Kweli kabisa Mwanaume anaweza kuishi na Mwanamke asiye na kazi lakini Mwanamke huyohuyo hawezi kuishi na Mwanaume pindi anapokosa kazi kwa sababu yoyote ile wakati huohuo Mama Mzazi wa huyo Mwanamke anaishi na Baba yake hana kazi Wanawake badilikeni haya ni maisha tu
Nyinyi bwana munatuchosha Sana yan ni bora MUGAILI na hizi Comedy zenu na hiki kipindi chenu Maana mpaka munavyo jisikia Ndiyo munapandisha mtandaon Tatizo sijui uwongoz wenu ndiyo Kuna matatizo ya mikatabaa yan Sijui kwann na ndiyo maana Amuli vyuwazi za kutosha watu Tuna wasaau ksbisa Nyinyi ni wazembe sana sana
Mzee matata Mungu akulaze mahali pema peponi Amen
Mizengwe wote mnaweza lakini mimi nikimuona SUMAKU nacheka kabla hajaongea ""eti huyu bwana ananenepa kwa uzoefu"" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Dah hizi comedy bado zipo?? Nawakumbuka Sana nkiwa home Arusha via ITV🤣🤣🤣, I love both haswa huyu mama. Watching from USA
Hawa mizengwe nawapenda sana, kati ya comedy zote TZ hawa number one bila ubishi, tena wasije kuongeza mtu mwingine kwenye group lako.
Asante kwa kutuunga mkono tunafanyia kazi ushauri wako.
bonge la bwana unanenepea ukwen 😁😁😁😁💃💃💃
....ise nimependa sana
Karibu sana.
15:28 ananenepa kwa uzoefu tu😂😂😂😂😂 sumaku bhana
Nawapongeza wahusika pamoja ITV super brand Africa
Asante, asante kwa kutuunga mkono.
Ananenepa Kwa Uzoefu😂😂😂😀😀😆😅
"Ningumu sana mkongo kuuza mkaa"😃
Hili ni kundi zuri saana, keep it up guys Kazi zenu za maana saana!
Asante kwa kutuunga mkono.
🤣🤣🤣🤣Nimecheke sana
I love you guys
Dah!!!!,hatari sana
😂😂😂big up sanaaa
Nimekubali wakongwe
huni kuti kwa mkwe 🤗🤗
maringo is my all time fav😂🤩
Hakika mnatufunza mengi sana pongezi kwenu
😃😃😃😃nawapenda sana
Bora ungejenga kwenu mkwele 😄 🤣 😂
Dah kiukweli mko vizuri nawakubali japo sasaiv mmepunguza muda wa filam
Asante kwa kutuunga mkono, hatujapunguza, muda ni uleule.
Content ya episode zao safi sana ila background music jamani, punguzeni sauti kidogo.
Huyu siyo nyoka ni mtu 😂😂😂
Napenda sana Kazi Zenu zawapa wanangu furaha sana Mimi naishi Marekani, kama kuna namba yamchango naitaka tusaidiye kundi hili
Asante sana kwa kutuunga mkono, na hatutawaangusha burudani kama kawaida. number nicheck mimi producer wa kipindi. +255712219950
Mizegwe wapojuu sana wanafuza mambo yamaana naheshima.tunawapenda sn
Gusa picha yangu kuona kaZ yangu🥰🥰🥰🥰
Sawa nitafute
mnakaa mdaa sana ila mko vizuri sana.soma nzuri
Asante kwa kutuunga mkono, tulisimamisha production kipindi kile cha CORONA Sasa tumerudi, burudani kama kawaida.
Kuna mwana yuko ukweni ngoja nikae karibu nae kama ataangalia hii😂😂
😃😃🏃♀️
😂🤣🤣🤣🤣🤣
😀😀😀😀😀😀😀😀😀daaaah umalize unipe matokeo kama ameangaliaa
@@charlesmagere1519 😂😂 nitakuambia naona leo atarudi mapema nitakupa matokeo
Ha haa haaaa!! hata hivyo asituchukie hatukumlenga yeye.
Baba Nikakukodie gar??
Haahhaahhaha
Bati hizo
Mnajua sanaaa ila ondoeni hio back ground ya hiko ki mziki kinaumiza mackio pia hatusikii vzr
Hata mie nawapenda sana
Nzuri sana isipokuwa umaliziaji haukukaa vzr
Nimelia kwa kweli hya ni mambo ya kweli
Duuhh fundisho tosha wanaokaa ukweni nimewapa asilimia 100
Nikakudie gari?😄😄😄 Sasa hizi bati unamwachia nani?😄😄😄
R.I.P mzee Matata
Mmh..dada umenenepa
Somo zuri sana
Asante kwa kutuunga mkono.
