UUNGU WA BWANA YESU: MWALIMU KASINA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 78

  • @dennisotieno352
    @dennisotieno352 4 роки тому +6

    Yesu ni Mungu inajitokeza sana kwa Bibilia

  • @davidwilliam1189
    @davidwilliam1189 4 роки тому +4

    Mwalim kasina,kwakweli Bwana anakutumia,hayo maneno unayoongea peke yako huwezi,ubalikiwe sana

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU mwalimu.
    Waisilamu wanajua kabisa ila kwasababu wanamuwakilisha nabii wa uongo ndiyo maana wanajitaidi kusema uogo

  • @mwakajohn1819
    @mwakajohn1819 4 роки тому +3

    Mwalim Kasina unatisha, unafundisha, unaeleweka, unaweka wazi maandiko. Hauna ujanja ujanja, unalinganisha huku na huku. Unapata jumla ya ukweli, ni mbishi peke yake asieweza kukuelewa. Mungu akulinde akuhifadhi, udumu katika kuwafundisha hawa waislamu. Ambao nusu ya akili zao majini yamewapofusha.

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому +7

    Namwamini yesu sasa hadi mwisho

  • @davisrotich116
    @davisrotich116 5 років тому +5

    waislamu nyinyi kama hamtamkubali Yesu kua ni Mungu mtabaki wapinga Kristo tu nayo ni injili ya Ibilisi ndio mlionayo

    • @mwawekomiuda5777
      @mwawekomiuda5777 5 років тому

      Usiamdike tu kwa kuwa wajua kuandika fikiri sana kabla ya kuandika. Nyny mwaabudu masanamu je huyo no ni shetani mwenyrwe

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Watapoteza dini wakikubali

  • @financialloan9818
    @financialloan9818 5 років тому +4

    Aina ubishi iyooo Yesu ndie Mungu mwenyewe ukibisha jua ww ni kafiri wa kuzimu

    • @jumajaffary9698
      @jumajaffary9698 5 років тому

      Toa Andiko kwenye biblia Yesu kasema Mimi ni Mungu mniabudu?

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      @@jumajaffary9698 nikikupa utakubali au mbwembwe tuu?kwanza unajua maandiko we au unaongea mavi mavi.soma yohana 1.tito 3 Philip 2:5 aya njoo upige kelele zko apa na kiongozi wenu fake uyo mbakaji

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      Mungu kakatwa govi kafa kazikwa hii no upotofu wa mawazo Mungu yesu aliumba nini katika Dunia na Ana majina mangapi kwa lugha nyengine ikiwemo kiswahili

  • @bekkalove6736
    @bekkalove6736 5 років тому +9

    Ubarikiwe saana Mchungaji umewajibu vizur hao makafiri wa kiislam

  • @janekwahada580
    @janekwahada580 5 років тому +5

    The end of the Qur'an it has come because Jesus says atatupa hekima na marifa kufafanuwa mema na mbaya, na sasa mabaya na mazuri YESU anayaweka wasi. We thank Jesus Christ for this teacheing those who understands will know but wale wakupenga wate endeliya tu kupinga, hadi YESU atatenda kama alivyo mutokea mutume Paul ndiyo ametuma nyinyi kwanza muchukuwe wale atawapa na wale waliobaki mwenyewe atakuja kuwaokowa.

  • @randarmanke.4224
    @randarmanke.4224 3 роки тому +1

    Amen.
    Jesus Christ Is LORD

  • @jersonmpeka4984
    @jersonmpeka4984 6 місяців тому

    Ameni Yesu ndiye njia kweli na kweli ya uzima

  • @Wpatrickwafula3432
    @Wpatrickwafula3432 4 роки тому

    Safi pastor mpe andiko wewe umemaliza ya Mungu hatakuliza umefikisha ujumbe Yesu ni Mungu AMEN

  • @jeanmjimmy
    @jeanmjimmy 4 роки тому

    Mungu akae ndani ya neno lake ili kwa usikiaye aponywe kwa jina la Yesu. Bwana jizihirishe kwa mafundisho haya ili watu wako wakujuwe na wakoke.

