MCHUNGAJI MASANJA ACHAPA INJILI MTAANI ARUSHA WENGI WA OKOKA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2023
  • DHAMIRA YETU TOGOLAY24 TV
    • Kutoa Habari za Injili, Historia, Burudani ya muziki, Afyya & Mafundisho ya Neno la Mungu.
    • Kuwa kielelezo cha Imani na Maadili ya Kikristo
    • Kukidhi matarajio na mahitaji ya waumini katika Mungu na Mwanawe Yesu Kristo kama sehemu kuu ya maisha yao.
    • Kutoa Huduma ya Kiroho kwa Taifa
    • Kutoa utayarishaji na vipindi vya hali ya juu vya kuigwa na marafiki, washirika na wenzao na wengine wote watakaotazama Televisheni yetu.
    • Kuwa Kiwango cha uhamishaji wa maarifa kwa watazamaji wetu kuhusu mambo yanayowavutia maishani.

КОМЕНТАРІ •