KAZOA NDANI YA IMANI PART 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 56

  • @amandenicy3489
    @amandenicy3489 Рік тому +4

    Nakubali kazi kubwa MR KAZZOA"

  • @azizimkwinda6936
    @azizimkwinda6936 Рік тому +4

    Daah we jamaa nakukubali, ile ile

  • @ramadhanmbudo1596
    @ramadhanmbudo1596 Рік тому +1

    Mashallah Filamu nzuri Sana na Ina maudhui mazuri yasiyopitwa na wakati.
    Safi Sana Kaka Allah azidi kukuneemesha kwa ilmu hii kubwa uliyotukumbusha ktk Filamu hii

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂nampenda kazoa jmni

  • @enockmwilongo5771
    @enockmwilongo5771 Рік тому +5

    Sheikh Kazoa umetisha sana humu 😂

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 9 місяців тому

    This is love from Mozambique 🇲🇿❤😊😅😅

  • @chawanakheri7484
    @chawanakheri7484 9 місяців тому

    Hiki kipande kimalizie bhanaaa
    nimeona kitumbua kilipigwa teke ila hatimae kimerudiwa kwa style ya mwamba 😄😅😁

  • @ThegreatDrfloriansteven6674
    @ThegreatDrfloriansteven6674 Рік тому +3

    Well done bro

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +5

    Mama sele ni mpole mpaka Raha,anajua kuigiza mnoo

  • @mmn7480
    @mmn7480 Рік тому +2

    Nafurah kkuona kazoa❤❤❤ maan wasafi sikuoni jmni I miss you

  • @nanahmekaupbeautifu237
    @nanahmekaupbeautifu237 Рік тому +3

    Uyu kaka ivi kasha pewa tuzo ya uchekeshaji Bola tanzania kamaajapewa apewe jamani

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Рік тому

    Nakupenda kazoa cha uroho😅😅😅 ila hii uliigiza zaman make ni mwembamba pia naziona ramboo😅😅😅

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Haaaaa kazowa kabadilisha jina anaitwa frenki uroho bwana

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 Рік тому +2

    Tokea miaka iyo hujafunguwa UA-cam channel lakini hujacgerewa

  • @ramadhanmbudo1596
    @ramadhanmbudo1596 Рік тому

    Unafurahi na unaelimika kwa wakati mmoja haichoshi kabisa.
    Kuna vionjo vya Nai na kigoma Cha daku Daku kimenikumbusha miaka mingi Sana nikiwa kijana mdogo wa madrasa

  • @AnwarAli-vs9mp
    @AnwarAli-vs9mp Рік тому +1

    Munafanya masikhara na dini 😮😮cio mafala nyie munacheza na mungu cio mungu afanyiwi masikhara

    • @mrkazoa2232
      @mrkazoa2232  Рік тому +1

      Umeangalia mwanzo mwisho wa Filamu? Si unaongea upuuzi tu na kukashifu elimu wanayotoa wenzio kuhusu dini na mwezi mtukufu wa Ramadhan. Angalia mwanzo mwisho kisha njoo na hoja hapa. Tumesoma dini sheikh usichukulie wote hawajasoma. Dini haipo hivyo kama unavyodhani. Rudi darasani.

    • @Fear_Allah394
      @Fear_Allah394 Рік тому

      Yupo swa. Dini ya kiisilam haifundishwi kwa vichekesho au uigizaji. Dini inafundishwa kwa kukaa/kufuata walimu, masheikh na ulamaa ukasomeshwa. Ndio mna siku hzi maasi mengi sana kwa sbbu tumeingiza usanii ktk kufundishana dini ya kiisilam.

    • @AnwarAli-vs9mp
      @AnwarAli-vs9mp Рік тому

      Ushajibiwa

    • @masterplan9203
      @masterplan9203 Рік тому

      Kwani kibaya kipi apo

    • @mrkazoa2232
      @mrkazoa2232  Рік тому +2

      @@Fear_Allah394 Namuamini ALLAH kwenye dhima yangu na sio wewe binadamu na wala wewe huwezi kutoa hukumu ya kusema hiki ni dhambi na kitakupeleka motoni...kupitia filamu hii nimepata pongezi kutoka kwa viongozi wa dini tena wakubwa. So si kila mtu atakaa chini kusikiliza mawaidha ya dini bali kufikisha elimu kuna aina mbalimbali au mbinu tofauti ili kuwafikia walengwa tofauti. Tambua wewe ni binadamu tu hiyo dini usiifanye ni fimbo ya kuchapia wengine coz dini yetu haipo hivyo. Tusome dini ili kuielewa na sio kukariri. Ahsante. ALLAH ndiye anayejua hatima ya mwanadamu na si wewe.

  • @aliyshemweta9753
    @aliyshemweta9753 Рік тому +4

    Umepotelea wapi kaka mbona wasafi hamuonekani Tena kaka

    • @mrkazoa2232
      @mrkazoa2232  Рік тому

      Soon

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Рік тому

      Mbona tayari washarudi vijambo na vijambo vipo hewani 😅

  • @CHAMEMPIRE
    @CHAMEMPIRE Рік тому +1

    Safi sanaaa

  • @eddienyota5
    @eddienyota5 Рік тому +3

    Naam Chaurohoo😂

  • @sadunabdallah7303
    @sadunabdallah7303 Рік тому +1

    Nimgum lakin sio sana kuhishinda roho2 mkubwa

  • @mwanahawaninga6160
    @mwanahawaninga6160 Рік тому

    Samahani sio kwa ubaya hivi hilo ni tumbo au begi mbona unamatonge makubwa

  • @macklineremmanuel1742
    @macklineremmanuel1742 Рік тому

    Wasafi mpaka lini???
    Hiyo Ni ishara ya kukua
    Kuna umri ukifikia ukikaa nyumbani unaona aibu, acha wapambane😜

  • @husnaomary-ok7fl
    @husnaomary-ok7fl Рік тому

    Achante kwa ukumbucho

  • @barakaelgabriel913
    @barakaelgabriel913 Рік тому +3

    Chi hindi hili jamani kaacha????

  • @yussufdjuma7296
    @yussufdjuma7296 Рік тому

    😂😂😂😂🇺🇸❤❤❤

  • @anifaabduly481
    @anifaabduly481 Рік тому +1

    😂😂😂

  • @husnaomary-ok7fl
    @husnaomary-ok7fl Рік тому

    🤣🤣🤣

  • @montteyfloki3953
    @montteyfloki3953 Рік тому

    Wale mnaolalamika kwamba anachezea dini ooh blah blah blah huku youtube mmefata nini🙄🙄🙄

  • @holylostborn
    @holylostborn Рік тому

    😂😂😂😂😂

  • @asmarajabu5786
    @asmarajabu5786 Рік тому

    😂😂😂

  • @ramlaabubakar1114
    @ramlaabubakar1114 9 місяців тому

    😂😂😂