Hussein Bashe: Ampa Makavu Luhaga Mpina I Tusifanye Siasa Kwenye Mambo Hatari I Bajeti Yapita 100%

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 тра 2022
  • Katika kuhitimisha hoja ya bajeti ya Wizara ya Kilimo iliyowasilishwa siku ya jana na Waziri wa Kilimo Mhe. Husseni Bashe, leo Wabunge waliendelea kuchangia bajeti hiyo ndipo Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina alipochangia mchango hiyo

КОМЕНТАРІ • 143

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 2 роки тому +8

    Hongera sana mheshimiwa bashe kuwa kiongozi wa mfano kwenye sekta ya kilimo....nk 🖋🇴🇲🇹🇿

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 2 роки тому +10

    Hongera kubwa kwa waziri Bashe
    Jembe letu
    MWENYEZI MUNGU ALIYEHAI akulinde akutunze
    🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 2 роки тому +13

    Nakupenda sana kwa ajiri Allah wewe una uzarendo na taifa letu

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 2 роки тому +13

    Hongera Mheshimiwa, tunahitaji viongozi kama wewe

  • @barakajames2030
    @barakajames2030 2 роки тому +19

    MY FAVOURITE MINISTER..MP HUSEIN BASHE

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 роки тому +8

    Completely right, Marekani wanatoa ruzuku kubwa sana kwa wakulima.

  • @Pol_Gee
    @Pol_Gee 2 роки тому +7

    @bashe Mungu akujalie siku ya siku uwe Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...Amen

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 2 роки тому +18

    Huyu ndio Rais sasa kama kweli mnataka mrithi wa mama.
    Mama amuongezee ulinzi huyu kijana.Ni hazina ya urais

    • @Ahdall
      @Ahdall Рік тому +1

      Lkn Watanzania na ubaguzi wao watamkubalia Msomali kua rais

    • @EAST884
      @EAST884 4 місяці тому

      ​​​Salim tu mzanzibari aliwekewa ZENGWE itakua msomali bashe!!! ccm na watanganyika hawawez kubali haitatokea wanaweza kuvumilia mzanzibari lkn msomali kama bashe au kinana NOOOOO@Ahdall

  • @eliuskivuyo7599
    @eliuskivuyo7599 2 роки тому +5

    Mh bashe kama hawakuelewi nikwamba hawataki tu sio kweli kwamba haueleweki we chapa kazi Mkuu ikimpendeza mungu siku moja utakua final say ktk nchi hii niswala la wakit na majira tu.

  • @ldoom8827
    @ldoom8827 2 роки тому +5

    This is the right, well informed patriotic citizen of Tanzania. I like his firm stand on facts and data. The power to process info is great. We need such committed citizen who never betray their country. He is an ordinary man but his articulate vision is an asset

  • @mbogorasabi5865
    @mbogorasabi5865 2 роки тому +6

    Uko right Mh bashe.huwa nafatilia Sana speech zako..

  • @pastorb.alaurent1006
    @pastorb.alaurent1006 2 роки тому +5

    Umenena maneno yako Mungu hakutangulie kuyaish kila sku

  • @Pol_Gee
    @Pol_Gee 2 роки тому +6

    Huyu jamaa uongozi ujao apewe nafasi ya kuwa makamu wa rais. Tanzania itasogea mbele. This guy is genius

  • @AmnaayMalley
    @AmnaayMalley 16 днів тому

    Hao wanawivu mweshimiwa Bashay chapa kazi sisi watanzania tunakuamini san san Barikiwe sana

  • @davismwakanyamale6945
    @davismwakanyamale6945 2 роки тому +18

    Kwangu mimi huyu ni mmoja wa mawaziri bora katika baraza la sasa

  • @thomaskabungo2211
    @thomaskabungo2211 2 роки тому +2

    Hongera Sana Bashe thanks very much

  • @erodeshayo123
    @erodeshayo123 2 роки тому +1

    Ndoto yangu kwako imetimia sasa nikuombee tena nn jamani hata sijui sasa nikuombee nn ilanamwachia Mungu akupe unacho stahilo Hussen Bashe waziri wetu nakupenda sana kwakweli Mungu amekuona amekupa uwaziri na ndio atakaye kuona ktk hilo unalo stahili nahitaji hata kukuona Mweshimiwa nipate japo nafasi nikupe la moyoni na uniongoze pia

