maamuzi yake?ana pesa zake mbna hawezi amua,

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +3

      @@Rais__772daughters 🤣🤣🤣

    • @Rais__772daughters
      @Rais__772daughters Місяць тому +1

      @zenaathumani8144 nimekasirika sana na felix

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 Місяць тому

      Felix anakera sana mtu mzima lakini anaendeswa kama mtoto vile bola Jas a move on hapo na mpenzi kabisa

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja Місяць тому +8

    ❤❤Wakwanza apa, Asante kipenzi, hii ni🔥 nilkua naingoja kwa ham Sana, wadau kujen pamechangamka ten🤣🤣💃🤝

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +4

      ❤❤❤🎉👏

    • @EsterSayi-s1q
      @EsterSayi-s1q Місяць тому +4

      ❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 26 днів тому +2

      Upo vzr me leo ndo nasikiliza😅😅😅😅😅

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja 26 днів тому

      Mh awee unajivuta😂😂​@@Babyfaty-m3y

  • @FarahaShwaibu
    @FarahaShwaibu Місяць тому +3

    Nzuri❤❤❤

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Місяць тому +4

    Dada mwendelezo unachelewa jmn

  • @salmazwallo5920
    @salmazwallo5920 Місяць тому +6

    Mmmmhhh matajili hawa yaani wanawanzaa pesa 2 ilaa huwa hawajalii hisia za mwanaee loooh hafu mwishoe ataa wao walikuwa masikin😂😂😂😂😂😂 wamepataa do wanajikutaa hawataki masikin

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja Місяць тому +3

      Maskiin alipata nishida😂😂

    • @salmazwallo5920
      @salmazwallo5920 Місяць тому +2

      @TeklaNdekeja umeonaa eeehh yaani cjui wanajikutaa kina nani et huna faidaa yoyote kwenye family yangu

  • @hakizimanatatuhakizimana6186
    @hakizimanatatuhakizimana6186 29 днів тому +1

    Yamwisho iko wapi dada hongera kwausimuliyaji

  • @زينزوادي
    @زينزوادي Місяць тому +4

    Ubarikiwe kipenzi 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Місяць тому +5

    Asante sana kwa mwendelezo wa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @TeklaNdekeja
      @TeklaNdekeja Місяць тому +3

      ❤❤🎉🎉💞🙏

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion Місяць тому +3

      ❤❤❤

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +2

      @@AnnaMelikion anna wangu simulizi hii ni tamu kweli jamani daaah 🤣🤣🤣🤣

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion Місяць тому +3

      @zenaathumani8144 😂😂😂 Ndio kipenzi unaweza Ata kuombea mkopo 🏦

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +2

      @@AnnaMelikion 🤣🤣🤣🤣

  • @FatmaFatmaamour
    @FatmaFatmaamour Місяць тому +1

    Dear muendelezo uschelewaa

  • @rahmatyusuph6514
    @rahmatyusuph6514 Місяць тому +4

    Jas walngu

  • @MamaSuzi-d3r
    @MamaSuzi-d3r 26 днів тому +1

    Mapenzi konyo Kwa kweli Jasmin pamoja na kuonywa na mama Felix lakini Bado tu anamng,ang,ania tu Felix dah

  • @fadhaluhembwe
    @fadhaluhembwe Місяць тому +1

    Nambo munachelewesha sana

  • @asiahhassan1539
    @asiahhassan1539 Місяць тому +1

    😢😢😢musitucheleweshee bas jamani.mwendelezo

  • @ZenabZ-e4w
    @ZenabZ-e4w Місяць тому +1

    Simulizi ninzuri san Ila inakawia san😢😢😢😢

  • @BeatriceGelon-l5b
    @BeatriceGelon-l5b Місяць тому +4

    Dada umechelewa sana kutoka hi

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 Місяць тому +3

    Hamna ndoa hapa

  • @AnnaMelikion
    @AnnaMelikion Місяць тому +6

    Mimi nngekuwa Ndio Felix ningewaachia mali zao Arafu nikafata moyo Wangu unataka Nini.boara wali maharage kwenye amani na kuliko wali nyama kwenye shida😢😢😢😢

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 Місяць тому +2

      ❤❤❤🎉🎉

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 Місяць тому +1

      Hapo inamanisha Felix anadhamini mali na hana upendo wa kweli huo mtu mwenyewe hawezi kujisimamia.

    • @AnnaMelikion
      @AnnaMelikion Місяць тому +1

      @Evelynmoreen3655 Ndio kwasababu kila mda Baba ake anamtishia kiwa nitakupokonya mali zangu kama hutomuoa mtt wa waziri .inaonyesha Felix anathamin mali kuliko ata huyo jasmine

    • @Evelynmoreen3655
      @Evelynmoreen3655 Місяць тому

      @@AnnaMelikion kweli kabisa Felix sio mtu muzuli hana upendo kwa jas ni mihemuko tu

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 26 днів тому

      ​@@Evelynmoreen3655halafu hatak mwenzk awe na mahusiano mengne wkt yy anaye mwnmke wke uko

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu Місяць тому +1

    Asante napenda saut yako dd

  • @OmanBahla-i5g
    @OmanBahla-i5g Місяць тому +3

    Unatueka sana mammy kwanini??unatufanya tuwe nunachungulia tu

  • @KhadijaDija-ir2hq
    @KhadijaDija-ir2hq Місяць тому +2

    Hatukudai dada tushamalizana

  • @perisdhahabu5087
    @perisdhahabu5087 Місяць тому +5

    Asante

  • @ZaiMakochela
    @ZaiMakochela Місяць тому +3

    🎉🎉🎉🎉

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 Місяць тому +3

    Nahuyu Jasmine naye anajizima data mtu. Wenyewe hakuona hata kipindi waripo kuwa south Africa Kikao gani chakulala hukohuko,na clara naye kapasua jipu yanini kumwambia Felix kuhusu mimba harafu na Felix hana msimamo mtu mzima harafu bado anaendeshwa na wazazi sijapenda ifike mahari ajisimamie sio kuendeswa kama gari mbofu.

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 29 днів тому +2

      Bora wangeenda mbal bhac

    • @Babyfaty-m3y
      @Babyfaty-m3y 26 днів тому +2

      Lijinga na wivu wa kipumbavu aliokuw nao kumtesa mwenzke tu ama kwel hili ni pnz la moto

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 Місяць тому +6

    Leo kama inge pita ninge andamana

  • @Sss-b9w6f
    @Sss-b9w6f Місяць тому +4

    ❤❤❤😢😢🎉😂4

  • @EsterSayi-s1q
    @EsterSayi-s1q Місяць тому +2

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Pili-n3l
    @Pili-n3l Місяць тому

    Unachelew mno dada tushasahau

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 24 дні тому

    😂😂😂clara amemwaga unga

  • @hakizimanatatuhakizimana6186
    @hakizimanatatuhakizimana6186 29 днів тому +2

    Yamwisho iko wapi dada hongera kwausimuliyaji