Utu pesa, KAZI ndo heshima, imenitachi. I think They do it for me it's Pain
the same here
Mwanaume kazi nasio kupendeza
Nikakukodia gari mm hahaha
Kweli kabisa Mwanaume anaweza kuishi na Mwanamke asiye na kazi lakini Mwanamke huyohuyo hawezi kuishi na Mwanaume pindi anapokosa kazi kwa sababu yoyote ile wakati huohuo Mama Mzazi wa huyo Mwanamke anaishi na Baba yake hana kazi Wanawake badilikeni haya ni maisha tu
Nyie kiboko nawakubali sana
Stop the background music, it's too loud 😤
#Sumaku hio hela utakayo kodishia gar si bora umpe akaanzishie maisha 🤣🤣🤣🤣
👍
Jamani hivi ni kweli kuoa mtoto mwisho ni nongwa ? 🤔
Nimejifunza jambo ila namimi ninajambo langu ntahitaji ushauri
Mshauri yuko hapa....kwaziadaa angaliaa video za Baba mmoja anaitwa Chris Oyakhilome kwa ushauri zaidi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haha Kama si ufala. Ujenge ukweni badala ya kujiwekeza
Mimi ni a Big fan of the show lakini please punguza background sound ya filimbi inaovertake the comedi voices and punchlines
Upo sahihi kabisa asee
Asante kwa kutuunga mkono, tutafanyia kazi ushauri wako.
Itv ya kaole
Excellent
Kunenepa kwa uzoefu duu
Wanawake jifunzeni badirikeni.Mizengwe nyie ni hatari
Sasa alipe kodi ya nyumba ya nini wakati huyo nyumba cyo ya kupanga jamani
Jenga kwenu ukweni unapoteza
Nice
Kweli kuhisi ukweni kwataka uzoefu na je umemchunguza mkeo yukoje,hapa nimejifunza kitu.
Mwenyew nawakubal sana
Wanawake wanarohombayasana
Kweli ukweni sio powa
Ahahaha uzoefu
Nyinyi bwana munatuchosha
Sana yan ni bora MUGAILI na hizi
Comedy zenu na hiki kipindi chenu
Maana mpaka munavyo jisikia
Ndiyo munapandisha mtandaon
Tatizo sijui uwongoz wenu ndiyo
Kuna matatizo ya mikatabaa yan
Sijui kwann na ndiyo maana
Amuli vyuwazi za kutosha watu
Tuna wasaau ksbisa
Nyinyi ni wazembe sana sana
Mbona huweleweki? Tumia lugha ya Kiswahili maanake sijui ni lugha gani uliyotumia
Ni kweli kabisa aisee
Mbona kama umechukia Na wewe imekugusa nn? Upo kwenye list
Kabisa kaka
Ni kujifunza kisoma ukubwani au kiswahili haukijui?
Njooni jamani muone Mpya mpya bado ya moto
Matata bahna
Wanaume mnaokaa ukweni amkeni fanyenimtoke ukweni.sio pazuli wanawake mnadhalilikasana.
UNANYENYEPAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAH
Bati hizi😝
Wale Wa kulelewa tuwajua msijifiche
Haaahaaahaaa
Mbona wacheka ndugu
@@masazivinallo3883 mbona wacheka ndugu
Mimi nataka sana ila sijapata wa kunilea
😁😁😁😁
Fundisho tosha ilo eti nikakukodie gali
huyu rasta mbona anakonda sana??!!, au ngoma??!!.
Kufuga Nywere nyingi zinakondesha sna kwa mwanamme kama hali vizuri hasa chakula cha protein
Du muko vzur sn
Asante kwa kutuunga mkono.
😂😂😂
Funzo kubwa
Uzoefu unanenepesha
Pendeza sana
Hahahaha
muna chelewa kutupa uondo
Poleni sana, tulikuwa mapumziko kupisha balaa la Corona, sasa tumerudi kazi kazi tu.
Ni funzo
Eti nikakukodie gari mm ndio msuruhishi wa kesi huyo hahaha
mzee matataaaa.sina swaliiiii umefiti mzee wangu