  • @fundimkuut.v2973
    @fundimkuut.v2973 2 роки тому +10

    BASHE unajua unajua unajua tena kama magufuli nakutabiria utakuwa rais kwa uwezo wa allah tuseme inshaaah MHESHIMIWA BASHE

  • @knight6757
    @knight6757 2 роки тому +3

    Big up Mh. Bashe!

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 2 роки тому +2

    Namwelewa Sana bashe

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 2 роки тому +2

    Bashe Yuko vizr.but no one is perfect

  • @nasserabdi2630
    @nasserabdi2630 28 днів тому

    MashAllah we salute you Minister from Somaliland 💚🤍❤🖤💙

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga6843 6 днів тому

    Kutoka 1:8,10
    [8]Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
    Now there arose up a new king over Egypt, which knew not Joseph.
    [10]Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
    Come on, let us deal wisely with them; lest they multiply, and it come to pass, that, when there falleth out any war, they join also unto our enemies, and fight against us, and so get them up out of the land.

  • @gabrielbahat9107
    @gabrielbahat9107 2 роки тому +4

    Viongozi kama hawa wanatakiwa sana!

  • @benedictmrisho5947
    @benedictmrisho5947 2 роки тому +4

    Mh Waziri tuletee mbolwa za soil nutrion kulingana na Aina ya Ardhi zilivyotafitiwa. Tusing'ang'ane na aina fulani tu za mbolea. Kweli Mh siasa isituharibie kilimo. Pambana kishujaa. Wakulima tuko nyuma nyako. Ardhi zingine zimeshachoka zinaitaji kurudishiwa afya yake (soil nutrition).

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 2 роки тому

      Mpendwa mbolea ndo hizo na hazina ubaya kinachobadilika ni dosage ama recomendation kulingangana na virutubisho vilivyo katika udogo wa sehemu husika na ili ujue udongo wako unahitaji mbolea kiasi gani basi inabidi waje wataalam shambani kwako wachukue samuli za udongo na kuupima baada ya hapo watakupa kiwango sahihi cha mbolea kinachohitajika shambani kwako.

  • @allymansur8155
    @allymansur8155 2 роки тому +4

    Bashe wape ukweli wapuuzi kama hao ambao wakati wa uongozi wao walikuwa ni chawa tu.

  • @pascalnicolaus6986
    @pascalnicolaus6986 2 роки тому +5

    Poole Luhaga mpina huyu sio level yako! Jiandae kwa ukweli na si siasa za kumchafua huku ukweli ukiujua.Uliyoyafanya ukiwa waziri ukitaka tutakukumbusha.Bashe is another level na ni hazina ya taifa hili

  • @aronatv47
    @aronatv47 2 роки тому +5

    Mpina Tangu atolewe kwenye uwaziri Sijui yukojje Hata simwelewii..Anajidai.mjuaj

    • @richardtungaraza7509
      @richardtungaraza7509 2 роки тому

      Wivu tu,mpina Ana kitu roho inauma,hata mh msukuma aliwahi kumuambia .

    • @aronatv47
      @aronatv47 2 роки тому

      @@richardtungaraza7509 Wacha imuume tu.Siasa ndivyo ilivyo Leo kwangu kesho kwako..

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 2 роки тому +4

    Huyu kijana namwelewa sana

  • @saidkanji9882
    @saidkanji9882 2 роки тому +4

    2025 atumpi alitaka kutufukuza pugu eti kisa ng'ombe mpina mjinga sana

  • @khalfanibobewe4278
    @khalfanibobewe4278 2 роки тому +3

    Hawalaluan wanatengeneza mazingira ya kuwalidhisha wananchi tu

  • @kulishaandry5730
    @kulishaandry5730 2 роки тому +5

    Mh. Waziri Bashe, dhamira yako ni njema sana.... Kamwe usipuuze hoja za mh. Mpina, tunataka maboresho yenye tija zaidi.
    Sijapenda namna uliyotumia kumjibu, msiaibishane tunawahitaji sana.

