MR BLUE roho safi, diamond na mr blue ni egos tu ila ni watu wawili wenye roho safi ila DIAMOND ANAJUA mr blue ni role model wake sema tu ado ubishi na BLUE NAE anajua DIAMOND NI MDOGO WAKE na blue Sio mtg wa kunyenyekea Pia YANI KAMA DIAMOND HASINGETUMIA BUSARA KUMPA HESHIMA blue na kumuonesha kuwa najua wewe nani na mchango wako bhass kusingekua na colabo yyte mpaka siku ya mwisho
Kinachoniuzi ni kwamba after kuimbia na mondi ndio mnacheza nyimbo zake na kumuita interview. Mbona hamkua mkifanya hivo before. Alitoa Ngoma Kali mboga Saba mkaipuuzia . Why ??? Mko na ujinga nyie. Namkumbika Johny joe hakuwahi kuwa hivyo. Na ndio maana mkamfukuza.
Blue kapendeza sanaaa hata mwili umepungua na nguo zimemkaaaaa 👑👑👑👑👑
Babylon breezy byaiser Mr bluuu a.k.a Nyan mzeee huyu mwamba daàah is ICON of Tanzania 🇹🇿 nipeni like zangu
Mr. Blue nimeanza kumkubali tokea niko form1 2004 mpaka leo. Mchizi humble afu anajua.. much respect!!!
Miti mingi😊😊😊
Baisa hachoshi kumsikiliza anajielezea vizuri i like it
Mr blue my big star
Nyani Zee linaongea kinyamwezi sana nakubali😂😂
Kumbe ni mnyamwezi wa tabora😅
Nyani Zeee mnyama , Legend 🔥
Ammy gal!! Jaribu kupunguza Kiherehere kidogo una ongea sana
Aiseeh
Ammigal unaongeya sana achiya msanii wakati wakuongeya.
Uko na mkata sana msanii acha aongeye
Kabisa, yaani mda mwingine wenzake hawaongei
Mondi ndio wimbo wa tz mwamba ana moyo sana big up
Mr.blue nikipenzi cha mashabiki wengi hata asipo toa nyimbo kwa miaka hata 10 mbele,kwa sababu sisi mashabiki ndio tuzo zake
Save your time Mr.Blue anaingia mjengoni around @33:30
Wasafi 4life🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Blue and Diamond peleka muziki mbele
Tunakupenda sana MR Brue Deo From Rwanda
Noma na nusu...
Utabaki kuwa juu Mr blue kila sku aminia sana kaka
Itoshe kusema ajengewe sanam lake hyu mwamba jpo kashasema km cfazake hamuwez kuzungumzia atatuliwa mwanaume ashindan na sidiria
Oyoo big up ma bro blu
Ngoja huu ni usiku ao mchana hold up hii ni leo ao ni jana wllh mr. blue anaweza san man
#Beez#babelon#Mr blue# nyani_zeee......
Jiongezen kipindi kizima diamond na interview niya blue munaboeshampk blue amechoka yabidy awajibu tu
❤❤❤❤
Blue bengu untouched baysa bizz Babylon nyani zeeeeeee
Kwani interview yote ni diamond au?
Mpeni nafasi mtu imara nayeye aongee atleast.... Dada hapo anaongea sana
BAISA KAFUNGUKA SANA UMO NDANI😊
Ahaa
mr blue ni akili kubwa
MR BLUE roho safi, diamond na mr blue ni egos tu ila ni watu wawili wenye roho safi ila DIAMOND ANAJUA mr blue ni role model wake sema tu ado ubishi na BLUE NAE anajua DIAMOND NI MDOGO WAKE na blue Sio mtg wa kunyenyekea Pia YANI KAMA DIAMOND HASINGETUMIA BUSARA KUMPA HESHIMA blue na kumuonesha kuwa najua wewe nani na mchango wako bhass kusingekua na colabo yyte mpaka siku ya mwisho
Halafu hii sio MAPOZI RIMIX jamani, hii wamesample tu. Mapozi itabikia kuwa Mapozi, haina rmx
Byser🔥
Unyama xna
mr akili kubwa
akili kubwa bluu
Mr tabasasam + mapoz umetsha
Ile nyimbo na harmonize si remix
Hapa Mapoz sio RE-MIX ni RE-MAKE tujifunzeni kingereza
Lil kama la buza vile tafuta kofia ambazo zitaenda na kichwa chako wapenda kuigiza marekani ila wavaa vitu haviendani na ww kbs😅
Wewe ndo mshamba kofia ya kinyamwez kabisa iyo na imemkaa safi acha loho mbaya
Kinachoniuzi ni kwamba after kuimbia na mondi ndio mnacheza nyimbo zake na kumuita interview. Mbona hamkua mkifanya hivo before. Alitoa Ngoma Kali mboga Saba mkaipuuzia . Why ??? Mko na ujinga nyie. Namkumbika Johny joe hakuwahi kuwa hivyo. Na ndio maana mkamfukuza.
Dada unaongea saaana mpaka interview inakuw kama yako Sasa msaniii hapat Mda w kujibu Wala watangazaji wengne duuuu
Muna sauti ta zuchu pia kwent kuitikia
Wee zombie unajifanya haujui
❤❤❤❤❤❤