Takwimu hizo Prof.Mkumbo anazungumzia kwenye makaratasi lakini Hali ya mtu mmojammoja ni mbaya,maisha Yako juu ,huwezi kula unachotamani Bali unakula kilichopati😢kana ni hatari
Elim ya kukalilishwa ndoo madhara ake uchum upo hovyo labda mmepiga hesab zen za bunge kna wat vijijin hakna hduma ya afya barabara ziko hovyo na ndoo zinawaletea chakla mjin imalishen miundo mbin vjjn ndoo icon ya nchi

Hy wazir atuambie wakati huo tulikuwa watu wangapi na sasa nchi au idadi shuleni ilikuwa wanafunzi wangapi nk ndio tutamuelewa.
Elim ya kukalilishwa ndoo madhara ake uchum upo hovyo labda mmepiga hesab zen za bunge kna wat vijijin hakna hduma ya afya barabara ziko hovyo na ndoo zinawaletea chakla mjin imalishen miundo mbin vjjn ndoo icon ya nchi
Halaf hii nchi inawezekana ikawa inaongoza kwa kupika data maana kama ni tabia hamuwezi kuishia kwenye uchaguzi tuu