KWA NINI MATAJIRI WA FIZI AWAWEKEZI BARAKA | JE BARAKA INASTAHILI KUITWA JIJI ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • KWA NINI MATAJIRI WA FIZI AWAWEKEZI BARAKA | JE BARAKA INASTAHILI KUITWA JIJI ? JE BARAKA INA VIGEZO VYA KUITWA JIJI ?

КОМЕНТАРІ • 6

  • @manassiibonja
    @manassiibonja 27 днів тому +1

    NAWAFUATA FROM GERMANY

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 27 днів тому

    Kasema ukweli bila kupingwa

  • @KolamuWabene
    @KolamuWabene 27 днів тому

    Hambieni WA chef de secteur na wami wote WA zone ya fizi,wahambiye watu wao wazidi kupunguza baazi ya vitu bei,parcelle moja ya baraka hinazidi bei barcelle ya burundi ,pia serekali yetu ya congo ni serekali ya mchongo yaani ya bwizi,

  • @uviranyumbani
    @uviranyumbani 27 днів тому

    Tatizo munachonga sana kiswahili na muache bulozi muko nauwa ba jeune yenu akijenga etage inakua shida

  • @mrdanico5937
    @mrdanico5937 24 дні тому

    Hamtaki tu kujengewa barabara kivipi barabara inaweza kujengewa kutoka bukavu ifike uvira kalundu na Iwe mwisho na mnyamanze tu bika hata kuandamana kuonyesha na ninyi mnaitaji hiyo barabara mnaitaji ifike huko kwenu hakuna fursa nyengine yakujengewa barabara kama hiyo 😮😮 kwani baraka sio congo na mlisha pewa ville ambayo aina barabara ya lami 😂😂😂😂

  • @ekyochisikitaya5354
    @ekyochisikitaya5354 27 днів тому

    Baraka siyo ville, wa ache mzaa. Serikali ifanye miundo mbinu kwanza. Ville gani Aina umeme, akuna Barabara, akuna maji Safi, akuna bandari wala uwanja wa ndege, vitu hivyo na vinginevyo ni jukumu la serikali, Sasa raiya watawekeza kwakuwa wameisha raisishiwa.