🔴
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Endelea kubarikiwa na somo hili.
..........................................................................
Neno la Mungu ni Taa ya Miguu yangu na Mwanga wa njia yangu.
Neno la Mungu ni Pumzi ya maisha yangu, unapolisoma neno la Mungu hautapotea gizani bali Nuru ya Bwana itaangaza Maishani mwako kila wakati.
..............................................................................................................................................................................................................................................................................................
Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
...............................................................................................................................................
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.
Mungu atupatie moyo mkarimu.
Mungu naomba unizaidie niwe na moyo wa utoaji in jesus name
Baba tusaidie tujue kuunganiza sadaka na maombi 🙏🙏🙏🙏
Amina sana mtumishi nabarikiwa sana mafundisho haya Mungu anisaidie niweze kuwa mtu wa3kutoa sadaka na maombi
Pastor nafurahishwa na mahubiri haya hakika nmejifunza jambo kutokana na Siri ya Maombi na sadaka.....unapoelekea kwenye Maombi nami naomba unikumbuke niwe mwaminifu kwa kutoa,na naomba niwe na afya njema...nafuatilia kutoka Qatar
Pastor unapo endelea na maombi naomba uombee mtoto wangu ni mgonjwa na vidonda Kwa mwili wake sinapona na kurudy naomba umuombee ubarikiwe
Naendelea kubarikiwa kutoka USA. Naomba nujue siri ya maombi kuambatanisha na sadaka.
Amen balikiwa
Sermon ya Leo imenifusha mengi