QASWIDA MPYA SUBRA KHALID BIN WALID ILIYOSOMWA KWENYE SHUHULI YAO
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- KWA HABARI, VISA NA MIKASA, MAKALA, VIDEOS NA VIPINDI TOFAUTI TOFAUTI
KHD ONLINE ni channel ambayo imejipanga kukuletea habari, makala, na vipindi tofauti! moja kwa moja kwa ueledi mzuri
Subscribe sasa ili upate Taarifa na mambo mengi mazuri.
Follow Khd Online Tv
Facebook | Khd ONLINE Tv
INSTAGRAM |@khd_online_tv
Contact us via number +255 773 904 088 / +255 773 878 523
Vitaa vikubwa sana elimu imetawala mashallah mashallah 🔥🔥🔥
❤
Nimependa aswaa Kuna mwimbani anapiga back vocal "subira subira subira" hii wataiga aiseeee ❤
Safi sana. Moyo ndo kila kitu.
Safi sana.subra ndo kila kitu
Nimeangalia hadhara online ilikua vizur na niwapongeze jambo moja kubwa sala la kudhibiti uchanganyikaji kati ya wanaume na wanawake.....
Hili ni jambo la kuigwa na madrassa zote hasa katika duru la pili