Mimi NYAMWEZI lakini napenda sana nyimbo za kisukuma. Wimbo huu umetulia sana hata ujumbe wake ni zaidi ya nyimbo za kina diamond na wenzake. Waimbaji wengi wa kisukuma wanauwezo mkubwa wa kutunga nyimbo. Hongera sana Limbu
Mpe hongera zake huyu msanii chipukizi anafanya kaxi nzuri Mimi ni teacher kaligo dotto njige ni mwalimu wa literature in English kutoka Arusha secondary school
Sasa umesafisha moyo wangu. Kumbe unajibu comments za wafuasi wako. Uko safi ukicheza kuliko kuimba bila kutuonyesha mnavyotumia sauti na miguu yenu. Nimewapenda sana wasukuma wenzangu. Kabila kubwa hilo.
Kazi nzuri sana! Mbasha Studio na wengine mnajitahidi sana. Lakini endeleeni kuboresha kwa kutochakachukua sauti za waimbaji studio. Waacheni sauti halisi zisikike ili tupate ladha halisi na wasanii watufautiene kwa sauti zao halisi. Pia jitahidi sana kufupisha nyimbo zisizidi dakika 5.
asante sana kwa maoni yako, tunajitahidi kushauriana na wao wasanii wetu kuhusu sauti maana wengi wanataka effects wachache sana wanaokubali kuacha sauti halisi, na urefu wa nyimbo pia liko kwao wao wasanii wanataka hivyo. Pia hili nalo tunaendelea kushauriana nao
Wewe ukitaka nyimbo fupi sikikiza nyimbo za diamond na konde boy (bongo flavor) ambazo wanapiga makelele nyimbo zisizo na ujumbe na pia sauti halisi msikilize mlisho mpoto na twenty percent
Mimi NYAMWEZI lakini napenda sana nyimbo za kisukuma. Wimbo huu umetulia sana hata ujumbe wake ni zaidi ya nyimbo za kina diamond na wenzake. Waimbaji wengi wa kisukuma wanauwezo mkubwa wa kutunga nyimbo.
Hongera sana Limbu
Hiyo ndiyo mbina ya kisukuma Sasa safi sana
Piga kazi safi kwa kuwakumbusha kwa hilo
Unanikonga moyo wangu toka nimekupata staki kuskiliza nyimbo zngne mungu akubarik saana nimezpenda saana
Nikupataje mm nimsukuma nzega ulemba Chiza no ngosha
N❤❤❤❤nikiwa Nairobi ubheja saana
Mpe hongera zake huyu msanii chipukizi anafanya kaxi nzuri Mimi ni teacher kaligo dotto njige ni mwalimu wa literature in English kutoka Arusha secondary school
Sasa umesafisha moyo wangu. Kumbe unajibu comments za wafuasi wako. Uko safi ukicheza kuliko kuimba bila kutuonyesha mnavyotumia sauti na miguu yenu. Nimewapenda sana wasukuma wenzangu. Kabila kubwa hilo.
Uko vizuri brother
Saf sana mnyama nafurahi sana kukupata live kazi nzur .
Nampenda Sana huyu jamaa anaimba vizuri sana
z
Nimo gugamalagwa nyatale
Nimependezwa na nyimbo zako nzuri
Hahahaaa, nimeipenda sana ya kutopenda kuchangiwa
Saana Director, pale mwisho!
Nzuri fr Canada , nakuona home
Asante sana, Endelea kuwa nasi katika channel yetu na uendelee pia kupata vitu Asili kutoka Huku nyumbani, unaweza kutoa maoni yako pia
@@MbashaRobert ni ngapi nikitaka kum walika huyu msanii?
Sawa boss nipe namba yako
Shughuli kubwa zinamalizwagwa na ng'ombe
Noma sana wa kwel
Iko vzr Sana!!?
Mwamba kaimba vizur sana
Hahahhaha natogwa hangee kuchangiwa
Senzaye namba ja Simu lulu
Ulingosha limbu wewe unasisitiza watu kufikia malengo
Safi Sana dumisha Mila unajua sana
bhalekele .mihangwa heka manyon namqendasana
Naomba namba ya mnyama
Jomba, mashairi yako ina mafundisho makubwa sana.
Shughur kubwa zinamalizwa na ng'ombe sio kutegemea kuchangisha watu jamaa wasiposhiba waanze lawama 🏌️
Atar xana uyu jamaa
Kaka unajua kuimba
Safi sana , unafanya kazi nzuri sana
Uko vizur Sana 🔥🔥🔥🔥
Safi sana Mnyama, nakukubali sana
Limbu upo vizuri sana
Jamaa haukurupuki unajipinda kutunga hizi nyimbo😂😂😂
Kazi nzuri sana
just goog my frends
Safi sana
Shabiki Yako namba Moja kutoka meatu SIMIYU obeja sana 🙏
Jamaa anajua
Iko poa sana
Hongela
Nimependa chez yenu homngela mko vizul
Safiss naipeda
Kari Sana
Moses filipo❤❤❤❤
Kazi nzuri sana! Mbasha Studio na wengine mnajitahidi sana. Lakini endeleeni kuboresha kwa kutochakachukua sauti za waimbaji studio. Waacheni sauti halisi zisikike ili tupate ladha halisi na wasanii watufautiene kwa sauti zao halisi. Pia jitahidi sana kufupisha nyimbo zisizidi dakika 5.
asante sana kwa maoni yako, tunajitahidi kushauriana na wao wasanii wetu kuhusu sauti maana wengi wanataka effects wachache sana wanaokubali kuacha sauti halisi, na urefu wa nyimbo pia liko kwao wao wasanii wanataka hivyo. Pia hili nalo tunaendelea kushauriana nao
Wewe ukitaka nyimbo fupi sikikiza nyimbo za diamond na konde boy (bongo flavor) ambazo wanapiga makelele nyimbo zisizo na ujumbe na pia sauti halisi msikilize mlisho mpoto na twenty percent
Comment nyingine mpk 😂😂😂😂
Kisima
Kisima
Kisima
Kisima
Kisima
🎉🎉🎉
Limbu lu chagula
Safi
Hakika kazi nzuri sana mwamba mungu akujalie maisha marefu asili haipotei
Napenda sana nyimbo zako kaka. Hakika kweli kichwa chako kinamafaili
❤
Limbu
jamaa yuko ok sana
J
0
👍👍
❤