    • @zuberijuma7366
      @zuberijuma7366 2 роки тому +1

      Ulitaka ambembeleze

    • @ebenezerkaaya7345
      @ebenezerkaaya7345 2 роки тому +1

      Ulitaka amuache apotoshe?? Kwan Tz tunaviwanda vngap vya mbolea useme wizara ndo inapandisha bei, haya mambo ya mbolea mafuta n mambo ya dunia and there is no excuse

    • @esterkiyabo1329
      @esterkiyabo1329 2 роки тому

      🙏

    • @esterkiyabo1329
      @esterkiyabo1329 2 роки тому

      🙏

    • @timboxlee919
      @timboxlee919 2 роки тому

      Shida kwanini bei ya mbolea iko juu tanzanie, tu,,bashe kishanunuliwa na mafisadi

  • @christopherryoba580
    @christopherryoba580 2 роки тому +1

    Yani wewe bro nakuelewa mno na I wish one-day nitakuona live

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf Місяць тому

    Kaka nakukubali Mm fundi gereji apo kwenye sabostalaizi umeniacha mbali nimekumbuka shokap za pikapu

  • @BuluguJames
    @BuluguJames Місяць тому

    Good 👍

  • @justinmwamloso7559
    @justinmwamloso7559 4 місяці тому +1

    Tz kila kitu ni siasa kwa hali hio mmmh

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 2 роки тому +2

    Fact

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 2 роки тому +2

    Bashe katika wanasiasa ninaoamini wanafaa kuwa marais hapo baadaye wewe mmoja wspo

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Рік тому

    Haya Mpina Tender hiyo ya Tani 4000 lete USHAHIDI, Tenda umepata, Bashe kasema wazi tumemsikia mie SHAHIDI yako endapo utaleta Ushahidi wako halafu akunyime Tender weeeee

  • @user-sp5sh4lr2q
    @user-sp5sh4lr2q 4 місяці тому

    Ila kubali ushauri

  • @ahadimwakaniemba8401
    @ahadimwakaniemba8401 2 роки тому

    Asante ukweli ndio unaotakiwa.

  • @josephatkiliko2546
    @josephatkiliko2546 2 роки тому +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 2 роки тому +2

    Mpina alitembea na rula ya kupima samaki Sasa abane mkundu c wakati wake

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 Рік тому

    Hiki kichwa Safi sana

  • @thomastarimo
    @thomastarimo Рік тому

    Sawa kabisa kaka useni uyo bwana suzu

  • @emmanuelisarria6321
    @emmanuelisarria6321 4 місяці тому

    💯👍👍

  • @eliniemalema8152
    @eliniemalema8152 Рік тому

    🙏🙏

  • @josephandrew3444
    @josephandrew3444 2 роки тому +1

    Inatakiwa mraruane kabisa ili raia tupate watetezi jmn ikiwezekana mpigane kbs maana wote ni ccm

  • @raymondmsuya7127
    @raymondmsuya7127 2 роки тому

    Waziri wangu

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому +1

    Kwa hoja za mpina kajipange upya japo nakukubali

  • @michaelmwakifwamba909
    @michaelmwakifwamba909 2 роки тому +3

    Unaongea na sisi wakulima,lakini unachanganya Lugha,baadhi yetu hatukuelewi japo nasikia umeongea vizuri,tumia Lugha moja au basi!

  • @sskondopoleani9616
    @sskondopoleani9616 Рік тому

    MPINA ANA CHUKI BINAFSI KWA WATU FULANIFULANI WAJUAJI WANAELEWA.

