FAMILIA YA HAYATI MAGUFULI YAMSHANGAZA PASTOR EZEKIEL /WATOA USHUHUDA MZITO WA UKOMBOZI WA FAMILIA
Вставка
- Опубліковано 18 жов 2024
- Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
UA-cam : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...
Ameni....
Mtumishi mungu akubariki sana
Amen mtu wa Mungu yaan naendelea kujifunza kwa jina la YESU KRISTO
Mungu awabariki mimi niseme kama Yesu anaitwa Mponyaji lazima wawepo wagonjwa ili awaponye kama ni mfufua bas lazima wafe ili YESU awafufue
Barikiwa pastor
Kazi zangu zipatikane nienda kazi
Pokea uhai katika jina la yesu christo
Niko na uchungu sana .kwa wale watu wanaogea umbaya WA poster Ezekiel. Eti anatumia majini. Nakuja anatumia nguvu za mungu. Mimi niliona mukono WA mungu kutoka . Kwa poster Ezekiel.
Amina 🙏🙏
Mungu badilisha maisha ya familia yetu yote ifunguliwe leo in jesus name nifunguliwe na madeni zote ziishe siku ya leo
Mungu akubariki akutunze ombea families yangu ninashida kubwa
Amen Mungu ambariki sana
Mtumishi wa Mungu nawaombea watoto wangu Rahma na Razack wafungue akiri zao baba wawe na uelewa darasani namleta kwako Rahma awe kwenye kumi bora kwa imani naamini kuwa kupitia kwako pastor Ezekiel, naomba kwa niaba ya familia yangu mume wangu kipenzi Rashid Mshuza wazazi wangu na kaka angu mchungaji naomba na kuamini katika jina la yesu amen
Una ubinafsi wew je wakwako akiwa kumi bora inamaana kwamba wengine watashushwa chini ili kupisha hao wakwako je ni sawa
Amen
Amina baba, naomba utukumbuke na kigoma
Amen 🙏!
amina mchungaji
Amen 🙏 tabibu wa karibu jina lake yesu barikiwa pastor Ezekiel
Mtumishi unikumbuke na mimi kwa maombi ili ni funguliwe na mungu akuzidishie nguvu katika utumishi wako
Amen pasta Ezekiel umetutoa gizani mungu akupe Maisha marefu
Naomba unifanyie wepesi BABA pale ninapohisi ugumu 😭🙏 kuna mda nakosa majibu ya maswali yangu 😭
Amen in Jesus mighty name
Amina
Amen Amen Amen Amen Amen
Mungu akubaliki sana🙏
Amen 🙏
Amen .Amen.
Mtumishi wa Mungu naomba kwaajili ya Mtoto Maximiliano ni mjukuu wangu. Naomba uombe tu pale alipo atatembea na atanyooka mikono kwa jina la YESU.
Ameen🙏
Asante kwa watumishi wako unaowatuma kwa ajili yetu, ili kutusaidia.
Ameèeen
Mungu nimkuu natamani kilamuda kufikakamisanikwako pastor Ezekiel
God be blessed
Baba karibu moshi
Amen and Amen
Amena
Unikumbuke ee Bwana mimi na jamaa yangu, pamoja na nyumba yangu yote.
Naomba unibariki naondoka kwenda nyumbani nifike sala niepushe na maajali njiani mapepo majini makata ktka jina la yesu
Mm
Amina leo nabarikiwa na uponyaji muda huu Sina homa ya ini ktk jina la yes
Amen jesus name
Tunaomba pasta uje Moshi Kuna shida nyingi
Plaster tunakuomba Moshi Kuna shida baba
Amen❤
😊😊🙏🤲👏🇧🇮🇰🇪
Amen🙏🙏
𝑁𝑎𝑗𝑖𝑓𝑢𝑛𝑔𝑎𝑚𝑎𝑛𝑖𝑠ℎ𝑎 𝑛𝑎 𝑚𝑎𝑛𝑒𝑛𝑜 ℎ𝑎𝑦𝑎 𝑛𝑎 𝑤𝑎𝑛𝑎𝑛𝑔𝑢 𝑘𝑎𝑡𝑖𝑘𝑎 𝑗𝑖𝑛𝑎 𝑙𝑎 𝑦𝑒𝑠𝑢
Amen
Amina 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen