EE SAYUNI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @newtonthomas1097
    @newtonthomas1097 3 місяці тому

    ❤ Antifona ya Ekaristi, hongereni sana, huwa mnanitafakarizha kila nikisikiliza. Hongereni mwanangu Florian na timu nzima iliyoshiriki katika kazi hii. Sifa na Utukufu kwa Mungu na Huruma ya Mungu kwetu sote na kipekee kwa mtumishi wake Mwl Joseph Makoye aliyemuita kutoka katika Dunia hii. Mungu amkumbuke katika utumishi wake alipokuwa hapa Duniani, akampatie nafasi MBINGUNI kwa rehema zake kuu.

  • @GeraldMichael-tg4zd
    @GeraldMichael-tg4zd 3 місяці тому

    Naipenda sana hii sekwensia

  • @neemamarwa1082
    @neemamarwa1082 5 років тому

    Kazi nzuri kaka hakika Mungu anaziona juhud zako akujalie mahitaj ya moyo wako

  • @marysona9999
    @marysona9999 Рік тому

    Hongera sana, ila maneno hayasikiki

  • @ndukumutuku4468
    @ndukumutuku4468 3 роки тому

    Beautiful song , allow for skiza, ringtone etc

  • @klystry1234
    @klystry1234 4 роки тому

    Naomba mashauri

  • @viaurfk
    @viaurfk Рік тому

    Huu wimbo mtunzi ni nani mkuu