Mungu ambariki sana huyu mzee. Nimefurahia sana kijana anayesaidia kwenye majadiliano. Nimshauri kitu kimoja. Hiyo ni hazina ajitahidi kuchota busara hapo na mambo mazuri yayoweza kusaidia jamii ya sasa. Serikali pia ijitahidi kupata chochote cha kutusaidia kutka kwa huyu mzee. Bado akili yake ni nzuri na anaweza akaeleza mengi tu. Cha msingi wamfanyie interview fupi fupi
jamani nimefurahi mie duuh. Babu Mungu amekujaalia umri mrefu Maasha Allah. na bado unasikia na kuongea. Mungu ni mkubwa sana. anaishi wapi jamani babu
dooh huyu Mzee inaweza akawa mkubwa kuliko huo umri coz huyo Hermann von wissmann alikuwa governor wa kijeruman miaka 189... huyo mtamfsir amekosea kidogo kasema letanann ni Hermann
huko ni pande nina asili nako anaweza kuwa miongoni mwa babu zangu huyo mzee mungu amtunze zaidi na tuwe na desturi za kuwatafuta watu hao sio watu wa nje wajitangaze kuwa wao ndo wanaishi sana
noma sana lakini kuna sehemu inaitwa machame moshi kilimanjaro vailet na huyo mzeee ambilikile sao wanaweza kusubiri kuna jiji kinaitwa mkwanamboo kuna bibi bia anaumri mkubwa kushinda wao
Duu Mungu ni mwema ona anakula vya kawaida tu ugali nyama, ubwabwa nyama maziwa lakini sasa hivi utasikia usile ugali, usile ubwabwa eti vinaa wanga duu nimejifunza mengi
Ndugu mtangazaji huyo mzungu babu anayemsema Leteni ana maanisha Von Lettow ni kweli babu haongei uongo ilikuwa enzi ya mjerumani Von Lettow alikuja Tanganyika
Jamani huyu mzee kilichomfanya aishi myaka mingi ni mungu sio chakula kwani wewe mtangazaji jina la mungu haujawai kusikia?, au neno mungu kwako lina maana gani?!!,
huyu anamiaka midogo kuna bibi mpaka leo yuko na miaka 132 anapatikana mkoani tanga wilaya ya korogwe kijiji cha kerenge huyu bibi kihistory alimlea Raisi wa nne wa tanzania mhe kikwete mpaka sasa yupo hai
Huku Tz Hata akipatikana na miaka 150. Wazungu washatchoka. Mlima Mrefu Tz. Ziwa kuuu Tz, Mti Mrefu Tz, Ngorongoro Creter Tz. Na mtu mwenye Mri mkubwa kuliko wote awe Tz😂😂😂. Tuwaachie na wenzetu jamani Khaaa.
Mashaallah tabaraQillah mola akuzidishe nguvu na afya njema baba INSHAALLAH
Mashaalla na memory bado ipo.! waaaww!! tena haoneshi km ni mzee saana ana dongo zuri.!
Mnamchosha mzee wa watu maswali mnayouliza hayana mvuto afu mkalimani daaaaah unaongeza chumvi sanaaaa unaharibu.
Mungu ampe umri mrefu zaidi
halafu mm naona pia na vyakula vinachangia pia wallah sio km vyakula vya ss watu wanazeeka kabla ya umri duuu babu yetu mungu akulinde zaidi
Nimejifunza vitu vingi sana kwako babu,hakika MUNGU ATAENDELEA KUKUTUNZA,Asante kwa elimu nzuri ukiyotupatia kutokana na mfumo mzima wa maisha yako.
hiyo ni Moja ya maajabu tz mwenyezi muumba mbingu yu juu yake nami pia naomba mungu anifikishe myaka hiyo au kuzidi hapo AMINA.
Inshallah
ongera sana babu yangu umenipita mwaka 102 sio mchezo babu yanguuu munguu akupe miaka 3000000000 na mm namuomba mungu nifikieshe mwyaka 3000000000
hongera mzee wetu uzidishiwe miaka mingine mingi
Mungu ambariki sana huyu mzee. Nimefurahia sana kijana anayesaidia kwenye majadiliano. Nimshauri kitu kimoja. Hiyo ni hazina ajitahidi kuchota busara hapo na mambo mazuri yayoweza kusaidia jamii ya sasa. Serikali pia ijitahidi kupata chochote cha kutusaidia kutka kwa huyu mzee. Bado akili yake ni nzuri na anaweza akaeleza mengi tu. Cha msingi wamfanyie interview fupi fupi
mungu anijalie nifike uko inshaallah
hakika
Unafatanini huko
Yupo pemba ana zaidi ya miaka hio ya huyo mzee fanya utafiti kwanza kisha ndio utowe taarifa....