  • @jumarobertonyancha8605
    @jumarobertonyancha8605 8 місяців тому

    Yesu ni Mungu wa haki na ukweli❤❤❤

  • @davidwilliam1189
    @davidwilliam1189 4 роки тому +1

    Mwalim kasina,hayo mafundisho unayotufundisha ,in kweli tena ni uzima

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому +2

    Juma jaf kweli yesu aliabudiwa luka 24:52 na akasema atakayeniamini nitakuwa mungu wake ufunuo 21:7

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому +1

    Huyu yesu hatari sana

  • @alwaysthink0220
    @alwaysthink0220 5 років тому

    Sheikh shabaani ete ume lost wapi

  • @saitotisapiyo7167
    @saitotisapiyo7167 5 років тому

    Kwanza nili soma maisha ya mtume S.A.W. Wakati alitokewa na Gabriel. Aka ulizwa maana ya uwisilamu nini. S.A.W aka jibu uwisilamu ni kukana Mungu na kusema akuna Mungu ila Allah na mtume wake Muhammad so usi jali hao uawnakana tu nikawaida yao.

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      Wamelaaniwa waislm sio wazima kbs wanaabudu na roho chafu wanakaa na majini ambao walishafukuzwa mbinguni na kuandaliwa makazi yao kuzimu sasa wezetu wanakula nao wanaishi nao na wanaabudu Mungu mmoja ambae ni allha aisee waislm nawapa pole sana maana uyo allha ni fake na sio Mungu wa mbinguni

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      Financial Loan wamefukuzwa mbinguni 72:8_9 quran

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 роки тому

    Kuamini kuwa Yesu ni Mungu ni upungufu wa akili maana hata sijui wakristo mnajichanganya maana kukiwa na mdahalo yessu si mtume mnatoa aya kuwa yeye ni mtume na mnamfananisha utendaji wake na nabii Muhammad na mkiambiwa Yesu si mwana wa Mungu mnatoa maandiko kuthibitisha kuwa mwana wa Mungu halafu mkishindwa hoja zote mnasema Yesu ndie Mungu sasa huyu Yesu mwenyewe anawaambia. Ungu wake ndie Mungu wenu baba yake ndie baba yenu sasa ikiwa mnamwita Yesu Mungu kwa sababu anaitwa mwana wa Mungu na yeye akawaita ninyi wana wa Mungu nanyi pia ni miungu hii ni shida ya uelewa kwa Wakristo

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      God is great hahaaaa hebu shulee

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      @@petromachanga29 yesu aliumba NINI mbona hamujawahi kutaja alichoumba mnazunguka huku na kule kujificha ukweli nawaambia Tena ukristo sio Dini na yesu sio Mungu na kama kuna andiko yesu anasema mimi yesu no mungu muumba mbingu na nchi na vilivyomo toa

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      God is great hahaaaa mungu wenu Allah anamjua yesu ni mungu

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      @@petromachanga29 yesu ameuba NINI hebu tbibitisha basi

    • @myself4128
      @myself4128 4 роки тому

      Muhamad sio nabii ila nabiiwa uongo tuu na ndio maana hakufanya muujiza wala ishara hata moja zaidi ya kuoa mtoto wa miaka6(aisha) na akamuacha kwa maagizo kuwa wake zake wote wasiolewe😂😂😂😂😂 kwakweli mmepotea !!! Yesu ndiye alama yakiama..yeye ndio kalamatuh allah...neno la Mwenyezi mungu na wote tunajua neno la mungu ndio mungu mwenyewe! Hakuna nabii aliyezaliwa bila baba na wala hayupo aliyewahi kufufua wala kuumba isipokuwa mwenyezi Mungu tu na Yesu alifanya yote!!! Hakuna nabii wala mtume ambaye hakutenda dhambi isipokuwa Yesu peke yake na siku ya kiama ndiye atakayehukumu ulimwengu mzima kaeni chonjo waislamu allah sio Mungu na alipokufa mtume ndio mwisho wake hakuna mwonyaji tena!!!uliona wapi mungu akaabudiqa kwa kiarabu tu???tena lazima uelekee wako macca sababu hayupo pengine 😳😳😳😳😳😳?? Mungu wetu sisi anajibu maombi yote popote ulipo kwa lugha yoyote na bado anatuma waonyaji!! Na maono yanaendelea nyie movie ishaisha The End!!!!hakuna wokovu katika dini bali Kristo ndiye njia ya kweli na uzima