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 2 роки тому +2

    Katumwa

  • @aloycekaguhi7959
    @aloycekaguhi7959 2 роки тому +3

    Utazani kwel sema hii NCHI ngumu Sana😂😂

    • @Muganyizi
      @Muganyizi 2 роки тому

      😂😂😂😂😂

  • @lameckbalekere1962
    @lameckbalekere1962 2 роки тому +1

    Luhaga Mpina uko sahihi hao wapigaji

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 2 роки тому +1

    Wengi wana-comment kwa Mihemko tu humu.Yaani kama waziri Bashe asinge simama basi kila mtu angemuona Mpina ni Shujaa.Ameulizwa Maswali mengi ya Msingi hapa lakini anajibu kwa Panic,why you people want to establish Bank ya Ushirika haliyakuwa wakulima tayari wanayo bank yao? Na ikiwa BOT ndio ya Toa Sera,mbona basi msiiweze Bank iliyopo Sasa? N.k,ingawa nampenda pia Bw.Bashe.

    • @frankmwakatundu9856
      @frankmwakatundu9856 2 роки тому

      BASHE NI MZALENDO WA KWELI NAKUOMBEA AKIUALIE UWE RAIS WA TAIFA HILI ILI TUJE TULE MEMA YA NCHI YETU!!! HAKIKA WEWE NI MZALENDO KUTOKA NDANI YAMOYO WAKO, TUMEWAONA WENGINE NI WAZALENDO WA KUVAA MASHATI YA RANGI YA BENDERA YA TAIFA, WANAVAA TAI YA RANGI YA BENDERA YA TAI KUWASHIRIA KUWA NI WAZALENDO KUMBE NDANI YAO NI MBWA MWITU, TUKILALAMIKA JUU YA MAMBO KADHAA YA YASIYO FAA WANATUAMBIA TUHAME TWENDE BURUNDI LOOH!!!

  • @sambayimichael3360
    @sambayimichael3360 2 роки тому +1

    Hivi ccm mumelogwa na nani kila kitu makofi tu?

  • @emanuelgavile3503
    @emanuelgavile3503 Рік тому +1

    Raisi wangu ajaye

  • @menovicmushy1032
    @menovicmushy1032 2 роки тому +1

    kichwa hiki

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 2 роки тому +1

    Vitu vingine leteni hoja kwa iyo hayo mataifa yanayouza mbolea kwa Bei nafuu kutoka afrika je hawapo kwenye mfumo wa soko la dunia.

    • @bonifacejames34
      @bonifacejames34 2 роки тому

      Wanatoa Ruzuku kubwa ya Mbolea ambayo Mpina ndiyo anaipinga

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 2 роки тому

      @@bonifacejames34 kwani serikali haiwezi kutoa ruzuku kubwa ili kushusha Bei ya mbolea?

  • @janechriss8118
    @janechriss8118 2 роки тому +1

    Hee!!!! Wamegeukana

  • @grolygeophrey6047
    @grolygeophrey6047 2 роки тому +3

    Acha ujinga kazi ya kiongozi ni kutatua changamoto cyo kuzungumza ujinga huo sasa makofi ya nni???

    • @bonifacejames34
      @bonifacejames34 2 роки тому +1

      Kama huo ni ujinga umepoteza muda wako mwingi uliokwenda shule😄

  • @josephbundala8238
    @josephbundala8238 Рік тому

    Wabunge kupiga mikofi tu bila kuhoji

  • @user-mi8bw4gv4c
    @user-mi8bw4gv4c 12 днів тому

    Wapiga makofi wazee wa ndio Kila kitu

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 роки тому +2

    Saf dogo

  • @janechriss8118
    @janechriss8118 2 роки тому +1

    We Bashe wewe hicho kiingereza wanakielewa?????

  • @geofreystephen8499
    @geofreystephen8499 2 роки тому +5

    For someone who knows this good english,is it really that hard to say,"it is very dangerous"😒instead of "it is very danger!"? Viongozi mnatuaibisha bhana

    • @eliasjuma4635
      @eliasjuma4635 2 роки тому

      wanatuvuruga kwa kweli

    • @suleimanalkindy6502
      @suleimanalkindy6502 2 роки тому +3

      Hata lugha mama ya kiswahili tunafanya makosa ya kisarufi. Ni jambo la kawaida.

