Azam TV - MR. MASUMBUKO: Kipaji kipya cha comedy kilivyoleta shida Mlimani City

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Wasakatonge New Year’s Eve Comedy Gala ni tamasha kubwa la kimataifa la Comedy lililofanyika katika katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam usiku wa mwaka mpya (31/12/2017).
    Baadhi ya wasanii waliotikisa jukwaa hilo ni pamoja na Dogo Pepe, MC Pilipili, Kokoro kutoka Mombasa, Prof. Hamo kutoka Nairobi, Basket Mouth kutoka Nigeria pamoja na wasanii saba chipukizi waliopatikana kupitia usaili uliofanywa na Azam TV.
    Mr. Masumbuko ni mmoja kati ya vipaji vipya vya uchekeshaj vilivyopatikana kwenye usaili huo

КОМЕНТАРІ • 71