#MIZENGWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 лют 2025
  • Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
    Subscribe to our UA-cam Channel : bit.ly/itvtanzania
    Facebook : bit.ly/2KeQNl3
    Twitter : bit.ly/2XG7aii
    Instagram : bit.ly/34KItmg

КОМЕНТАРІ • 21

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Рік тому +2

    Sumaku ana maneno, alafu yupo series, hapepesi .

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 роки тому +3

    Hamjawah feli kwenye ujumbe mzuri mizengwe,,,tatizo mnadelay kutoa burududan ,,tunataka bampa to bampa

  • @hamishelandogo2303
    @hamishelandogo2303 2 роки тому +4

    Huwa mnajumbe nzuri sana Ila kazi zenu zinakuja Kwa kuchelewa sanaa

  • @Boaz22
    @Boaz22 Рік тому +1

    Sijakusaidia nimekupa,Mungu ndo amekusaidia wewe kunijua mimi😂😂😂😂😂pesa jeuri nyie

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +1

    Kwahyo mkongo hna njaa😂😂

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +3

    Utanipumzisha siku moja😄😀

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 2 роки тому +5

    🤣🤣🤣🤣🤣 rudisha sasa pesa kama hutaki matangazo

  • @prinzstev
    @prinzstev 2 роки тому +3

    Kuna leo na Kesho ❤❤

  • @mohammedkhamis1113
    @mohammedkhamis1113 2 роки тому +2

    Filimbi zimezidi du!!!

  • @urasaomben8641
    @urasaomben8641 2 роки тому +6

    Waefeso 1:4-6
    Waefeso 1:4-6 (KJV) kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo.
    Kwa kuwa alitangulia kutuchagua, ili tufanywe wanawe kwa njia ya Yesu Kristo, sawasawa na uradhi wa mapenzi yake.
    Na usifiwe utukufu wa neema yake, ambayo ametuneemesha katika huyo Mpendwa.
    ua-cam.com/video/2_LlwyK0uTE/v-deo.html

  • @albinusnyaiyo2614
    @albinusnyaiyo2614 Рік тому +1

    😂😂😂 laki mbil huna

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 2 роки тому +3

    Muwe mnapost kilaa kisiku bhnaa

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 роки тому +1

    Duuuuh

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 роки тому +1

    Kwakweli najifunza vingi kupitia nyie mpo sahihi kabisaaaa

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 2 роки тому +1

    Muondoko wa Maringo saba duuuu

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 2 роки тому +1

    Wapo wengi hao huyu sumaku itakuwa yumo katika ukoo wa nyange ndo wenye tabia hiiiii

  • @jacklinejacklinejonh6530
    @jacklinejacklinejonh6530 2 роки тому +2

    😁😂

  • @aishachambo8663
    @aishachambo8663 2 роки тому +1

    😂😂😂😂😂😂

  • @mariammariamsalim7189
    @mariammariamsalim7189 2 роки тому

    🤣🤣🤣

  • @3kings63
    @3kings63 2 роки тому +2

    Hakuna ki2 wewe ukae tuu ufanyi kazi af nisitangaze af ety ela ya msaada unaenda kunywea pombe mimi hapo📢📢📢
    Asiye fanya kazi na asile nilipewa but kwani sikutafuta nilitafuta ndio maana nikapata #ukitaka cha mvunguni shart uiname🧡🧡🧡😜🔞