Wajackoya amshauri Diamond' Bangi ni mbaya' Mama mjamzito akinywa pombe mtoto anatoka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • Mwanasiasa maarufu kutoka nchini Kenya, George Wajackoyah amefafanua sera yake ya kilimo cha bangi akisema kuwa wapo watu wengi ambao walikuwa hawajamuelewa alikua akimaanisha nini na wengine wakidhani kuwa alikuwa akiunga mkono uvutaji wa bangi jambo ambalo amelikataa.
    Wajackoya ametoa ufafanuzi huo alipokuwa akifanya mahojiano maalumu na Mwananchi Digital ambapo amesema kuwa yeye hatuvi sigara, hanywi pombe, hali nyama wala samaki na kwamba bangi aliyokuwa akiizungumzia ni ile ya kukuza uchumi wa Kenya.

КОМЕНТАРІ • 3