Mm babu yangu pemba alifariki akiwa na miaka 30
Mungu kuzidishie babu wa taifa
Mwenyezi Mungu amjalie afya tele,mm nimejifunza vyakula vya kula na status,viazi muhimu sana,kula karanga muhimu sana mazoezi muhimu aisee
duuuh hongera sanaa babu jamani wakwetu uyu wapi uko ilejeeeeeee waooo mungu akuongeze siku mzee
Mashaallah jambo la kumshkuru sana allah
Hongera sana babu Mungu akupe umri mrefu uhendlehee kuishi zaid
hogera babu kwa kula chumvi nyg
Hongera Ayo tv kwakuvumbua hii hazina YETU
Mkarimani ni nomaa sanaaa
mashallah Allah akupe umri mrefu zaidi
mkiend kuoj wazee kam hawa muwe mnjipang na maswali muhimu Sana ,,babu mungu akupe zaid na zaid
Daaaaa, nmemtaman sn Hutu mzee. Mungu amzidishie maisha marefu nami namuomba Mungu anipe maisha marefu kama hayo.
Twende Lee kumuombea kwa mwenyezi mungu
hongera sana babu kwa kufikia miaka hiyo
Uyu mzee ni mdogo wangu nakumbuka nimemchapa Sana tukiwa kuchunga ngo`mbe
Habari njema, Mungu ampe nguvu na maisha marefu.
Mashallah waoane wafirahie uzee wao uzuri😍😍😍😍😍inshallh mungu aniweke niwe zaid ya hao
Ma shaa Allah pamoja na hayo yote nimeipenda lugha wanayoongea
Hongera broo millad ayo 3M
daaaa ongelaaaa sana babu
Hongera babu....
Mzee wa nyumbani huyu, Tunafurahi Tumejitahidi kutangaza taarifa zake hadi kufikia hatua hii
duu hongera zake
Nami mungu nikumbuke nifike xijawahiona
waooo..mola afya njema umjalie
Huyo mzee kala chumvi nyingi Jamaniii
jamani nimefurahi mie duuh. Babu Mungu amekujaalia umri mrefu Maasha Allah. na bado unasikia na kuongea. Mungu ni mkubwa sana. anaishi wapi jamani babu
ექიიRahma Shaban
Rahma Shaban nakugakia Maisha marefu na zaidi msisha yako yakabidhi kwa yesu
HongerA babu
hongera sana Tanzania kwakuwa na wazee wa miaka ming
Ishaalah mungu nami anipe miaka hiyo nipate kuwapa story vitukuu vyangu
jamni,hongera babu yetu wa taifa
kwaiyo Mzee ndiyo dunia inamwambia shikamoo dooh...
be blessed!!
dooh huyu Mzee inaweza akawa mkubwa kuliko huo umri coz huyo Hermann von wissmann alikuwa governor wa kijeruman miaka 189... huyo mtamfsir amekosea kidogo kasema letanann ni Hermann
kulikuwa na elimu bana !
duh,ulikisa mkangale ungwe uchala akutule,
vijana wasasa atufikishi uko ila tumuombeni mungu sana tu coz vyakula vya kisasa ndio vinavyotumaliza ila mungu atatunusuru..🙏🙏🙏🙏
Abbasmwachee Abbasmwache
Mungu amuongoze
Hiyo ni kazi ya Mungu
huko ni pande nina asili nako anaweza kuwa miongoni mwa babu zangu huyo mzee mungu amtunze zaidi na tuwe na desturi za kuwatafuta watu hao sio watu wa nje wajitangaze kuwa wao ndo wanaishi sana
safi sana bro ayo taasisi husika ichukue jukumu hilo tukaweke record
mashaallah
Mnamchosha babuyetu vipi Jamani,. Maswali mengi sio ya msngi
Mungu akupe afya njema babuu
Ayo
Upo makn sana but ifanye kwa lugha ya english record iwepo👍👍
duh! hongera babu yangu ..... pia mimi nitatimiza miaka 130 ndo nilale na kwenda kuishi milele kwa baba yangu
Fata history ya Michael Jackson
Mungu aendeleeee kukutunza babuuuuu.
Hapa kwetu karatu yuko ana miaka mia moja na selasini 130, na yuko hai na anakumbuku zake vizuri tu na anatoka vita vya pili ya dunia
noma sana lakini kuna sehemu inaitwa machame moshi kilimanjaro vailet na huyo mzeee ambilikile sao wanaweza kusubiri kuna jiji kinaitwa mkwanamboo kuna bibi bia anaumri mkubwa kushinda wao
ana miaka mingapi
mungu atubaki sote tufike karibia yeye...
Karibu kwa interview nae
mungu mzidishee uyu Mzee miaka mingine mbele
l
Abuu Mzafaru Amina kwa ulinzi wake mora
hebu acheni usumbufu nyie, maswali mengi ya nini mwacheni mzee ale maisha! long life grandpa!
