WADUDU WANA KIASI KIKUBWA CHA PROTINI KWA AJILI YA KUKU NA SAMAKI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • Kampuni Biobuu Limited ya Wadudu inayotumia takataka za Ogani kulisha mabuu ya inzi weusi aina ya Black Solder flay iliyopo Wilaya ya Mkuranga mkoAni Pwani.

КОМЕНТАРІ • 38

  • @majaliwamaingu2825
    @majaliwamaingu2825 4 роки тому +9

    Kwa Wabongo tulivyo hata siku moja hawezi kukuelezea kinagaubaga namna ya kuwatayarisha hao inzi zaidi ya kukuburashia tu na ndo maana hawawezi kujibu comments.
    Vile vile kama unataka kuanza kuwazalisha hao maggots ingia kwenye mitandao tu utajifunza kila kitu, tusichoke kujifunza ni kiasi tu cha kuandika Black Soldier Fly Larvae farming unaletewa kila kitu. Utaona how to feed the BSF, how to build the cages for maggots breeding. Tusichoke hawa inzi tunakaa nao pamoja na kuwa ni siyo house fly bali ni wild fly. Tugoogle tutajifunza mengi.
    Wataalamu wa kufuga hawa inzi hasa ni Waindonesia, waphilipino hata waganda tu.

  • @salehmgide9538
    @salehmgide9538 5 років тому +1

    Safi sana kazi ni nzuri mmeiona fursa mkaitumia

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 5 років тому +1

    Safi sana.Mimi nahitaji hao wadudu wakiwa wazima

  • @petronillajosephat2655
    @petronillajosephat2655 4 роки тому

    hongera sana kwa kazi nzur na elimu nzur

  • @saidhamisi2795
    @saidhamisi2795 4 роки тому +1

    Hapo sawa

  • @josiahkulwa34
    @josiahkulwa34 2 роки тому

    Hongera

  • @godfreymwambakatimo9000
    @godfreymwambakatimo9000 4 роки тому

    KAZI NZURI SANA,NAONBA KUJUA BEI ZAKE MAANA NAITAJI KUWATUMIA KULISHA SAMAKI

  • @gabrielurio6545
    @gabrielurio6545 Рік тому

    Hao wadudu wanakula takataka kama mabaki ya chakula yaliyo changanyika kwa kusaga yawe kama tope

  • @jbwisdom5690
    @jbwisdom5690 3 роки тому

    Mko vizuri mawasiliani nitapataje

  • @kabyemelaibra3236
    @kabyemelaibra3236 Рік тому

    Naomba kujua hao inzi wanakula nini ili waeze kutaga?

  • @benedictmhina4819
    @benedictmhina4819 5 місяців тому

    Mbegu ya hao wadudu inapatikana wapi?

  • @petronillajosephat91
    @petronillajosephat91 Рік тому

    Mbna hamuwek mawasiliano nnahitaji pia mnauzia wap

  • @erickemanuel1171
    @erickemanuel1171 2 роки тому

    Haina maana kurushia Crip bila mawasiliano ya wazalishaji

  • @eradolyamuya3929
    @eradolyamuya3929 5 років тому +1

    Naomba kuwatembelea ili nijifunze

  • @KukuVillage
    @KukuVillage 4 роки тому +1

    Mbona hamjibu comments?
    Ni vizuri mngeweka na mawasiliano ya namna ya kuwapata hao wazalishaji ili kupata bidhaa hizo.

    • @majaliwamaingu2825
      @majaliwamaingu2825 4 роки тому

      Hawawezi kukujibu andika tu BSF farming utaletewa kila kitu ndugu yangu pamoja na kuwa lugha inayotumiwa siyo lugha yetu lakini utaelewa kwa vitendo.

  • @tumainicompany4294
    @tumainicompany4294 2 роки тому

    Tunaona namba zenu

  • @abdalasaidngozi554
    @abdalasaidngozi554 4 роки тому

    Asante sana kwa KAZI nzuri.Mimi NI mfugaji nahitaji hao funza waliokaushwa.pia wazima.Tafadhali nijuze bei zenu,Mimi 0758111802.

  • @nikuzejoselyne7834
    @nikuzejoselyne7834 4 роки тому

    How much price for 25kgs or per kg

  • @ezekielsangari9675
    @ezekielsangari9675 4 роки тому +1

    Safi kbisa naitaji mbegu namba zangu 0743539874 namba ya wsp 0762658727

  • @bahusasylva8097
    @bahusasylva8097 3 роки тому

    Naitaji mayayi ya Black solder fly, ninayapataje?

    • @evancetemba3336
      @evancetemba3336 3 роки тому +1

      Ni rahis kuwapata

    • @bahusasylva8097
      @bahusasylva8097 3 роки тому

      @@evancetemba3336 Nafurai kusikia kama niraisi kuyapata,

    • @evancetemba3336
      @evancetemba3336 3 роки тому

      Chukua kinyesi cha kuku kama kilo moja na pumba kama kilo moja changanya na maji kisha weka kwenye ndoo ndogo mbili.tafuta papi mbili ndogo za mbao kata vipande vipande kisha unganisha vipande viwili viwili hakikisha unaisha nafasi kiasi kati ya hizo mbao ili atagie humo.weke hizo papi ndani ya ndoo kwa kupishanisha kama msalaba. huo mchanganyiko ukishaanza kuvunda peleke kwenye vichaka acha huko kama week nzima ila uwe unaenda tembelea kuona maendelea...utawakuta tu wametaga.

    • @evancetemba3336
      @evancetemba3336 3 роки тому

      Ili kuzuia mchanganyo kugaribiwa na wanyama unaweza hata ning'iniza ndoo zako huyo inzi atafika tu maana atavutiwa na uvundo....yan kifupi huyu inzi hupenda uvundo so penye uvundo ataku atataga wewe weka mazingira tu kama nilivyokuelezea...baada ya hapo endelea na masomo yapo you tube mengi tu kuhusu jinsi ya kulea mpaka anakua inzi.

    • @bahusasylva8097
      @bahusasylva8097 3 роки тому

      @@evancetemba3336 Ninashukuru sana nitajaribu

  • @mjimtakatifu4300
    @mjimtakatifu4300 4 роки тому

    Kwa anayetaka kujua namna kujua namna ya kuwatengea hao nzi wasiliana mimi kwa namba 0714510795

  • @richardmarisa1600
    @richardmarisa1600 4 роки тому

    Naomba kujua namna ya kuandaa 0785 021 993