Bonge la show Sema hao Audience inabidi waelekezwe na wapewe Darasa jinsi ya kutoa applause 👏. Na inabidi wawe active namna Fulani yani wamepoa Fulani. Natumaini mtatoa Darasa
Team #wasafi Kijana wenu nahtaj support yenu pia Naomba ckiliza my single trap music na naomben subscribe channel yetu pendwa 👇👇👇👇👇 ua-cam.com/video/xZGwjRjN4Wk/v-deo.html
Mnazingua na hizo sauti za kuEdit, watu hawawezi kucheka then wanyamaze kwa pamoja. Inatoa Ladha Halisi. Bofya picha yangu hapo juu kusubscribe UA-cam channel yangu. #ahsante🙏
@Change Mindset shukrani kaka, Huna Elimu ya Technology siwezi kubishana na wewe ila wale walionielewa wanajua ni nini namaanisha and by the way USIWE NA MIHEMUKO kwa Mwanaume Mwenzio. #UtageuzwaKisusio
Wasafi Media mmezingua hiii ni talk show si mnarecord live hizo sound effects mmeweka za nn za makofi na watu kucheka then hata haziendani na matukio kuweni makini msipoteze ubora wenu pia huyo mtu anaeswitch hizo camera awe anaenda na matukio pia hata camera inayoshoot audience isiwe shot moja tu wide mchanganye na shot mbali mbali za watu ili kipindi kivutie.Mr Director
Hao Audience wanazingua wanaboa wameboaaaaaa sanaa watangazaji wako vizuri sema wanachuo hawa wa kizazi cha Corona hawa wanazinguaaaaa hahahahahahhahah
Mungu awarehemu wote waliokufa humu, zaidi mzee magufuli.
Dah saut ya President
Magufuli kwa sasa
Upo nayo vizl sana verry clier
Kaka umeuwa sana sana upo vzl
kazi nzuri ubunifu mkubwa hongera sana uongozi wa wasafi niwashauri tu ukumbi uwe mkubwa wasiwe wanahudhulia wanachuo tu na wengine
kakangu una kipaji walahi sauti ya magu na babake diamond umepatia sana
Bonge la show Sema hao Audience inabidi waelekezwe na wapewe Darasa jinsi ya kutoa applause 👏. Na inabidi wawe active namna Fulani yani wamepoa Fulani. Natumaini mtatoa Darasa
Watu wa Tanzania ni wagumu sana kucheka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@Change Mindset 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ahahahahaaaa nooooooh naongea ukweli
Sio poa, maisha yashatupiga cheko litoke wapi!? 😂😂😂
tumekua makatuni tosha ndo maana haha
@@maverickcreativesolutions8285 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ukiona ivyo awajachekeshw bd
Kah! Noma na nusu aseee✌️
Saut ya JPM umeipatia mkuu keep it up
Leten Baraka Magufuri
Salute imetixha
du jamaa noma sana
Talented
Nakumbuka uwepo wako jpm 😭😭😭😪😪jebedali wa Tz🇹🇿🇹🇿
Amazing
Ure very talented make more effort
Safi brother shafiiii
Iv kiingilio huwa bei gani? Na huwa wanafanyia wapi? Natamani siku na mm niwepo ila cjui utaratibu jamani nisaidieni
@Change Mindset namna ya kupata huo mwaliko inakuwaje
@@simplissamba1943 hii nikwawanachuo mara nyng
@@alexkazimoto7059 kama nilishamaliza siwez ingia piah
Ni wana chuo tu apo UDSM sana
Vey talented 🔥🔥 🔥
Anajua sana mwamba
Spot on
Sound system haiko sawa mawimbi chenga tupu
This iz more than talent hongeraa sana
Editor kazngua makofi na vicheko haviendani na tukio lenyewe
Jamaa anamuezeaga kikwete sana kuliko watu
❤❤
Yanga
Dudu la yuyu🤣🤣🤣
Good luck bro your de best
😂😂😂😂😂😂😂Apo kwa dingi mond kmk necheka ka msenge umeuwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
noma sana
Uko vzl sana bro
Noma
Jamaa ametisha sana
Baba yake diamond😁😁😁😁
Wow. Show amazing. Big up to Big Sunday live. Halla
Dudu la yuyu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sauti haiskiki vzr
Safi
I like it
Sound mbovu sana kabisa...