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 2 роки тому +4

      GEOFFREY, ulimi Umeteleza tu. Hivi unaamini Mh BASHE anashindwa kuzungumza kwa UFASAHA kweli

    • @rubbymusa1971
      @rubbymusa1971 2 роки тому +2

      Cha muhimu kaeleweka

    • @zuberijuma7366
      @zuberijuma7366 2 роки тому +1

      Weeee nawe huna hoja za msingi

  • @mwidinijuma8214
    @mwidinijuma8214 2 роки тому

    Punguza vingereza wakulima wa nzega wakuelewe .

  • @williammwallo9031
    @williammwallo9031 6 днів тому

    Mh,bashe,wewe,nijembe,ulaya

  • @junioramos1338
    @junioramos1338 11 днів тому

    Ichi kwicha magufuli akikiamin Sana.... Na rais anatakiwa Sana kuwa kama uyu mtu

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 2 роки тому +3

    Mibunge mikundu ya nyani yote inayoshangilia

  • @godlovekamuntu973
    @godlovekamuntu973 2 роки тому +1

    Bashe unamiliki heka ngapi zilizovunwa?
    Ingekuwa vzr Waziri km ilivyo wizara yako apimwe kwa ufanisi wa mafanikio ktk mashamba anayoyamiliki. Ndyo apewe kijiti kusimamia wizara.

  • @zumbemaganga169
    @zumbemaganga169 2 роки тому +1

    wewe bashe usilete maneno mengi ya kuzungumzia jimbo la mpina ss halitusaidii zungumzia utatuzi wa changamoto ya mbolea ishuke bei..usilete uswahili mwingi apa

    • @mhiyaoswedi4499
      @mhiyaoswedi4499 2 роки тому

      Acha uchawi umesikia jimbo la mpina tuu vingine hujasikia

    • @zumbemaganga169
      @zumbemaganga169 2 роки тому

      @@mhiyaoswedi4499 nimesikia vitu vingi, wazir hatakiwi kuzungumzia jombo la mtu...anatakiwa azungumzie utatuzi wa mbole sisi tunaolima tunajua maumivu ya mbole..maswala ya kuzungumzia jombo la mtu halitusaidii hayo mambo yakuchambana ni maswala ya kike! wewe akizungumzi Jimbo la linakusaidia nn? Labda Kama unaishi kwenye ilo jombo la mbina sawa..serikali ujitahid iweke ruzuku kwenye mbolea kama nchi za jirani zetu walivyofanya..

    • @mhiyaoswedi4499
      @mhiyaoswedi4499 2 роки тому

      Ungesiliza swali la mpina kwanza ndio uje umjaji ila wewe umemu atack bashe,mpina kamkejeli bashe kwenye swali lake

    • @zumbemaganga169
      @zumbemaganga169 2 роки тому

      @@mhiyaoswedi4499 hapana nimesikiliza mwanzo mpaka mwisho...ukisha kuwa bungeni na wewe ni wazir jibu mambo ambayo ya msingi mfano mpina alizungumzia maswala ya bank mana Kuna baadhi ya bank zingine zinaanzishwa kwa ajili ya upigaji anataka tuanzishe banki ya ushirika wakati bank ya kilimo bado haiko sawa wala haijawezeshwa vizur ilikusudi wakulima wapate mikopo nafuu na isiyokuwa na riba kubwa! lakini mpina alitoa ushauri mzuri kuwa tusianze kuanzisha mabanki ambayo tunaanzisha mwisho wa siku hatufikii lengo tunaanzisha kitu kingine...mana Kuna watumishi wengine sio waaminifu wanakula izo ela! yeye anasema kuwa soko la dunia mbolea imepanda nchi za wenzetu wameweka ruzuku kwenye mbolea ndio manaa ipo bei ya chini ata yy mwenyewe ametoa takwimu kuwa wemeweka ruzuku,alafu sisi tunaviwanda vya mbole kwa mfano kile Cha Arusha minjiku..kwa nini serikali isiweke ruzuku ili wakulima tupate unafuu..sisi uku tumelima kidgo kwa sababu ya bei ya mbolea imeshout kwa kasi Sana kutoka elfu 50 mpaka laki na 20 na 30 mfuko mmoja na huwezi kulima kwa mbolea ya aina moja Kuna Dap,Urea na Can bro kama wewe ungejua changamoto jinsi zilivyo, ila kama sio mkulima utaona kitu Cha kawaida Kuna watu wameamua tu kulima bila mbolea ukienda kuangali shambani hakuna kitu...

