MAMA AFUNDISHA FAMILIA NZIMA UCHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 44

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому +2

    Huyo mama ametuzidi Akili Waliookoka,Maana sisi tumeokoka watoto wetu hawajaokoka

  • @irenemuia2718
    @irenemuia2718 Рік тому +3

    YESU Anawezaaa Ameeeeeen

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 Рік тому

    Pole maman ila maman yako njo ame kufanyia makosa mungu amusamee maman yako aliye kuhingiza kwa hicho chama

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 Рік тому

    Hee mungu ficha kizazi changu na damu ya yesu kristu wa Nazareth 🤲🤲

  • @seraphineniyonzima962
    @seraphineniyonzima962 Рік тому +1

    Naishiwaaa mimi kabisa

  • @margaretzacharia5877
    @margaretzacharia5877 Рік тому

    K,t, k Nakuru Amen pastor tuko pamoja kwamaombi 🙏🙏🙏

  • @princessjj8298
    @princessjj8298 Рік тому

    Mch angalieni hizi clip zenu hao wanaoongea huko nyuma.yake wanaharibu flow ya masimulizi

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Рік тому +2

    Wengine tusiwalaumu kwa uchawi mana wamefunzwa wakiwa ata watoto wachanga Mungu waokowe wachawi 😭

    • @mulibingejacques9613
      @mulibingejacques9613 Рік тому +2

      Ni kweli kabisa, wengi wamefunzwa wakiwa wadogo

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Mzazi alifanya vizuri maana unachofundisha wanao iwe unachokipenda kwa moyo wote

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 Рік тому

    Ameen...sauti ya maombi kwa jina la Yesu huangusha ngome👏👏👏🙏🙏🙏

  • @bibiwissanji4311
    @bibiwissanji4311 Рік тому

    Hapo unafurahia nin na unauliza vitu unafrahia badala ya kumhurumia vitu vya kutisha hivi

  • @eliapetro9559
    @eliapetro9559 Рік тому

    Yesu anaweza

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 Рік тому

    Apo sio pakucheka mungu wafungulie

  • @seraphineniyonzima962
    @seraphineniyonzima962 Рік тому

    E mungu wanguuuuu

  • @mukangwakalonda7726
    @mukangwakalonda7726 Рік тому

    Dunia inamambo sana kweli

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 Рік тому +1

    Yesu nimoto ulaooooo

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 Рік тому

    Ameeeeeeeeeeen

  • @faridaabbas7199
    @faridaabbas7199 Рік тому

    Mtumishi wa mungu niombee wachawi wananiangaisha na familia yangu niombee sana

    • @salimawishenga7588
      @salimawishenga7588 Рік тому

      No

    • @saadyusuph6554
      @saadyusuph6554 Рік тому

      Mzee mbona kanisa lako wote Ni wachawi nawaogopa Sana watu wako

    • @sarabura3314
      @sarabura3314 Рік тому +2

      lazima.ujue kujisimamia yani unapambana na wachawi hao wanakuangaishaje wanatakiwa wewe ndo uwaangaishe kwa maombi sasa wewe tena ndo wanakuangaisha kata wewe sio wakuangaishwa na wachai arafu wazarau awo waganga na wachawi wazarau na usije ukakiri tena hivyo jiamini simama omba wanatakiwa wakimbie wao sio wewe katoe sada funga na kuomba utawashinda yani mkpa unaona wanakuangaisha jikague na kama umeokoka jiulize na ujigague haiwezekani umeokoka wachawi wa kusumbue apana umeruhusu wewe hayo mazingirq

  • @robertmgogosi8448
    @robertmgogosi8448 Рік тому

    Kumbe wachawi ni masikini hata kiswahili hawajui

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 Рік тому

      Umasikini na Kiswahili mbona haviendani,umechemsha

  • @rahma6189
    @rahma6189 Рік тому

    Mungu akusaidie jamani

  • @AishaGor
    @AishaGor 8 днів тому

    Babayao ninan?

  • @lydiahnyambune
    @lydiahnyambune Рік тому

    Daw. Ni. Mambo yamoto

  • @musaniwabouwambajimana6975
    @musaniwabouwambajimana6975 Рік тому +1

    Ni Adeline barikiwa mchungaji Mungu akulinde na akuwezeshe kwa yote

    • @jakobongwara3038
      @jakobongwara3038 Рік тому

      Mchungaji mbonakama umemchanga nakitu. Mtuakija kwako msaidie sioutangaze muage nasiri kuokoa jamii

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 8 місяців тому

    Humu makanisani ni SHIDA WATU karibia wote ni wachawi, swali langu nini hasa MAANA ya kuokoka? Na kabisa inakuwaje kunakuwa na wachawi kanisami,? Je mchungaji KAZI yake nini?

  • @salomeramadhani9500
    @salomeramadhani9500 Рік тому

    Dadaauwawa nakaka

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 8 місяців тому

    Hawa ni wachawi2 hapo sio mwisho wa dunia2 Hawa wapo2 niwachawi2 asilia

  • @signolinenikiza3710
    @signolinenikiza3710 Рік тому

    Kukanyaga mtu mukiwa munamuombea tabia mbaya kweli,kuwa na disciplines please

  • @lizbeth5181
    @lizbeth5181 Рік тому

    Maskini mtoto mdogo asiyejielewa 🤦💔😭😭😭

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 Рік тому

    Siajabu Wewe Bi shop Wanao hawajaokoka huoni huyo Mama ana akili saana ??sema yeye alielekea uoande mwingine

  • @afraal2097
    @afraal2097 Рік тому

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @robertmgogosi8448
    @robertmgogosi8448 Рік тому

    Hawa watu ni watu wa mkoa gani????????

  • @fanunana6820
    @fanunana6820 Рік тому

    MUCUGAGAJI KWANINI UNACEKA ???

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 Рік тому

      😂😂😂 Na mimi najikuta nacheka kama mazuri! Ee Mungu wa mbinguni, tuko kwenye siku za mwisho, tuhurumie...

  • @Desiree872
    @Desiree872 Рік тому +1

    Uongo mtupu thubutu wamepangwa tu

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 Рік тому

      Hakuna chauongo uchawi upo mm nimekaa nadada wakazi kumbe nimchawi akataka kuwatoa watoto wangu kafara uchawi alifundishwa nashangazi yaka.

    • @princessjj8298
      @princessjj8298 Рік тому

      Kwanza mtu aliyepangwa hawezi kuongea hivyo. Vijijini kuna uchawi sana hiyo ni kweli

    • @patrickmunishi2277
      @patrickmunishi2277 Рік тому

      IKO SIKU UTAELEWA UJANA UNAKUSUMBUA