Team #wasafi
Kijana wenu nahtaj support yenu pia
Naomba ckiliza my single trap music na naomben subscribe channel yetu pendwa
👇👇👇👇👇
ua-cam.com/video/xZGwjRjN4Wk/v-deo.html
Ubunifu wa kizaaazi kabisa
Good luck
Good
Tuwekeen nzima banaaa
Mnazingua... Kipindi hata mwezi hakina Kimeanza kupoteza ubora
Media Inaedit Saut na makofi ya Audiance utopolo mtupu
We unaangalia kipindi au makofi au we makofi yakiwa hayaendani yanakusaidia nini
Oyooo
Mnazingua na hizo sauti za kuEdit, watu hawawezi kucheka then wanyamaze kwa pamoja.
Inatoa Ladha Halisi.
Bofya picha yangu hapo juu kusubscribe UA-cam channel yangu.
#ahsante🙏
@Change Mindset shukrani kaka, Huna Elimu ya Technology siwezi kubishana na wewe ila wale walionielewa wanajua ni nini namaanisha and by the way USIWE NA MIHEMUKO kwa Mwanaume Mwenzio.
#UtageuzwaKisusio
🤣
Nice
Shoo kali
Hiyo sauti ya Rwakatale umeuaaaa
Hahahahaaaa kwakwel hiki ni kipaji
htre uyu bna
Mwanaaaa
Duhhh cyo kivleeeee lakn kwa mbal sana
Nice👏👏
Sauti ya Jk unauwaga mjomba....😃😃😃
Hapo kwa baba ake mondi😂😂😂
JK Comedian Umeishaaaa
Yaan ww ni balaaa
Kpaji cha hli ya juu
Ni yeye
Jamaa kauuaaa🤣🤣🤣🤣
Jamani Tanzania Kuna watu Wana vipaji sio poa
Soma iyooo
Hizi Mic mnavyozisogeza mdomoni sijui hata tahadhari mnachukuaje
Kwenye send off hukuwepo??
Hakuna Corona tz wewe
🤣🤣🤣
Mkn 🔥 🔥 mkn 🔥 🔥 xanaaaaaaaa
Comedy za kwenye stage wanaoweza ni Wakenya pekee
Huyu jamaa kapoteza saut za hao alio waigiza....kama una ungana na mm nipe like sang
Pole we ndio hujui sauti
Kuna vicheko vya uongo humu hakuna uhalisia
Jamani huyu kaka hadi amenenepa😁. Kweli pesa sabuni ya moyo na mwili. Khaaa....!
noma sana
Ushanenepa asaiv huwezi kuigiza tena saut za waheshimiwa😂😂😂😂😂😂😂 nenda jimu ukonde koo lirud kwenye hali yake
@Fatherjaytz 😂😂😂😂😂😂kweli kabisa
dah kwel kbs
@@abbasmohamed5066 😂😂😂😂😂😂😂umeona ee
😁😁😁❤🔥🦁
Huyu sauti yake huwa inafanana Sana nag Kikwete
Am the First one
N0maaa sanaa
Ila huyu jamaa......
👌👌👌🤣🤣🤣🤣uko kibokoo
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 hatarry san
Hatar san
katisha
KONDE BOY JESHIIIII WEKENI NGOMA ZAKE TUBULUDIKE
Hatar cna uyo kiumbe
Mmepoa ka kipolo cha juzi
Munafic
😁😁😁😁
hahhaaa
Noumah 🤣🤣🤣
we jama fundiii
Safi sana angalia na hii anaigiza saut ya maraisi wote hadi kicheko bonyeza link hiyo
ua-cam.com/video/s52sE4HvNgE/v-deo.html
Jamaa Ni ataliii Sana uyu
Wasafi Media mmezingua hiii ni talk show si mnarecord live hizo sound effects mmeweka za nn za makofi na watu kucheka then hata haziendani na matukio kuweni makini msipoteze ubora wenu pia huyo mtu anaeswitch hizo camera awe anaenda na matukio pia hata camera inayoshoot audience isiwe shot moja tu wide mchanganye na shot mbali mbali za watu ili kipindi kivutie.Mr Director
Hahahahaha uyu jamaa ana Chekesha gusa Link hii ua-cam.com/video/oF34oC6iReo/v-deo.html
🇲🇿🇲🇿🇲🇿❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Jaman tucheki nahii nihatar bonyeza linck usisahau kusubscribe ua-cam.com/video/I5FGOVj-BBg/v-deo.html
Hao Audience wanazingua wanaboa wameboaaaaaa sanaa watangazaji wako vizuri sema wanachuo hawa wa kizazi cha Corona hawa wanazinguaaaaa hahahahahahhahah
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahaha 🤣🤣🤣
Og
Kkkkkkk
😂
Qsm
😆😆😆😆😆😆😆