  • @hamidurashid9609
    @hamidurashid9609 2 роки тому

    Kwann mnapenda kuongea kingerea bungen munazingua

  • @user-nm7hl5iw5n
    @user-nm7hl5iw5n 11 днів тому

    Muongo huyu

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 2 роки тому

    Wewe bashe ushanunuliwa na mafisadi, punguza bei ya mbolea acha kumsema mpina, ufisadi tu ,Rip JPM

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 2 роки тому

      Umeyumba ww

    • @jameschambuya4874
      @jameschambuya4874 Рік тому

      Nakupongeza kwa kweli kwa kazi nzuri Ila tu wakulima wa wilaya ya Malinyi hatujapata mbolea hiyo ya ruzuku hadi Leo. Mvua zimeanza kunyesha

  • @FelisterByengoma-do5ln
    @FelisterByengoma-do5ln Рік тому

    Mheshimiwa Bashe wewe ni jembe

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 2 роки тому +3

    " ....very DAGER !" hahaaaaa!
    Hakuna kitu huyu mtu. Kelele tu na upigaji mwingi. Tunamjua Bashe na Rostam Aziz wake.
    Bashe anapotosha kabisa! Ameulizwa mambo mawili muhimu: 1. Benki ya ushirika na 2. Bei ya mbolea. Anaeleza bei ya mbolea kwa uchungu utadhani kweli ana niya njema na kukwepa la benki ya ushirika. Ukweli ni huu;
    1. Benki ya ushirika ni mipango yao wafanyabiashara ambao ndo sponsors wake ktk siasa. Hataku kueleza kwa nini anaachana na benki ya kilimo ambayo ipo, sasa nakimbilia ushirika. huu ni ujinga tu!
    2. Mbolea ilipanda kabla ya vita ya ukraine. Hizo bei za mbolea nazotaja duniani siyo bei halisi maana hajaeleza ni bei kwa uzito gani. Bei zimeharibika mikononi mwake kwa kudekeza wafanyabiashara wake.
    3. Historia ya miaka ya 90 anayosema kwamba yalikuwa maamuzi ya watanzania wote, huu ni ujinga! Ni serikali ndo hupeleka sera Bungeni na kulazimisha zipite. Sera nyingi hupita baada ya wafanyabiashara na wanufaika kuwahonga wanasiasa. Kwenye mafuta ilikuwa hivyo enzi za waziri Mkulo akaondoa kodi baada ya kuhongwa na wahindi wanaoagiza mafuta toka Malaysia!!
    RUBBISH!

    • @RamazaniMulongeca
      @RamazaniMulongeca 2 роки тому +1

      Acha makasiriko bro 😎
      Leta ushaidi hapa tuone

    • @hasinauuwimana8405
      @hasinauuwimana8405 2 роки тому +2

      Ila ukitazama Bashe alimwambia asitumie kelele tu, amemuomba alete ushahidi penye hizo mbolea zinauzwa bei rahisi, nazani Bashe iko open sana

    • @emmanuelnjawa3664
      @emmanuelnjawa3664 2 роки тому +1

      Nadhani wewe ndiyo unayeongea RUBBISH STUFF. This boy is among the few Ministers who need to.be applauded.

    • @stephanokaaya1881
      @stephanokaaya1881 2 роки тому +2

      Wewe mvunja moyo Bashe ni kichwa acha uzushi

    • @hasinauuwimana8405
      @hasinauuwimana8405 2 роки тому +1

      @@stephanokaaya1881 akawaulize wakulima ndio wanajibu kwa Bashe, maana sisi kazi yetu nikujadili mitandaoni tu

  • @nyabendasayumwe8514
    @nyabendasayumwe8514 2 роки тому

    Huyu ni mpiga dili