DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Januari 27, 2025 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 6

  • @gefreymtalo5613
    @gefreymtalo5613 День тому +1

    Hii vita ipo chini ya kiongozi mmoja wa hapo jirani [ Africa ikikaa kimwa hiyu kiongozi atatuletea aibu sababu ya tamaa zake ]

  • @gefreymtalo5613
    @gefreymtalo5613 День тому

    Kama hiyo vita haitoki ruanda kwanini iwe mpakani mwa ruanda na kongo ? [ lusekeli asikubali maamuzi ya kagame ]

  • @brytonmnyama6562
    @brytonmnyama6562 День тому

    ukiskia jeshi ndy hilo sasa so wanajeshi wetu wa TZ kusubili uchaguzi waanze kupiga raia wasio kuwa na hatia

  • @RaphaelGodon-h3b
    @RaphaelGodon-h3b День тому

    Wala wasilaumu rwanda wamulaumu,raisi wao maana ndio mwenye dhamana ya wakongomani.

  • @ngendaniyeniyonkuru8826
    @ngendaniyeniyonkuru8826 День тому

    Hii ni fedhea kwa Jeshi la Tz, South Africa, na Malawi na majeshi yote yanayo jinadi kuwa yanalinda Amani ndani ya Congo. Mliwapiga wamewapiga viva M23. Msirudi yuma, UNAFIKI utawatafuna. Laia wa Congo wanateseka nanyie mnajifanya mnalinda amani. Sasa unafiki umefika mwisho wenu. M23 pigeni wote wanaojita walinda Amani hapo uwanja wa Ndege.

  • @ChristopherChris-i7v
    @ChristopherChris-i7v День тому

    Wacongomani nimarofa kazi ni kucheza ndombolo ya solo tu