Hongera sanaa Babu yake
Duu Mungu ni mwema ona anakula vya kawaida tu ugali nyama, ubwabwa nyama maziwa lakini sasa hivi utasikia usile ugali, usile ubwabwa eti vinaa wanga duu nimejifunza mengi
Ndugu mtangazaji huyo mzungu babu anayemsema Leteni ana maanisha Von Lettow ni kweli babu haongei uongo ilikuwa enzi ya mjerumani Von Lettow alikuja Tanganyika
Mungu ni mwema
Milad Ayo,nakuomba tuwasiliana kuna Mzee sana pia yupo anapatikana Kondoa inawezekana akawa mkubwa kuliko huyo.kamaupotari nikuelekeze ukamuone
Oyooooooooo wapi kabila letu wandalii💪💪💪💪💪💪
Hongera babu
love you babuu
Mungu mwema ila my babu nae aa miaka 123 now na bdo yupo huwa napenda sna story zake mra anasahau mara anakumbuka bas tfran
Millard wewe mpambanaji saana bhana, bahati nzuri nimepaona na nyumbani
Paschal Duwwe
allah amzidishie umri
mungu azidi kumlinda jmn babu yetu inshaallah
sijuhi kama ni kweli maana wazee wengi miaka hawajuhi hata tarehe za kuzaliwa hawajuhi .
Kwaiyo wewe unajua sana au
Nampogeza huyo mzee sana mimi marwa roche kutoka kwigutu butiama mara
Miladi hayo upo vzr kk
na yule wa indonesia mwenye umri wa miaka 146 amezikwa jana jumatatu
Uyu mzee hana iyo miaka labda mia
Hongera sana mzee wetu
hongera kwake
Milladayo njooni na huku kwetu Sirari Bibi yangu ana miaka mingi pia Sana na ana masimulizi makubwa muno
Heche Chacha ana miaka mingapi
ana zaidi ya 130
Amazing....He had his 1st born in 1917!!!!
Jamani huyu mzee kilichomfanya aishi myaka mingi ni mungu sio chakula kwani wewe mtangazaji jina la mungu haujawai kusikia?, au neno mungu kwako lina maana gani?!!,
waandike kitabu cha huyo Mzee ni kitu kikubwa na ni sifa kwa taifa wasichukulie Poaa......
huyu anamiaka midogo kuna bibi mpaka leo yuko na miaka 132 anapatikana mkoani tanga wilaya ya korogwe kijiji cha kerenge
huyu bibi kihistory alimlea Raisi wa nne wa tanzania mhe kikwete mpaka sasa yupo hai
Wow 😮 god bless them ❤️😘💕💞
masha allah
ibhindu ni mboga ya polini iko kama mlenda, ikichumwa yapatikana sana, umalila, idiwili,ilomba kuelekea ileje
kaka napeda kazi yako
sana babu umeula mm nahitajihatanusu2
mashaallah
Wow he's blessed
Mashallah
I want be like this grandpa
daa luga yetu iyo uchala akongeleshe amaka nyenya
Ayo nichanel kubwa ila huyu muandishi mpya bado kabisa hajui hata kuhoji
duuu adi raha miaka alioishi
eee Mungu nijalie na Mimi nifike uko
Babu nampenda ana Afya nzr kuliko vijana wa kisasa
Vijana wa Leo mnapenda sana chips kuku wa kisasa hampendi kula vya chienyeji, umri huo mtausikia kwa Ayo tu
Iddy Nuru aameen
Cha msingi #msosi
KWELI huyu Mzee Hakuwa na Hila Ndani ya Moyo Wake
Mashaallah
mim piya ninayoo babu yangu anawakalibiya haoo yupo mtwara wilayaa ya tandahimba kiji cha maheha anayoo mikaa 107
siamini mpaka nikamwone.....domestic tourism. .najua nitamzidi anzeni kuandika historian yangu!
kilimo zoezi tosha..na kuendesha baiskeli...
Hakika Mungu Ni Mwema
Tanzania kuna wazee wengi Sana sema hawapati tu airtime Kama wengine
Na kweli kijerumani ni 1,2,3,4,5
Hahaaa mungu n mwema
Nina BIBI mzaa babu yangu anaumri wakarb miaka 130
Huku Tz Hata akipatikana na miaka 150. Wazungu washatchoka. Mlima Mrefu Tz. Ziwa kuuu Tz, Mti Mrefu Tz, Ngorongoro Creter Tz. Na mtu mwenye Mri mkubwa kuliko wote awe Tz😂😂😂. Tuwaachie na wenzetu jamani Khaaa.
Hahaha ah we are blessed indeed
Hahaha ah we are blessed indeed
mmmmmh kweli nimekubal Mzee mkongwe