  • @petromachanga29
    @petromachanga29 5 років тому

    Quran 3:11 inasema mwendo wa mafiri wa uma wako nabii mhamadi ni sawa na watu wa firaun, abudalah saleh farisy

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      Makafiri unawajua no Akina Nani no wakristo na wote wasiokuwa waislamu kama wewe so muislamu wewe no kafiri unaabudia asiekuwa Mungu

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      Qurani 5:101 inasema, enyi waislam msiulize mambo msiyoyajua yasije akakuchukizen

    • @godisgreat1845
      @godisgreat1845 4 роки тому

      Mungu hawezi kujaribiwa na shetani ila yesu kujaribiwa Mungu hawezi kupotea yesu alipotea Mungu hawezi kuwa na usingizi yesu alilala Mungu hawezi kuwa na kabila yesu Ana kabila Mungu hawezi kunyonya ziwa la mama yesu alinyonya Mungu Hana mama yesu anae yaani Imani yenu ni usanii mtupu mkiulizwa Jina la dini mnataja Jina la mtu yeye mwenyewe anajiita mtu nyie mnalazimisha kumwita Mungu anasema hakutimwa ila kwa kondoo walio poteza wa nyumba ya Israeli nyie mnalazimisha kujiingiza katika uyahudi wayahudi wa Kenya mnaokotaokota maandiko kulazimisha uongo na ukafiri wa Paulo

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      God is great hebu fikilia kuwa na mtume marehem na yesu yuko mbinguni mpaka sasa hivi

    • @petromachanga29
      @petromachanga29 4 роки тому

      God is great hahaaaa mungu wenu Allah anamtume mhamadi tu

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 років тому +1

    pole hujui usemalo lakini fatilia bibilia ndio utajua kafiri nimuislam au ni mkiristo

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 років тому

      Soma Quran ujue kafiri ni nyinyi ju muna kana mwana na Mungu

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      Muislam ndo kafiri alie pewa kitabu na bwan shetani kule pangoni Mohammed kazaliwa kakua uku akiabudu sanamu alikahaba sasa mnajifananisha na simba wa yuda nyinyi

    • @asmaaabdalla9372
      @asmaaabdalla9372 5 років тому

      Yeso alisha hubiri wachungaji wotee maubwa

    • @asmaaabdalla9372
      @asmaaabdalla9372 5 років тому

      Makafiri nyie moto Mumeandaliwa Nyinyi kujiosha mavi machako yenu hamujui wachafu nyie

    • @asmaaabdalla9372
      @asmaaabdalla9372 5 років тому

      Yeso kisha waambia munaniabudu bureee hasara siku yakiama

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 5 років тому

    Toa andiko wewe Unaejiita mkristo Yesu kasema Mimi ni Mungu mniabudu?

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 років тому

      Una swali ya kitoto yesu aliinuliwa juu na watu Waka muabudu. Kisha wafiilipi 2:5-6 ina sema yesu alijifanya kwa hana utukufu kisha Mungu Ali fanyika mwili. Nyinyi muna angalia mwili ninani alikwa kambla ya ibrahim ni yesu

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 років тому

      Na wewe toa andiko kwa yesu si Mungu 😏

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      @@saitotisapiyo7167 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bonge la point yan atoe tuone

    • @saitotisapiyo7167
      @saitotisapiyo7167 5 років тому

      @@financialloan9818 yp juu sijui Ana thani yesu ni rika yake

    • @financialloan9818
      @financialloan9818 5 років тому

      @@saitotisapiyo7167 waislm wamelaaniwa awa na aho majini wanao swali nao ndo yanawaongoza basi awajitambui kbs eti wanaswali na viumbe vilivyo laaniwa roho chafu sasa unazani wazima awa